This is too much

This is too much

Wewe dogo kweli kichwani hamna kitu kabisa, unashindwa hata kufikiria kawaida tu, lets say kweli mimi ni mganga njaa sina connection ya kukupa wala chochote, sasa huyo mwenye connection na anaetaka kukupa kazi akisoma haya majibu yako unadhani atakuchukuliaje?

Bado una safari ndefu mdogo wangu jitathmini.
hongera jiniaz..yani wewe ndo zero brain pita kule mbaali usiniaribie siku kujidai mstaarabu kumbe hamna kila kitu
 
Wazo lilikua zuri sana ila hapo kwenye lugha ndugu yangu umeharibu,hakika ukitaka kudumu kazini cha kwanza lugha na kitu cha pili muheshimu kila unaekutana nae,kuna walinzi ila wao maofisini ndio wana final say ya nani achukuliwe sababu tu ya connection yake na boss.
Pia elewa connection sio mpaka mtu akueleze lete Bahasha hapa NO mtu akikueleza tu kuna nafasi ofisi flani kaombe pia ni connection maana siku hizi kazi nyingi hazitangazwi. Sasa ulichokifanya hapa hujatengeneza ila umeharibu wewe ni kijana mwenzangu mtafutaji kama mimi ila huu mtindo ubadilishe kwanza mambo yataenda,achana na mob kwa kusema connection iwekwe kwa wote sababu hilo haliwezekani unapaswa usimame wewe kama wewe na ujenge imani ya watu,tatizo la connection ukimpa mtu akaenda akaharibu anakua ameharibu kwake na kwa uliempa nyote mtaonekana hamna maana,hivyo jirekebishe ndugu.
Ahsante sana
asante kiongozi nitalifanyia kazi hili kaka ila wacha niwanyooshe hawa much know..maana wamelitibua wenyewe
 
huwa madingii wanazinguaga
siyo kidogo wanataka tufe njaa..ama unakuja kupewa kazi majukumu rundo nyumbani hapo kazi au wizi watupe kazi vijana tuchakarike wakati nguvu bado zipo
 
Naandika kutoka moyoni kabisa na hili limenikera mpaka nimeona niliseme tu nisije kufa na mapresha ya kuvumilia huu uduwanzi

Yaani hapa kwetu sasa hivi bila kumjua fulani au mtu anayejuana na fulani hupati kazi kweli jamani ndo tumefika huku na mimi sasa ambaye ndio msomi pekee kutoka kwetu huku nyamisati nimjue nani anipe connection ee baba tusaidie

Tuwe na aibu jamani kwanini ajira isiwe tu kama zinafanyika selection za vyuo ama form five kwamba mwenye sifa ama vigezo ndiye mwenye kupata nafasi, tupendane tusaidiane tuache mambo ya kibaguzi wote ni taifa moja na lengo letu ni moja

Mwisho kabisa naomba mwenye connection aniunganishe mahali basi maana hakuna namna hapa yani nimesota mpaka nimekubali tuoneane huruma jamani

Jamani wote mnasali mnatoa sadaka na wengi ni waamini wazuri wa dini zote zilizopo tz naomba mnipe hata kamchongo ka laki tano wazee maisha magumu
Pole sana mkuu
Tunaweka kwenye group la riziki mtoaji ni Allah

Sasa ikichelewa vuta subra na muombe sana Allah aifanye kwa wepesi hiyo siku..


Kumuomba binadamu ana maudhi utaishia maneno na kashfa kibao Mungu pekee ndiye ambaye anapenda kuombwa akiona mja wake kama hivi analalamika anatamani utumie muda wako mwingi kumlilia yeye na kumuomba

Sitasahau msoto wa maisha mwaka 2009 hadi 2012 hakika na feel sana unayoyasema
 
Pole sana mkuu
Tunaweka kwenye group la riziki mtoaji ni Allah

Sasa ikichelewa vuta subra na muombe sana Allah aifanye kwa wepesi hiyo siku..


Kumuomba binadamu ana maudhi utaishia maneno na kashfa kibao Mungu pekee ndiye ambaye anapenda kuombwa akiona mja wake kama hivi analalamika anatamani utumie muda wako mwingi kumlilia yeye na kumuomba

Sitasahau msoto wa maisha mwaka 2009 hadi 2012 hakika na feel sana unayoyasema
pole sana ndugu. Kuna wengine humu zao ni kebehi tu..unaomba msaada upo serious kabisa halafu anakuja mtu na kejeli zake kama siyo dharau ni nini siabudu mtu boy namwamini na kumuabudu Muumba tu
 
Aisee..
Hizo najua ni hasira za kukosa kazi na shida ulionayo pole sana lakini nina uwezo wa kukuita kabisa na nikakushika mkono na kazi ukapata ila kwa kuwa unadharau endelea na dharau na hili lidharau kabisaa
Mkuu kama unaconnection yoyote naomba niunganishe mimi ndugu yangu..serious
 
Nakumbuka miaka 12 liyopita nilipopata digrii ya kwanza nilitegemea kuajiriwa kwa mshahara mkubwa,matokeo yake niliajiriwa na kampuni moja nikawa nalipwa 80,000/=,lakini sikuikataa ile kazi lengo langu lilikuwa unatafuta kazi ukiwa ndani ya kazi pamoja na kutafuta uzoefu pia.Nakushauri,tafuta kazi yoyote hata kama unalipwa 50,000.
 
Maneno yako yanaakithi mama yako alikuzalia nyuma na sio mbele nahisi akili yako ilichanganyika na Mavi ya Mamako
nyie ndio wale mamanze mnapigwaga mimba halafu hamjui baba za watoto wenu..by the way nishaachaga mambo za kula tigo ningekuibukia hapo nikuweke hayo marinda sawa bahati yako
 
Nakumbuka miaka 12 liyopita nilipopata digrii ya kwanza nilitegemea kuajiriwa kwa mshahara mkubwa,matokeo yake niliajiriwa na kampuni moja nikawa nalipwa 80,000/=,lakini sikuikataa ile kazi lengo langu lilikuwa unatafuta kazi ukiwa ndani ya kazi pamoja na kutafuta uzoefu pia.Nakushauri,tafuta kazi yoyote hata kama unalipwa 50,000.
iyo 80 miaka 12 ilopita ilikuwa ela ya maana siyo kama sasa
 
Huyu anaonekana ni chalii wa Arusha kabisa.
Ni wale wanaovaaga shati kubwa Kama kanzu na buti kubwa lenye saizi mara mbili ya mguu wake.
Yaani kule kila mtu ni jeuri,mtu akipata laki 5 anaenda kufunga bar.
umekariri mzee mi nzaliwa wa ntwara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom