This is too much

This is too much

Well said mkuu, jamaa ana lugha chafu balaa, hata anaowatukana hawajui
Wazo lilikua zuri sana ila hapo kwenye lugha ndugu yangu umeharibu,hakika ukitaka kudumu kazini cha kwanza lugha na kitu cha pili muheshimu kila unaekutana nae,kuna walinzi ila wao maofisini ndio wana final say ya nani achukuliwe sababu tu ya connection yake na boss.
Pia elewa connection sio mpaka mtu akueleze lete Bahasha hapa NO mtu akikueleza tu kuna nafasi ofisi flani kaombe pia ni connection maana siku hizi kazi nyingi hazitangazwi. Sasa ulichokifanya hapa hujatengeneza ila umeharibu wewe ni kijana mwenzangu mtafutaji kama mimi ila huu mtindo ubadilishe kwanza mambo yataenda,achana na mob kwa kusema connection iwekwe kwa wote sababu hilo haliwezekani unapaswa usimame wewe kama wewe na ujenge imani ya watu,tatizo la connection ukimpa mtu akaenda akaharibu anakua ameharibu kwake na kwa uliempa nyote mtaonekana hamna maana,hivyo jirekebishe ndugu.
Ahsante sana
 
ipake rangi basi. acha kimbe wewe kwani hawa wanaonitukana humu wananijua wabongo unafiki tu umewajaa
 
Kama ulikua unataka kumsaidia si ungetangaza hiyo nafasi ya kazi umeanza kwa matani wakati mtu anawakilisha watu wengi wasiokua na kazi
Pole sana una shida alafu unamtukana mtu hata humjui kisa tuu hasira zako za maisha...
Any way nimekusamehe ila kwa kuwa ushanitukana fala asnte nashukuru acha nikae na ufala wangu endekea kusota na mi bahasha yako ya A4.
 
sitaki maisha ya nauli mzee..siwezi kuwa mtumwa zama hizi nataka kazi ya kufanya na nilipwe mshahara boss wangu
Changamoto pia inaweza kuwa kwenye fani uliyosoma,kuna baadhi ya fani zinakufanya wewe utafutwe na kuna fani zinakufanya wewe utafute...kama ulisoma fani za wewe kutafutwa utapata ajira haraka sana na zinazolipa vizuri.
 
Naandika kutoka moyoni kabisa na hili limenikera mpaka nimeona niliseme tu nisije kufa na mapresha ya kuvumilia huu uduwanzi

Yaani hapa kwetu sasa hivi bila kumjua fulani au mtu anayejuana na fulani hupati kazi kweli jamani ndo tumefika huku na mimi sasa ambaye ndio msomi pekee kutoka kwetu huku nyamisati nimjue nani anipe connection ee baba tusaidie

Tuwe na aibu jamani kwanini ajira isiwe tu kama zinafanyika selection za vyuo ama form five kwamba mwenye sifa ama vigezo ndiye mwenye kupata nafasi, tupendane tusaidiane tuache mambo ya kibaguzi wote ni taifa moja na lengo letu ni moja

Mwisho kabisa naomba mwenye connection aniunganishe mahali basi maana hakuna namna hapa yani nimesota mpaka nimekubali tuoneane huruma jamani

Jamani wote mnasali mnatoa sadaka na wengi ni waamini wazuri wa dini zote zilizopo tz naomba mnipe hata kamchongo ka laki tano wazee maisha magumu
Ungeeleza basi na elimu yako,sasa utapewaje kazi bila kujua hata umesomea nini?
 
Sio kosa lake
Wewe dogo kweli kichwani hamna kitu kabisa, unashindwa hata kufikiria kawaida tu, lets say kweli mimi ni mganga njaa sina connection ya kukupa wala chochote, sasa huyo mwenye connection na anaetaka kukupa kazi akisoma haya majibu yako unadhani atakuchukuliaje?

Bado una safari ndefu mdogo wangu jitathmini.
 
Changamoto pia inaweza kuwa kwenye fani uliyosoma,kuna baadhi ya fani zinakufanya wewe utafutwe na kuna fani zinakufanya wewe utafute...kama ulisoma fani za wewe kutafutwa utapata ajira haraka sana na zinazolipa vizuri.
 
Ungeeleza basi na elimu yako,sasa utapewaje kazi bila kujua hata umesomea nini?
toa kazi kazi kama zipo..kama siyo yangu raia kibao wanasaka utakua umerusaidia sana natanguliza shukrani
 
Kama ulikua unataka kumsaidia si ungetangaza hiyo nafasi ya kazi umeanza kwa matani wakati mtu anawakilisha watu wengi wasiokua na kazi
eti buana..wengine mapimbi kama ni kazi hainihusu wengi tu wanataka michongo sijui yatabadilika lini haya manyumbu wengine wanaamini eti ukinyenyekea labda ndo utakua upo serios sinyenyekei pimbi toa kazi kiroho na Mungu wako atakujalia heri
 
Yah

Similar Discussions

Back
Top Bottom