This is unacceptable for public view! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is unacceptable for public view!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Quemu, Dec 9, 2008.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hii picha nimeikuta Ippmedia.com.

  [​IMG]

  Ukweli ni kwamba Ippmedia wamechemsha kuweka hii picha hadharani. Kufanya hivi ni ku-advocate violations of animal rights.

  I suggest wapigwe fine for putting such a brutal picture hadharani.

  Mods naombeni muifungue hiyo picha. Pia kama hii mada hapa sio mahala pake, basi msisite kuihamisha kunakostahili
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Dec 9, 2008
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 9, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Oh please! you are such a sensitive Suzie. Umekulia wapi ndugu yangu wewe? Yaani hujawahi kuona mbuzi au kuku akichinjwa?
   
 3. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Violation of animal rights kivipi? The picture gave me goose bumps sawa,lakini ndio ukweli wenyewe yanayotokea. Nyama tunakula despite knowing kwamba hawa wanyama hawapewi anaesthesia wakati wanachinjwa
   
 4. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  C'mon Nyani! Kuona mnyama anachinjwa ni suala moja, kuweka picha ya mnyama anachinjwa hadharani ni suala jingine. Haki za wanyama, sio tu zinakataza kumuua mnyama kikatili, bali pia zinakataza kuonyesha uuaji (hata kama ni wa haki) hadharani. Kosa waliofanya Ippmedia ni kuweka hiyo picha kwenye vyombo vyao vya habari. Wamevunja sheria za haki ya wanyama. Haukabaliki.
   
 5. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nkamangi,
  Sio kosa kuchinja mnyama kwa ajili ya chakula. Kosa ni jinsi gani unamchinja huyo mnyama. Well, kwa kuwa walaji hatuoni wala kujua jinsi wanyama wa chakula wanavyochinjwa, basi hatuvunji haki zozote za wanyama kwa kula.

  Hao wachinjaji sidhani kama wana kosa lolote. Natumaini wamemchinja huyo mbuzi katika uzingatiaji wa haki ya huyo mbuzi.

  Ippmedia wamevunjwa haki za wanyama kwa kuweka hiyo picha hadharani. Moja ya sheria ya haki za wanyama inataka uchinjwaji ufanye in privacy. Sasa Ippmedia kwa kuweka hiyo picha hadharani wamevunja hiyo sheria.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 9, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Haki za wanyama za wapi? Tanzania? Ulaya, Amerika ya Kaskazini, Umoja wa Mataifa ama? Kama kweli kuna haki za wanyama basi tuache kabisa kula nyama ya aina yeyote ile kwa sababu kabla ya kula hiyo nyama lazima kuna mnyama aliyeuwawa kwa namna moja au ingine. Dunia hii ina mikanganyo kweli.
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Dec 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Laptop yako imeshapona qm ?
   
 8. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Haki za wanyama hazina mipaka. Kama vile zisivyo na mipaka haki za binadamu. Kwa hiyo haki za wanyama za ulimwengu mzima.

  Nimemjibu Nkamangi kuhusu ulaji wa nyama. Nitarudia. Kula nyama hakumaanishi kuna uvunjaji wa hizo haki kwa walaji. Hizo haki zinapaswa kuzingatia kwa waandaaji (wachinjaji) wa hao wanyama tunaokula. Kuonyesha jinsi mnyama anavyochinjwa ni uvunjaji wa sheria za wanyama.
   
 9. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uchinjaji ufanywe in privacy? Qm,come on they are animals!privacy is not a concern for them or their families. You sound like you are reffering to Saddam Husseins execution. Animal rights advocates wakitaka kufanya cha maana wapige debe wanyama wawe wanapewa some anaesthetic or a happy pill of some sort. Privacy doesn't make the feeling of a knife going through the wind pipe any better
   
 10. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Bado. Masaada wowote?
   
 11. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  So we all are. Humans are part of animal group. Au umesahau?


  Nafikiri hapa ndipo kwenye tofauti zetu.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Dec 9, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kwako wewe ni sawa tu kumuua mnyama ili mradi taratibu za "haki za wanyama" zimefuatwa, sio? Huna tatizo na mnyama anayekufa?
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Dec 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwani umefikia wapi ? Unaweza kupatia no ya simu yako nikupigie ? Nikuulize mawili 3 au messenger ?
   
