This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Pumba zingine bwana, hazina kichwa wala miguu!
 
Hivi sasa JK ana kazi ngumu ya kuunda baraza lake la mawaziri na vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kwamba Rostam Aziz anshinikiza watu wake (bila shaka wale wanaoutetea ufisadi) wawekwe kwenye wizara fulani fulani.

Hii ina maananisha JK hana mamlaka yoyote, pamoja na kwamba amechaguliwa na wananchi, na hawezi kumpinga Maulana Rostam kwa sababy yeye (JK) anajua kwamba ndiye aliyemweka.

Watanzania wote tumeingia mkenge na mtu huyu. Tufanyeje kudai uhuru wetu ulioporwa?

Nawasilisha.

Mpaka hapo atakapokufa kwa malaria.
 
Mpaka tutakapokuwa na katiba mpya na tume Huru ya uchaguzi.

Tuwaunge mkono CHADEMA hadi kieleweke. Tuondoe woga,

Mafisadi wanatutisha kidogo tu, watanzania tunaufyata, mafisadi wanaendelea kupeta. Let's wake up Tanzanians.
 
Kushakua na kiongozi ambaye ana market value hayo ndio matokeo yake. RA aliweza kununua hiyo dhamani yake. Na kawaida ukisha nunua kitu utakitumia kwa matumizi uliyoyataka na ndicho anachokifanya. Tutajikomboa vipi? tafakari.......,
 
Rostam Aziz, is soon going to be exposed to the world as an International Terrorist Mastermind in East Africa. He is said to be bussy fighting to buy most governments of weaker economies in this continent as a way to expand a blood business empire.

Aziz may also need to help with information on how much he could be representing and or sponsoring in deadly the Iran interests in stealing Uranium from Tanzania. Indeed, he can say much on how he has been working to assist the illegal making of Nuclear weaponry in the Middle East, his hands in a syndicate of looters of our economy, and more so to say something in his dealings in worst drugs in the world. Sure, no so far away, the world may very well be interested in pursuing him and his most dreaded complicated networks to answer numerous charges.

Likewise, the merchant tycoon and his cohots, may equally be having a lot to tell about their hands in the daily rising incidences of Islamic extremism and recruitment of Youths in East Africa into very dangerous groups.

 
Kwanza atambue tunakuja kuchukua nchi yetu.tumechoka sana sana .subiri subiri subiri.tunashusha vitu huko nyumbani
 
Kura bado hazitasaidia kuwang'oa mafisadi kwani tume iliyopo sio huru. Hapa ili kieleweke lazima katiba ibadilike ndio kitaeleweka; vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu!!!!!!!!!!!!
 
Nasema, na narudia kusema............... sitawaliwi na Rostam, labda wewe na wenzako na siyo Watanzania wote kama mwanzilishi wa mada hii unavyotaka sote tukubali. Mwacheni rais achague baraza lake la mawaziri, kelele nyingi... kwani mna ubia wa urais na JK ????? Kazi zenu mnashindwa, mnadandia za wenzenu. Acheni bana.
 
Hivi sasa JK ana kazi ngumu ya kuunda baraza lake la mawaziri na vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kwamba Rostam Aziz anshinikiza watu wake (bila shaka wale wanaoutetea ufisadi) wawekwe kwenye wizara fulani fulani.

Hii ina maananisha JK hana mamlaka yoyote, pamoja na kwamba amechaguliwa na wananchi, na hawezi kumpinga Maulana Rostam kwa sababy yeye (JK) anajua kwamba ndiye aliyemweka.

Watanzania wote tumeingia mkenge na mtu huyu. Tufanyeje kudai uhuru wetu ulioporwa?

Nawasilisha.

Mpaka maskini wanao kubali kupokea t-shirt, kofia, khanga na buku 2 watakapo wasusia vitu vyao

Au mpaka walalahoi watakapo bumbuluka vitu hivyo juu ndivyo vinavyo wakosesha maendeleo
 
kaazi kweli kweli! kwa nini tusisubiri kwanza baraza liundwe kuliko kukosoa hewa. Tuache jazba jamani! Rais atatupatia baraza zuri tu, na ameahidi hivyo!
 
Jamani SEACOM shareholders wake kina nani?nasikia ROSTAM KARAMAGI wapo!hawa jamaa deal zote za maana za kwao
 
Dar es salaam kumekuchaaaaaa..... togwa lako linanoga
 
It's not Power that corrupts but Fear, Fear of losing Power corrupts those who wield it and Fear of the scourge of power corrupts those who are subject to it - Aung San Suu Kyi
 
Ukweli kuhusu Rostam Azizi

Ukurasa mpya wa nchi ulifunuliwa baada ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu Nyerere kwa kuingiliwa kijanja na taifa la nje ambalo linafanya maamuzi ya kiungozi bila watanzania wenyewe kufahamu kwa kujipenyeza kwenye uongozi wa chama cha mapinduzi CCM watu ambao kabla ya kifo cha mwalimu Nyerere haikuwezekana kushika nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.

