This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Mie nadhani tusimsemee Rost kama wengine wanavyojitia kimbelembele kumsemea kwa kujita ni wazalendo-"eti kutaleta fujo".
Mie nadhani hapa pana ukweli maana ametumika kufanya calculation kuu 3 na kuzifanikisha:Calculation ya 1 ya kujiingiza katika CCM na kuwanunua wajumbe/wanachama hata kuwa eti mweka hazina (kabla ya kushtukiwa) sababu ya pesa zake hii alifafanikiwa na ya 2 pili ya kuununua uongozi wa nchi nayo amefanikiwa pia ndiyo maana pamoja na ushahidi kede kede hapelekwi mahakamani ya tatu kuuteka uchumi wetu partly amefanikiwa ingawa hapo kidogo pana tatizo. Watanzania tusilale jamani tumeingiliwa mpaka vyumbani

Yaani wewe unaimani kabisa kuwa kiongozi wa Tanzania anaweza kununuliwa na mtu anaefanya biashara hapahapa Tanzania?

Ama kweli logic zingine hazikubaliani na reality. Lakini, mtu akiwa pambaf hata umfganye nini atabaki kuwa pambaf.
 
Kumbee, ni Kiherehere? Hata hujui ukiandikachoo! Nakushangaa!

Nimesema kuwa NITAKUBALIANA NA KILA UNACHOPOST kama tuuuuuuuuuuu!!! unatuwekea hapa POST ULIYOWAKI KUI"THANKS" baasi (na ninahisi ni ya yule aliyepata ban "Jini-ass Brain"). So ukitaka kuonyesha angalau wewe UNAYO HOJA TUWEZE KUKUBALIANA NAYO TOA POST HIYO.
CCM mkubwa we!
 
Nawatafadhalisha mnapoongelea Tanzania msihusishe Mungu; semea miungu yenu mafisadi iwasaidie Hivi mnajua caspian alichoifanya migodi yenu!!!! Kisha mnataja Mungu humo!!!!! Naogopa sana LAANA:bump::bump::bump::bump::bump::bump:
 
Lwangwa... hii post nadhani inakuja zaidi ya mara ya tatu sasa... jaribu kuwa unasoma JF ili kuwa up to date...

Da ess salaam... naona umeamua kuwa mtusi spesheli sasa... you have been warned
 
Ukweli kuhusu Rostam Azizi

Ukurasa mpya wa nchi ulifunuliwa baada ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu Nyerere kwa kuingiliwa kijanja na taifa la nje ambalo linafanya maamuzi ya kiungozi bila watanzania wenyewe kufahamu kwa kujipenyeza kwenye uongozi wa chama cha mapinduzi CCM watu ambao kabla ya kifo cha mwalimu Nyerere haikuwezekana kushika nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.

Mambo haya yanawezekanaje ?
Ikumbukwe kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere Nchi ya Irani ilikuja Tanzania kujenga mradi wa barabara ya Lindi Kibiti lakini muda mfupi mwalimu Nyerere alisitisha ujenzi huo baada ya kugundua kuwa nchi hiyo ilikuwa na wazo la kuitawala Tanzania nasio kutekekeleza mradi huo . Kwa wale wasio jua kipindi hiki, ilikuwa ni miaka ya themenini kabla mwalimu Nyerere hajagatuka uongozi.

Iran baada ya kutimuliwa kwenye mradi huo ,ilimkabidhi Rostam Azizi mitambo yote ya ujenzi ambayo ingetumika kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo,ingawa hakuna anyejua walifahamiana vipi na Rostam Azizi.

Watu wanaomfahamu Rostam Azizi wanasema yeye ni miongoni mwa wa Irani waliopo Tanzania ambaye kwa sasa makazi yake yako Igunga mkoani Tabora , ndugu zake wakaribu wengi wao wanapatikana katika maeneo Mwisi ,Sungwizi , Ndembezi,Bukene ,Mwamala na Itobo mkoani humo ,huku wengine wakiishi Lujewa mjini , mbarali mkoani Mbeya wakilima mpunga.