 14. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Dec 9, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Vipi kuhusu wewe binafsi...!? Je hujakiuka haki za wanyama kwa kubandika picha uliyo iokota IPP Media!?
   
 16. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #16
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  You're missing the point NN.

  Kwa sababu baadhi ya wanyama ni chakula chetu (kama sisi tulivyo chakula kwa baadhi yao), basi hatuna budi kuwala. Na kwa bahati mbaya au mzuri, ni lazima mnyama auliwe, tumpike, na ndio tuweze kumla.

  Sasa basi, just because tunawaua ili tuwafanye vitoeo, haitupi haki ya kufanya ukatili kwao. Wao ni viumbe kama sisi. Kwa hiyo tunapaswa kuwatendea haki hata pale tunapowaandaa kuwala. Haki yao iko pale pale, haijalishi ni mboga, pets, au walinzi.
   
 17. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #17
  Dec 9, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  QM,

  Ukiamini katika ukristo unatakiwa kutokuwa na shida na picha hiyo, maana iliandikwa bin-adam aende kukaa na kuijaza dunia na kuvitawala vyote vilivyomo, kutawala ni pamoja na kuchinja huko.

  Tena ukifika sehemu sehemu huko kwenye mila za kunyumba watu wanatoa na sadaka ya damu bado.

  Sasa tatizo ni hiyo idea ya kuchinja au kuiweka kwenye gazeti?

  Kama hatuna tatizo na idea ya kuchinja, na tunapenda nyama, kwa nini kujifaragua kwamba picha hii haifai kuwekwa kwenye gazeti?

  Akija rastafarian, au animal rightists tree hugger vegetarian akasema hivyo nitamuelewa kwa sababu ana principle za kutokula nyama na ukatili kwa wanyama, je wewe ni mmoja wao?

  Mimi nafikiri, kama unataka ku protest, the issue should be mbuzi anachinjwa, na sio picha ya mbuzi anachinjwa iko front page.

  Sisi na wamagharibi tuna value systems tofauti, muulize Rupia aliyekamatwa kwa kuchinja mbuzi nyumbani kwake.

  There is a reason George Bush alisoma "My Pet Goat" and a pet is considered a member of family so in the US kumchinja mbuzi kunaweza kuwa interpreted sawa na kumchinja member of family.

  Kama unakula nyama halafu hutaki ijulikane nyama inatoka wapi utakuwa unasimamia obscurity tu.
   
 18. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #18
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ninaweza kuwa nifanya hivyo. Lakini unafikiri ni njia gani ningetumia kueleza masikitiko yangu juu yao bila ya kuleta ushaidi wa lililonisikitisha?

  Kwa sababu hata kama ningeweka link ya site yao, bado ningekuwa najaribiwa kubanwa kwenye kona unayojaribu kunibana kwa kisingizio cha kwamba "kwa sababu nimewapatia watu link wakaone ile picha kule, basi mimi pia nifanya kosa waliofanya ippmedia."

  I guess it's a lose lose situation....ain't it?
   
 19. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #19
  Dec 9, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Hapa sijakuelewa unapoongelea haki za wanyama ni zipi hasa?

  1. Asichinjwe?

  2. Asiliwe?

  3. Asipigwe?

  4. Asifugwe (Maana kufungiwa pia kunamnyima uhuru)?

  Ukisha fafanua haya ndiyo uanze kupiga kelele ni haki gani imevunjwa?. Sio kutulea mambo ya western kwenye vyama vya kutetea paka, mbwa n.k.

  Kumbuka huyu anachinjwa ili aliwe na siyo afukiwe chini. Malalamiko yako yananifanya nikuone kama "Rasta" vile maana kuna baadhi ya marasta wao hawali nyama, Ila wanashindwa kujua kuwa hata miti ambayo hutoa matunda na mbogamboga tunazokula nazo pia zina-uhai na ili ule ni lazima uvitoe uhai (kuua).

  Hapa hakuna jipya kwenye hii habari zaidi wapenda nyama kuanza kuweka " Imagination" ya mbuzi choma + pilipili + chumvi + Limau na kachumbali.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Dec 9, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  I think you are the one missing the point here. The premise of my argument is killing. Isn't killing barbaric? Unapoua kiumbe hai huoni kama hutendi haki? Utatendaje haki wakati unaondoa uhai wa mnyama? Kama unataka watendewe haki basi wasiuliwe kabisa.
   
Loading...