- Thread starter
- #41
Kumbe umeshapona kaka, pole sana ndugu yangu, mie bado najikongoja na Plastic Of Paris.................
Ulikuwa unamaanisha 'plaster of paris' bila shaka. Vipi ulivunjika mfupa?
Kumbe umeshapona kaka, pole sana ndugu yangu, mie bado najikongoja na Plastic Of Paris.................
Pole sana mtambuz...sasa unatype vipi?Kumbe umeshapona kaka, pole sana ndugu yangu, mie bado najikongoja na Plastic Of Paris.................
Nasubiri PM mama. BTW leo unaenda kazini?
duhhhh..
samahani sana..
ila mi sina la kukutumia kwenye PM
nimesha ku karibisha .. na bado hatujakutana
vya kutosha humu jamvini kwa mimi kuku PM
na kukupongeza kwa kitu fulani..
ila kama we kuna kitu ambacho
unataka kusema au kujua kutoka
kwangu we nitumie hiyo PM..
asante ..
Pole sana mtambuz...sasa unatype vipi?
Sasa`kinachokufurahisha ni kitu gani?, au ndio huo umaarufu unaoutafuta...............Ha ha ha ha ha ha nimegundua leo asubuhi. Kweli JF haina upendeleo.
Nimepona mkuu, hahahhaha pole mkuu utapona....mimi nimeagiza bullet proof ya kuzuia kuugua...lolKumbe umeshapona kaka, pole sana ndugu yangu, mie bado najikongoja na Plastic Of Paris.................
Rejao inaelekea hana wivu ila roho inamuuma.
Ulikuwa unamaanisha 'plaster of paris' bila shaka. Vipi ulivunjika mfupa?
Sasa`kinachokufurahisha ni kitu gani?, au ndio huo umaarufu unaoutafuta...............
weka uzingativu kwenye complain yako ya mada zako kukosa wachangiaji.................
huyu yaelekea siyo mpya hapa...mbona anasita sita kukupm?Rejao hana wivu kabisa ..
yaelekea unamfahamu kwa muda...
sorry, niliposema utumbo nilidhani wewe ni mtoto bado unavaa nepi ili usitujazie mautumbo humu jukwaani.Hilo neno 'utumbo' halileti maana ukilinganisha uwepo wapo wa jamvini kwa muda mrefu.
Pole sana mtambuz...sasa unatype vipi?
mamaaaa! Una kumbukumbu balaa, computer yako kichwani ina GB ngapi?
Mimi nina maana yangu
hahah...lol..basi mkono wako wako wa kusoto upo gado sana! naona spidi yako na reply rate yako iko juu sana!Ah, my Broda Rejao.......... Natumia mashoto ndugu yangu........ Speed kama Kinyonga
sorry, niliposema utumbo nilidhani wewe ni mtoto bado unavaa nepi ili usitujazie mautumbo humu jukwaani.
Baada ya kukusoma majibu yako, nimegundua kuwa kumbe ni kweli kuna watu huwa wanafikiri kwa kutumia masaburi.
Nimegundua kumbe ni kweli kuna watoto wakubwa walishaacha kuvaa napi, lakini eti wanajaribu tena kuvaa nepi ili kunanihii kwenye nepi!.
Au mtoto mkubwa aliyeshaacha kukalia poti anapoikalia kwa ajili ya ile shughuli!.
Its fun playing people mind!.
Ban itaisha na utarejea salama.
Natanguliza samahani. Hivyo naomba usiijibu hii post yangu maana sitarudi thread hii kutoa majibu maana nine hama kwenye hiki kibanda cha utumbo, naenda kutafuta nyama!.
Kwahiyo nianze kukutumia PM halafu utanijibu?
hahahahah
dahhh kuna thread nyingine
ngumu sana kusahau dear..
kila nikikumbuka natabasamu tu kwa kweli..