Nini uhusiano kati ya Rostam Azizi na Iran na zana za ujenzi alizokabidhiwa ,kampuni ya ujenzi wa Caspian construction Tanzania ilianzishwa kwa mtaji wa vifaa hiyo alivyokabidhiwa na Iran,kampuni ambayo pia imefahamika baadaye kuwa ni moja ya matawi ya kampuni mama ya Caspian.

Mitambo hiyo tangu wakati huo inaendelea kutumika kuchimba madini kwenye migodi yote hapa nchini .

Caspian Tanzania haichukui tenda za kuchimba madini moja kwa moja ila kwa mara ya kwanza ilipita kwenye kampuni iliyojenga hospitali ya Rufaa ya Mbeya mitambo yake ambayo ilikuwa ikihifadhiwa eneo la Pugu Road Daresalam baada ya kumaliza ujenzi wa hospitali . kampuni hiyo ilitoweka katika mazingira tata.

Kazi ya uchimbaji madini kwenye migodi yote nchini tangu mwanzo inaonekana kufanywa na mitambo ya kampuni ya Caspian construction ya afrika kusini lakini ukweli ni kwamba kampuni ya Caspian Tanzania ambayo mmliki wake ni Rostam Azizi ndiyo inayojishugulisha na kazi hiyo kwa kivuli cha Caspian ya Afrika kusini.

Tunataka Dunia ijue kuwa Tanzania imevamiwa na Iran na kila anayeiunga mkono Tanzania anaiunga mkono Iran kwa sababu ,mitambo ya Caspian construction Company Tanzania ambayo inamilikiwa na Rostam Azizi ndiyo inayochimba madini kwenye migodi yote hapa nchini ,sehemu ya madini hayo yanapelekwa ulaya ,lakini sehemu kubwa ya madini yote yanakwenda Iran kupitia Caspian construction company.

Kampuni hiyo pia ndiyo inayoamua mchanga kutoka mgodi upi upelekwe nje ya Tanzania ,Ni kampuni hii ambayo pia inapeleka ulaya Sehemu ndogo ya madini hayo kuwapumbaza watanzania wasijue Irani inavyowaibia madin yao.

Vianzo huru vinaweka bayana kuwa asilima 3 ya marahaba inayopata Tanzania inatokana na kiasi cha madini yake yanayokwenda ulaya,wakati sehemu yote ya madini yanayopelekwa Iran hayatozwi chochote ukiachilia mbali mchanga ambao pia unauzwa Dubai kwa ajili ya kujengea hoteli za kifahari na kunakshi mazingira ya hoteli hizo.

Mbali na Tanzania kuibiwa madini yake ,Marekani ambalo ni Taifa kubwa duniani kwa miaka mingi linapambana na ugaidi duniani , vyanzo vya uhakika vinathibitisha kuwa haliwezi kutimiza jukumu hilo bila kwanza kukata mizizi ya Iran iliyojikita nchini Tanzania ambako inachukua bure mdini ya uranium kupitia kampuni ya Caspian construction Tanzania .

Kwa hiyo Rais wa marekani Baraka Obama kuendelea kuumbatia utawala wa Jakaya kikwete ni kuiunga mkono Iran, iwe inajua au haijui huo ndiyo ukweli na ndiyo maana hadi sasa Iran inakiburi katika kutekeleza vikwazo vya kimataifa dhidi ya urutubishaji wa madini ya uranium kwa kuwa ina hazina kubwa ya madini hayo kutoka Tanzania na kwamba Marekani bila kujijua iko nyuma yake.

Kupitia makala haya tunamwonesha marekani,washirika wake katika vita dhidi ya ugaidi na watanzania kuwa wakala wa moja kwa moja wa shirika la jasusi la Iran hapa Tanzania ni Rostam Azizi na namna anavyoendesha shughuli zake za kijasusi kwa ajili ya Iran.

Rostam Azizi ana vituo vikuu viwili Afrika kusini na Ujerumani ambako hukutana na maafisa wa shirika hilo la ujasusi la Iran wanaompangia kazi ingawa kituo chake kikubwa ni ujerumani .Mara zote anapoondoka hapa nchini anaaga kwa visingizio tofauti ikiwemo kupelaka mgonjwa.

