This is too much

This is too much

teledam

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
927
Reaction score
1,239
Naandika kutoka moyoni kabisa na hili limenikera mpaka nimeona niliseme tu nisije kufa na mapresha ya kuvumilia huu uduwanzi

Yaani hapa kwetu sasa hivi bila kumjua fulani au mtu anayejuana na fulani hupati kazi kweli jamani ndo tumefika huku na mimi sasa ambaye ndio msomi pekee kutoka kwetu huku nyamisati nimjue nani anipe connection ee baba tusaidie

Tuwe na aibu jamani kwanini ajira isiwe tu kama zinafanyika selection za vyuo ama form five kwamba mwenye sifa ama vigezo ndiye mwenye kupata nafasi, tupendane tusaidiane tuache mambo ya kibaguzi wote ni taifa moja na lengo letu ni moja

Mwisho kabisa naomba mwenye connection aniunganishe mahali basi maana hakuna namna hapa yani nimesota mpaka nimekubali tuoneane huruma jamani

Jamani wote mnasali mnatoa sadaka na wengi ni waamini wazuri wa dini zote zilizopo tz naomba mnipe hata kamchongo ka laki tano wazee maisha magumu
 
yaaaani LAKI TANO unaita ka mchongo hata ka laki tano ??? watu wanaheshimu buku ww laki tano unaita ka mchongo ?
buku utanunulia nini babu tuache bana utani nataka maisha manzi na vitu vingine vizurizuri asa kumbe ulitaka nitaje milioni mbili au nipe basi kazi ya 2m
 
Kazi gani unataka kulingana na elimu yako?
Siyo lazima unipe mimi weka hapa wazi unayo vacancy gani wahitaji ni wengi..hata hivyo nimeanzisha huu uzi kuwakilisha graduates kibao wanaosuffer huku wakiwa hawana hili wala lile mitaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom