- Thread starter
- #61
jaribu...
Lakini utakubali?
jaribu...
Ungejua huyo ni nani utacheka sana.......huyu yaelekea siyo mpya hapa...mbona anasita sita kukupm?
Tayari wameshaanza kukupoteza...hiyo ndiyo inaitwa kuchakachua srediNyie watu mnaongelea juu ya nini?
huyu yaelekea siyo mpya hapa...mbona anasita sita kukupm?
TF...hebu nidokeze basi...Ungejua huyo ni nani utacheka sana.......
Ungejua huyo ni nani utacheka sana.......
Lakini utakubali?
Nyie watu mnaongelea juu ya nini?
duhhh
ntakubali nini??
nadhani ntakataa..
kwa hiyo usisumbuke..
kupendana.
Jaluo..ina maamana unamfahamu huyo? hebu nipe hints!!!mhhh! Mbona hajaweka namba mwishoni?
Utakataa nini?
mhhh! Mbona hajaweka namba mwishoni?
kupendana.
Ni-PM nikuambie kitu
Kumbe na kwenye jukwaa la siasa upo!Namba za simu nimeweka Jukwaa La Siasa.
hahah...lol..basi mkono wako wako wa kusoto upo gado sana! naona spidi yako na reply rate yako iko juu sana!