This is too much

This is too much

amin mkuu..ila raia hatupendani kabisa unakuta watu kibao humu wanazo harakati ila angeomba shori hapa shobo dundo

Jaribu kuwa na subira na ustahimivu, janga hili sio la kwako pekee, mko wengi sana huku mtaani.
 
Pole sana una shida alafu unamtukana mtu hata humjui kisa tuu hasira zako za maisha...
Any way nimekusamehe ila kwa kuwa ushanitukana fala asnte nashukuru acha nikae na ufala wangu endekea kusota na mi bahasha yako ya A4.
pita kushoto fala wewe
 
huna lolote we fala ungekua na msaada hapa ungetoa..siabudu mtu pita ivi na mia fala wewe
 
Aise ndo nyie mnaongeaga peke yenu barabarani na elimu zenu kwa sababu ya dharau zenu
huna lolote wewe kapuku tu kama mimi wenye msaada hawapo hivi..pole kawapange mazwazwa wengine mi mtoto wa town sina na naishi usinitishe narudia tena wewe ni fala na usikomenti tena kwenye huu uzi maana huna msaada hata wa mawazo pita kushoto nyumbu..nyambaf eti utanisaidia kamnunulie pedi manzi mi huna cha kunisaidia
 
Aisee..
Hizo najua ni hasira za kukosa kazi na shida ulionayo pole sana lakini nina uwezo wa kukuita kabisa na nikakushika mkono na kazi ukapata ila kwa kuwa unadharau endelea na dharau na hili lidharau kabisaa
umejuaje we mke wangu
 
Ok sawa nimekuelewa
huna lolote wewe kapuku tu kama mimi wenye msaada hawapo hivi..pole kawapange mazwazwa wengine mi mtoto wa town sina na naishi usinitishe narudia tena wewe ni fala na usikomenti tena kwenye huu uzi maana huna msaada hata wa mawazo pita kushoto nyumbu..nyambaf eti utanisaidia kamnunulie pedi manzi mi huna cha kunisaidia
 
Ok sawa nimekuelewa
yani muda wote hujaelewa ndo unaelewa sasa hivi kumbe hata uelewa wako ni mdogo sana..anyway nitaendelea tu kukupenda kwa sababu ya utz wetu ila wewe ni zero brain kabisa
 
amin mkuu..ila raia hatupendani kabisa unakuta watu kibao humu wanazo harakati ila angeomba shori hapa shobo dundo
Kwa hizi kauli zako za kihuni Ni HR gani au raia gani anaejielewa ataweza kukupa hiyo kazi au mishe...Jaribu kuficha Negative behaviors zako ukiweza hilo itakusaidia sana.
 
unajikuta malaika peleka uzuzu kwa babako
 
Pole sana una shida alafu unamtukana mtu hata humjui kisa tuu hasira zako za maisha...
Any way nimekusamehe ila kwa kuwa ushanitukana fala asnte nashukuru acha nikae na ufala wangu endekea kusota na mi bahasha yako ya A4.
Vijana wa siku hizi nidhamu hawana kabisa mkuu, halafu anategemea kupata connection ya kazi kwa lugha zake hizi.
 
nyie ndo waganga njaa wenyewe amna cha connection wala nini..piteni hivi watakuja wenye kutaka kusaidia ati mnajikuta wastaarabu shubaaamit piteni kule nyuzi za kuchangia zipo kibao huu niachieni na wenzangu waliopo real sihitaji hizo porojo zenu nukta
 
Wewe dogo kweli kichwani hamna kitu kabisa, unashindwa hata kufikiria kawaida tu, lets say kweli mimi ni mganga njaa sina connection ya kukupa wala chochote, sasa huyo mwenye connection na anaetaka kukupa kazi akisoma haya majibu yako unadhani atakuchukuliaje?

Bado una safari ndefu mdogo wangu jitathmini.
 
Wazo lilikua zuri sana ila hapo kwenye lugha ndugu yangu umeharibu,hakika ukitaka kudumu kazini cha kwanza lugha na kitu cha pili muheshimu kila unaekutana nae,kuna walinzi ila wao maofisini ndio wana final say ya nani achukuliwe sababu tu ya connection yake na boss.
Pia elewa connection sio mpaka mtu akueleze lete Bahasha hapa NO mtu akikueleza tu kuna nafasi ofisi flani kaombe pia ni connection maana siku hizi kazi nyingi hazitangazwi. Sasa ulichokifanya hapa hujatengeneza ila umeharibu wewe ni kijana mwenzangu mtafutaji kama mimi ila huu mtindo ubadilishe kwanza mambo yataenda,achana na mob kwa kusema connection iwekwe kwa wote sababu hilo haliwezekani unapaswa usimame wewe kama wewe na ujenge imani ya watu,tatizo la connection ukimpa mtu akaenda akaharibu anakua ameharibu kwake na kwa uliempa nyote mtaonekana hamna maana,hivyo jirekebishe ndugu.
Ahsante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom