This week end: My unforgetable love songs

Mkuu kuna nyimbo ilitoka miaka ya 96 nafikiri. Ssikumbuki title ila chorus ilikua inasema " I get knocked down,but I get up again you never gona keep me down x 2" sijui unaukumbuka. Sababu design you like an encyclopedia of oldies!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaas Mapi yote sawa tu umenikumbusha mbali mno enzi za.JUMA KAKERE na SINTA ambaye aliact kama BETTY
hahahaha
basi sasas ngoja nitaje mmoja tu
sitaki demu- Juma Nature
 
Mkuu kuna nyimbo ilitoka miaka ya 96 nafikiri. Ssikumbuki title ila chorus ilikua inasema " I get knocked down,but I get up again you never gona keep me down x 2" sijui unaukumbuka. Sababu design you like an encyclopedia of oldies!

Hahahaaaa ooh yeah. Mi napenda sana muziki na napenda kila aina ya muziki.

Ngoma unayoizungumzia wewe inaitwa "Tubthumping" na ilipigwa na Chumbawamba na ilitoka 1997.

Ni ngoma yenye kutia moyo na hamasa hasa kama umeshindwa kwenye jambo flani. Hii hapa.

Last edited by a moderator:
Say I love u but I lie _Michael Borton

Umenikumbusha mbali niliwahigi kumtumia My BF title ya huo wimbo

"I said I Love you but I lied"....wacha apanick hapo hajashtuka kuwa ni wimbo

anaanza kuniuliza kwa nini sijui nini...kuja kushtuka baadae
 
A hundred Miles haijamaanisha yuko Majuu which I do believe HAPO ulimaanisha nje ya TZ

Mi kawaida mbona............
 
Acha kabisaaaa,old is gold.umenikumbusha mbali niaje
 
Umenikumbusha mbali niliwahigi kumtumia My BF title ya huo wimbo

"I said I Love you but I lied"....wacha apanick hapo hajashtuka kuwa ni wimbo

anaanza kuniuliza kwa nini sijui nini...kuja kushtuka baadae
haha
kipindi cha analogia??
 
Hebu achen utani bana kwetu pazur ni wamalove au jokes............. JF BWANA HATAR TUPU
 
Kuna hizi Love Songs
1. If Ever You're in My Arms Again by Peabo Bryson
2. A Whole New World by Peabo
3. Tonight I celebrate My Love by Peabo
4. MoonLight Lady by Julio Iglesias
5. When U tell me that U love me by Julio

Hizi nyimbo zipo very romantic kuzisikiliza!!!
 
Tym afta tym- cindy looper halafu kulikua n bend inapiga hardrock late 80tz anaitwa gun n roses
 
hahaa sa baadae alivong'ang'ania kwa nini nikamwambia

This is more than Love I feel Inside.........

nikamtajia kuwa ni wimbo ausikilize vizuri

hahaha
ndio hasara ya sisi tusiofatilia miziki kwa karibu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…