Loh! Hata kama c kweli naamini. Watz tuonde wapi 2kawashtaki hawa wezi! Wabunge, plz tusaidieni kuikomboa nchi yetu. Tumechoka kuckia juu ya huu wizi
 
Inackitisha nchi imeporwa na raia tumetulia! Who is ths RA? He must b a predator, of which Watz tunatakiwa tumwogope kama ukoma. Atatumaliza huyu bwana!
 
Nawatafadhalisha mnapoongelea Tanzania msihusishe Mungu; semea miungu yenu mafisadi iwasaidie Hivi mnajua caspian alichoifanya migodi yenu!!!! Kisha mnataja Mungu humo!!!!! Naogopa sana LAANA:bump::bump::bump::bump::bump::bump:

Caspian kaifanyia nini migodi? Haya "hadithi, hadithi, hadithi njoo"
 
Lwangwa... hii post nadhani inakuja zaidi ya mara ya tatu sasa... jaribu kuwa unasoma JF ili kuwa up to date...

Da ess salaam... naona umeamua kuwa mtusi spesheli sasa... you have been warned

Sikutukana nimekuwa banned for three days, jee nikitukana? Si ndio life sentence!
 
Iwangwa brother, kama issue hii una evidence za kutosha then its simple zipeleke CIA; ili wafanye kazi sababu umesema USA hawajui kuhusu hii issue, basi waambie ili kwa kutumia nyenzo zao wanaweza wakamwondoa huyu bwana. Just A phone call will do
 
JF siku hizi bana, yaani mtu akiwaza tu something tayari....... thread inatundikwa!!!!!!!! I fail to understand hayo madini yanayoenda Iran yanapitia njia gani. Eti kupitia Caspian! Mkuu do you have any clue kuhusu uchimbaji na processing ya madini?
 
Iran?hawa jamaa si....?twende nao polepole wasikasirike.lakini wasiachwe hivi hivi!
 
Mh hii makala inaonekana imeandaliwa na mtu ambae ni mpembuzi yakinifu, kwani analeta habari zenye kusindikizwa na data. Na kwa sababu hii inanisukuma kujiuliza maswali kadhaa.
1. Ni kwanini serikali ya Tanzania inashindwa kuzifanyia kazi shutuma zote anazoshutumiwa Rostamu?
2. Kwa nini serikali kwa kutumia mwendesha mashitaka wake mkuu iliyumia nguvu kubwa kupoteza ushahidi wa mmiliki wa kampuni ya Kagoda?
3. Kagoda ndio kampuni iliyokwapua pesa nyingi za EPA kuliko kampuni nyingine na mmiliki wake ni Rostamu. Mbona mpaka leo sheria haijachukua mkondo wake juu ya huyu mwirani? Hata kama alirudisha pesa kwa huruma ya Jk mbona hatukujulishwa hivyo?
Hii inanipa wasi wasi wa mafungamano yaliyopo kati ya watawala wa tz na shirika la ujasusi la Iran. Uranium sasa itazalishwa Tanzania mengi yatajitokeza. Let's wait and See!!
 
EPA

I have carefully read the last words written by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campaign as a front or a shield.

"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa ili Malaika aweze kushinda uchaguzi... Nikajibu kwamba pale benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda... Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo... Lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.

In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.

I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.
Samahani, nimejaribu kupitia hii posti sikumuona tena PW kama alirudi kumalizia, jee alirudi?.
 
wewe ndo hewa iliyopoteza mwelekeo tena unaonekana ni mchakachuaji...haya unalipwa sh ngapi kuwasafisha majizi kama hilo li Rostam...?Pambafuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Akili zako zinakutosha mwenyewe. Mmekaa hapa mmekazana Rostam, Rostam, mkiulizwa kafanya nini, hamna cha kujibu, ubaguzi wa rangi na wa kidini tu. Hamna zaidi ya hicho. Mtakufa navyo vijiba vya roho!
 
Iwangwa brother, kama issue hii una evidence za kutosha then its simple zipeleke CIA; ili wafanye kazi sababu umesema USA hawajui kuhusu hii issue, basi waambie ili kwa kutumia nyenzo zao wanaweza wakamwondoa huyu bwana. Just A phone call will do

Mijitu mingine bwana, hao CIA wanamjuwa Rostam kuliko mnavyo fikiria. CIA watangoja uzushi wa JF? mnashangaza sana!
 
Back
Top Bottom