CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,509
Ukiangalia kwa undani sana chadema ni slaa na tundu lisu, sugu, mnyika na msigwa, hawa wengine ni njaa kali tu hasa lema sio kiongozi bali mpiga dili tu, hebu mumuangalie kwa ukaribu. wachaga ndio wameleta chadema lakini wanaingiza ukabila mbaya sana na ndio maana utaona asilimia sabini ya wanachama wake ni wachaga
Jifunze kufikiri sawasawa kabla ya kupost humu JF.Ukiangalia kwa undani sana chadema ni slaa na tundu lisu, sugu, mnyika na msigwa, hawa wengine ni njaa kali tu hasa lema sio kiongozi bali mpiga dili tu, hebu mumuangalie kwa ukaribu. wachaga ndio wameleta chadema lakini wanaingiza ukabila mbaya sana na ndio maana utaona asilimia sabini ya wanachama wake ni wachaga
Ukiangalia kwa undani sana chadema ni slaa na tundu lisu, sugu, mnyika na msigwa, hawa wengine ni njaa kali tu hasa lema sio kiongozi bali mpiga dili tu, hebu mumuangalie kwa ukaribu. wachaga ndio wameleta chadema lakini wanaingiza ukabila mbaya sana na ndio maana utaona asilimia sabini ya wanachama wake ni wachaga
alitakaka cheo huyu.
Usiwe na akili kama za kuku anayefukua hapo chini tu na ndiyo maana akawa ndege asiyeweza kuruka!Chama cha Kikanda, chama cha Kikabila,Kikoo na sasa chama cha Kimangimeza...
Hakuna aliyetoka CCM atakayeweza kufika Kanani. Wote wataishia jangwani kizazi kipya ndicho kitakachoingia kanani pamoja na wakongwe wachache wanaomtii Mungu kwa dhati! Hakuna tofauti na safari ya wana wa isirael kutoka Misiri, wengi wao walikumbuka hata misosi ya misiri mambo yalipokuwa magumu huko jangwani. Ukweli ni kwamba kanani hawataingia hawa wakongwe waliotoka ccm labda wale wateule wachache kama ilivyokuwa kwa Joshua na Kalebu. Chadema itaingia madarakani na damu mbichi pamoja na akina Joshua na Kalebu wachache tu! Kanani wataingia watoto na siyo wazee wanaokumbuka misosi ya Misiri kama Mzee Song!hajapata alichotumwa kukitafuta. Anajifanya yuko neutral si ccm wala chadema! Mnafiki huyu. Desmond Tutu aliwahi kusema " if you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Aseme tu amerudi ccm alichokuwa ametumwa hajakipata. Ameamua kudandia meli iliyotoboka.
Kwani wachaga wakijiunga kuna Zambi? Hebu Tuambie wewe unataka wajiunge Chama kipi? Mkuu hii iko kila Mahari Duniani Tazama chama Cha ANC wazuru karibia wote ni ANC ingawa kuna Vyama kibao vya Upinzani na Makabira kibao, Dunia nzima vyama huwa vina root yake, Uingereza ambayo inaonekana ni moja ya Mataifa yenye Demecrasia ya hali ya juu, Kuna ubaguzi kule, Huwezi Kuwa Prime minster bila kuwa Muangalikana,
So ishu ya kusema Wachaga wote wako CDM haina mshiko, na Mara nyingi haya mambo yanategemea root ya CHAMA, cheki CUF kule Pembe,
Fuatilia historia za Vyama vyote Dauniani na Utagundua vyama vyote vina sehemu vinapo ungwa Mkono kwa Nguvu zote hata USA hii ipo, kuna Majimbo yanajulikana ni ya Republican na mengine siku zote ni ya Democratic, wewe unazani hii ni kwa nini?
Mbeya walimpopoa jk, tunduma bilali. Hivi maeneo haya yapo kzkzn?Ameona chadema ni chama cha fujo.kusini hawapendi kabisa fujo
Kama kuna walakini katika CDM, ni vema kusemwa, na ni vizuri kujua kasoro za chama hicho iwapo kweli wana nia njema na nia mbadala zaidi ya vyama vingine.Usiwe na akili kama za kuku anayefukua hapo chini tu na ndiyo maana akawa ndege asiyeweza kuruka!
Wachagaa walishaikataa ccm kabla hata chadema haijapata umaarufu!Ulitaka waende chama gani cuf?TLP kila mtu anajuwa hakina mpango,NCCR Mageuzi ni the same,ulitaka waende wapi wewe kama unatumia akili kufikiri?
With all due respect,ulichoandika siyo utofauti bali ni ujinga so to speak...Kama kuna walakini katika CDM, ni vema kusemwa, na ni vizuri kujua kasoro za chama hicho iwapo kweli wana nia njema na nia mbadala zaidi ya vyama vingine.
Zaidi ufike wakati wa Magwanda kukubali kasoro zao na kuwashukuru wanaoziona kasoro hizo badala ya kuwabeza!
Kibunango said:Chama cha Kikanda, chama cha Kikabila,Kikoo na sasa chama cha Kimangimeza...