Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,669
- Thread starter
- #101
kumbuka kuwa akili ni nywele kila mtu anazake.
umesomeka tigo
kumbuka kuwa akili ni nywele kila mtu anazake.
Mwingine asema:
"Mke wangu anavaa shanga lkn zamani alikua havai naombeni ushauri"
Seriously!!?
Kama Unavyomwagiwaga Madhiwa Huko Kunako Kwako.
Do You Want More Than This You POPOMA?
Toka jana unanitishia kuniumbua lakini wapi, unakata viuno tu.
Bro.
I can see, umekuwa mpole sana... kuna mtu natamani m'battle...ID kwa ID (face to face...)!!
Bro.
I can see, umekuwa mpole sana... kuna mtu natamani m'battle...ID kwa ID (face to face...)!!
ushauri kwa mtoa uzi.. umeona mada inakuboa.. au huez kutoa jibu au ushauri.. kaa kimia angalia uzi mwingne ambao utakuvutia kutoa ushauri toa.. yann ujisumbue kutoa ushauri kwa kitu usichokipenda? si ukae kimia? kwan nan atakuuliza? au ni lazma uchangie? usipochangia hupati papuch..