Thread nyingine zinaboa

Thread nyingine zinaboa

Yaani Hii Mitandao Imefanya Watu Wamekuwa Wavivu Kufikiri,thread Za Kijinga Jinga Tu Unauliza Mambo Ya Kipumbavu Tu Mda Wote,yaani Hakuna Vya Maana,

hatukatai kuchangamsha kupo ila isiwe too childsh kwa kuuliza au kutoa hadithi ambazo kimtazamo tu unatambua kinachozungumziwa hakipo,
 
bf4bbff13c777ea4abc942c5d9025a70.png
 
umeniwahi nimewaza kama ulivyowaza mkuu

hongereni kwa kufanana akili, ila wewe zero zaidi maana mwenzako kakuwahi,tujitahidi kutuma thread zenye mashiko kwa taifa na maisha yetu kwa ujumla ingawa utani umo
 
nyani babu, hivi hambakizagi hata kidogo akili za kuongozea familia,au bado unaishi gheto huko USA, tulete thread zenye mashiko kwa taifa na maisha yetu ya kila siku

achana na hilo shang.ingi linatawa.za vibi.bi huko mbele.
 
achana na hilo shang.ingi linatawa.za vibi.bi huko mbele.

ha ha ha mkuu alafu utakuta ni mtu wa makamo tu ila kwenye mtandao anasema sema hovyo,ni wa kumhurumia tu hamna namna,
 
hasa thread za jukwaa la mahusiano kuna thread za ajabu ajabu mno huwezi jua nani mkubwa nani mdogo,ubaya zinaleta attention kwenye new posts ukijaribu kufungua unaambulia kuboreka,mods watakusikia

tena huko MMU ndo kumejaa watoto vivuli kibao!
 
nyani babu, hivi hambakizagi hata kidogo akili za kuongozea familia,au bado unaishi gheto huko USA, tulete thread zenye mashiko kwa taifa na maisha yetu ya kila siku

achana na hilo shang.ingi linatawa.za vibi.bi huko mbele.
 
mtu anaomba ushauri ampeleke wapi demu wake out, nonesense kabisa nashauri mods wafanye namna
ulitaka watoke.na.mkeo inayokubore unakaa kimya mpaka anarudi jehova nikusaidie na exp humu cha.kusoma akiliza watu sana nini cha kufanya ukisoma hdn inakubore acha ukiisoma ndan mns umeipenda mpwa lakohilo
 
Safi sana ma niga piidiiidiiii
hfhggsgsgsgsskslslsllslslslslslhdbbfggfufff
 
Duuuuh mkuu NN achana nao hao ndugu

muhurumie huyo,sijui tatizo ni nini kwa watu kama huyu kuleta thread zisizo na mashiko wala tija kwa taifa na maisha yetu ya kila siku, uzi huu unawakumbusha kuwa uhuru wa kutoa maoni unaenda pamoja na staha
 
Back
Top Bottom