Sina maana ya kukuelekeza maana huenda unajua kunizidi au najua kukuzidi.Kuna tafsiri ya ukali hapo!
Okei, niko mpole! Nielekeze mkuu.
Okei, nimerekebisha! Ubongo huwa unateleza. Nafikiri nilikuwa na-flow kwenye kuandika hilo neno lika-rhyme na neno 'write' bila kujijua nikaliweka.Sina maana ya kukuelekeza maana huenda unajua kunizidi au najua kukuzidi.
Unapocomment kuna binadamu kama sisi tunapitia syllabe after syllable. Kama kuna kakosa tunastuana kikubwa tu maisha yanaendelea.
Hahaaaa Karibu kabla grisi haijaisha mamiiHahahaaaa. Nakuja na mie aisee bora umenikumbusha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaa mchoyo kumbe eeeh, nimecheka mwenyewe hapa ka mjingaNakuja mwenyewe siji na mtu
Khaaa, ushasahau mara hiiKwani mimi ndio mekuongelesha jamani!!!
Same reason here bruh,Coz we broke!Noooo it is because I dont have Money..
Hahaaaa. Duuh!Nakuja mwenyewe siji na mtu
Wapi hukooooView attachment 662528
Nimeitoa hukoo
Obviously itakuwa wee si mwanamke wa kiislamuHahaa mimi ni mchoyo hatari
Umeona mwenyewe kushare ilivo ngumu eeh, no one wants!!Hahaaaa. Duuh!
Hebu nambie unatumia jina gan hukoooInsta