Thread nyingine zinaboa

Thread nyingine zinaboa

uache mihemko ya kutoa taarifa zisizokuwa na mashiko wala tija kwa maslahi ya taifa na maisha yetu ya kila siku,kazi yako kubwa iliyobaki ni kuamisha attention za watoa mawazo yakinifu kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri

We dada unajikakamua kweli uonekane smart lakini hamna kitu kabisa.....
 
huu uzi ni kwa hisani ya mods mkuu, why watu wazima kweli kweli wanatuma post zenye viwango vya chini kulingana na khariba zao, kuna uzi hapa ulianza kuchafua hali ya hewa ulikua wa mnyika atleast mods wameutoa
huu sio biashara jf wanapata faida huu n mtandao wa jamii ukijua hilo mjue.mnakutana na watu wa akba mbali mbali..nikusaidie sio waote wanaenda kula africa sana n malaya ama wanapenda kuona vile vimwili vyao kwakuwa wanafwata huduma za.chakula.ndio maana unawakuta pale watafanyaje unakula unasuuza.macho unaenda kwenu...na ndio humu unasoma hdn bado unafungua na unacommenta acha upumbavu upumbavu uliefungua ukasoma tulitakiwa tujue humu nkwawatu ainambalimballi..naomba mnisamamehe nitakaowaudhi
 
Ama mpaka tcra watupe bei elekezi kuingia jf mjue huduma za jamii nasio busn..
 
We dada unajikakamua kweli uonekane smart lakini hamna kitu kabisa.....

alie kwambia nautaka usmart ni nani,,jiwe gizani lazima usikie ng'weee wewe ni mfano mbaya kwa wageni hapa jf
 
huu sio biashara jf wanapata faida huu n mtandao wa jamii ukijua hilo mjue.mnakutana na watu wa akba mbali mbali..nikusaidie sio waote wanaenda kula africa sana n malaya ama wanapenda kuona vile vimwili vyao kwakuwa wanafwata huduma za.chakula.ndio maana unawakuta pale watafanyaje unakula unasuuza.macho unaenda kwenu...na ndio humu unasoma hdn bado unafungua na unacommenta acha upumbavu upumbavu uliefungua ukasoma tulitakiwa tujue humu nkwawatu ainambalimballi..naomba mnisamamehe nitakaowaudhi

kipi ambacho haujaelewa so far,kabla ya kujikusanya ukaja humu jf inatakiwa ujipange kabisa sio unakuja hapa unaanza tema pumba zako utadhani umekurupushwa
 
Ama mpaka tcra watupe bei elekezi kuingia jf mjue huduma za jamii nasio busn..

TCRA inahusika vipi mathalani na jumbe zenye content ya pumba hapa,jaribu kuelewa kuna kuvunja sheria na kutuma content za pumba humu jukwaani, sipo kuponda chochote na nilipo sema ujumbe utafika kwa wahusika nilikua na maana ya watunga pumba then wanakuja na kila aina ya pumba humu jf so wanatakiwa wabadilike wao kama wao,,hapo ndipo utasikia jf hii si kama ya zaman why,
 
Hahaaaa karibusanaa mpwa hii ndio jf asiliaa...aina.mstaafu..
 
Attachments

  • IMG_3402391944146.jpeg
    IMG_3402391944146.jpeg
    30.8 KB · Views: 70
  • IMG-20151205-WA0017.jpg
    IMG-20151205-WA0017.jpg
    37 KB · Views: 71
Wapwa jumapili njema sana tu..makamanda..wengine.mtuombee wengine tunaenda zika mama zetuleo..
 
Mwingine asema:
"Mke wangu anavaa shanga lkn zamani alikua havai naombeni ushauri"

Seriously!!?
 
Wengine wanaanzisha mada ya athari za punyeto wakati hii mada imeshajadiliwa kibao hapo awali. This is bullshit.

skiza Bwana Rungu...wanaoposti mara nyingi wanakuwa hawajui kama Mada Ilisha jadiliwa, kwani kila siku wageni hawaishi humu!!

Inawezekana Hata mada ya hii thread ilishajadiliwa pia!!

Shuby
 
Last edited by a moderator:
popoma ndo nini mkuu GENTAMYCINE

SHUBY

Ni Neno Nililolitohoa Kutoka Ktk Lugha Ya Kizaramo Na Kindengereko Likiwa Na Maana Ya Kwamba Ni " Mtu Mpumbavu Kupita Maelezo Asiye Na Faida Hata Ya Kuishi Duniani ". Nadhani Sasa Wewe Na Wenzako Wote Mliokuwa Mnapata Matatizo Na Huu MSAMIATI Wangu PENDWA Wa Neno POPOMA Sasa Mtakuwa Mmeshajua Maana Yake Na Namshukuru Mwenyezi Mungu Kuwa Sasa LINATUMIKA Sana Sehemu Mbalimbali Ktk Jamii. MAPOPOMA Wa Mfano Humu Wapo Mkuu Na Watafute Sana Watu Hawa nifah, Mussolin5 Na Super Handsome Ujiridhishe. Akhsante Kwa Kutaka Kujua Na Kuelewa Na Unaruhusiwa Na Wewe Kulitumia Pia ILA Ni Mwiko Kuniita Mimi NILIYELIANZISHA Kwani Utapata LAANA Kali.
 
skiza Bwana Rungu...wanaoposti mara nyingi wanakuwa hawajui kama Mada Ilisha jadiliwa, kwani kila siku wageni hawaishi humu!!

Inawezekana Hata mada ya hii thread ilishajadiliwa pia!!

Shuby

umetoa sababu ya msingi kiasi lakini mara nyingi content ya jumbe nyingi zinakua too shallow mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom