Thread zangu hazichangiwi

Thread zangu hazichangiwi

Nina balaa gani kiumbe cha Mungu miee manake kila thread ninayoanzisha inaishia kupotezewa tu? Mweeee
panga folen kwanza.hata mimi nilichuniwa.ukisikia JF ni ya ma-great thinkers juwa ni great thinkers kweli kweli.wanakutafakari kwanza.huku sio
kama facebook-kule ukitoa topic makin hazichagiwi ila za kijingajinga zinapata wachangiaji kibao.
 
nimeipenda hii,halafu aache malalamiko mbona hii tunachangia jamani,

Huyu siyo mkweli member tunachangia page zote hizi afu analalamika! ka vipi ataje hizo thread ambazo hatukuchangia na ID yake ya zamani
 
kweli wewe ni kichwa ona sasa tumechangia sana thread yako....!
 
Back
Top Bottom