Thread zangu hazichangiwi

Semeki habari gani mkuu... Yeye haon wengine tunaangalia tu jinsi hali ilivyo.
Umezaliwa jana humu ndani, hata akili bado haijakaa sawa iweje unataka kutembea kama kina afrodenzi. ukikua busara itaongezeka na hapo utapata busara ya kusikilizwa humu ndani.
 
Bom hujambo? Sijamwona Husninyo siku nyingi sana yupo kweli au musee wake nakatasa yeye?
bombu2784581 said:
Hahahaaa, hujambo? Mbona hukunibip sasa? kwa ajili ya tuition
 
Back
Top Bottom