Mambo haya yanawezekanaje ?
Ikumbukwe kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere Nchi ya Irani ilikuja Tanzania kujenga mradi wa barabara ya Lindi –Kibiti lakini muda mfupi mwalimu Nyerere alisitisha ujenzi huo baada ya kugundua kuwa nchi hiyo ilikuwa na wazo la kuitawala Tanzania nasio kutekekeleza mradi huo . Kwa wale wasio jua kipindi hiki, ilikuwa ni miaka ya themenini kabla mwalimu Nyerere hajag’atuka uongozi.

Iran baada ya kutimuliwa kwenye mradi huo ,ilimkabidhi Rostam Azizi mitambo yote ya ujenzi ambayo ingetumika kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo,ingawa hakuna anyejua walifahamiana vipi na Rostam Azizi.

Watu wanaomfahamu Rostam Azizi wanasema yeye ni miongoni mwa wa Irani waliopo Tanzania ambaye kwa sasa makazi yake yako Igunga mkoani Tabora , ndugu zake wakaribu wengi wao wanapatikana katika maeneo Mwisi ,Sungwizi , Ndembezi,Bukene ,Mwamala na Itobo mkoani humo ,huku wengine wakiishi Lujewa mjini , mbarali mkoani Mbeya wakilima mpunga.

Nini uhusiano kati ya Rostam Azizi na Iran na zana za ujenzi alizokabidhiwa ,kampuni ya ujenzi wa Caspian construction Tanzania ilianzishwa kwa mtaji wa vifaa hiyo alivyokabidhiwa na Iran,kampuni ambayo pia imefahamika baadaye kuwa ni moja ya matawi ya kampuni mama ya Caspian.

Mitambo hiyo tangu wakati huo inaendelea kutumika kuchimba madini kwenye migodi yote hapa nchini .

Caspian Tanzania haichukui tenda za kuchimba madini moja kwa moja ila kwa mara ya kwanza ilipita kwenye kampuni iliyojenga hospitali ya Rufaa ya Mbeya mitambo yake ambayo ilikuwa ikihifadhiwa eneo la Pugu Road Daresalam baada ya kumaliza ujenzi wa hospitali . kampuni hiyo ilitoweka katika mazingira tata.

Kazi ya uchimbaji madini kwenye migodi yote nchini tangu mwanzo inaonekana kufanywa na mitambo ya kampuni ya Caspian construction ya afrika kusini lakini ukweli ni kwamba kampuni ya Caspian Tanzania ambayo mmliki wake ni Rostam Azizi ndiyo inayojishugulisha na kazi hiyo kwa kivuli cha Caspian ya Afrika kusini.

Tunataka Dunia ijue kuwa Tanzania imevamiwa na Iran na kila anayeiunga mkono Tanzania anaiunga mkono Iran kwa sababu ,mitambo ya Caspian construction Company Tanzania ambayo inamilikiwa na Rostam Azizi ndiyo inayochimba madini kwenye migodi yote hapa nchini ,sehemu ya madini hayo yanapelekwa ulaya ,lakini sehemu kubwa ya madini yote yanakwenda Iran kupitia Caspian construction company.

Kampuni hiyo pia ndiyo inayoamua mchanga kutoka mgodi upi upelekwe nje ya Tanzania ,Ni kampuni hii ambayo pia inapeleka ulaya Sehemu ndogo ya madini hayo kuwapumbaza watanzania wasijue Irani inavyowaibia madin yao.

Vianzo huru vinaweka bayana kuwa asilima 3 ya marahaba inayopata Tanzania inatokana na kiasi cha madini yake yanayokwenda ulaya,wakati sehemu yote ya madini yanayopelekwa Iran hayatozwi chochote ukiachilia mbali mchanga ambao pia unauzwa Dubai kwa ajili ya kujengea hoteli za kifahari na kunakshi mazingira ya hoteli hizo.

Mbali na Tanzania kuibiwa madini yake ,Marekani ambalo ni Taifa kubwa duniani kwa miaka mingi linapambana na ugaidi duniani , vyanzo vya uhakika vinathibitisha kuwa haliwezi kutimiza jukumu hilo bila kwanza kukata mizizi ya Iran iliyojikita nchini Tanzania ambako inachukua bure mdini ya uranium kupitia kampuni ya Caspian construction Tanzania .

Kwa hiyo Rais wa marekani Baraka Obama kuendelea kuumbatia utawala wa Jakaya kikwete ni kuiunga mkono Iran, iwe inajua au haijui huo ndiyo ukweli na ndiyo maana hadi sasa Iran inakiburi katika kutekeleza vikwazo vya kimataifa dhidi ya urutubishaji wa madini ya uranium kwa kuwa ina hazina kubwa ya madini hayo kutoka Tanzania na kwamba Marekani bila kujijua iko nyuma yake.

Kupitia makala haya tunamwonesha marekani,washirika wake katika vita dhidi ya ugaidi na watanzania kuwa wakala wa moja kwa moja wa shirika la jasusi la Iran hapa Tanzania ni Rostam Azizi na namna anavyoendesha shughuli zake za kijasusi kwa ajili ya Iran.

Rostam Azizi ana vituo vikuu viwili Afrika kusini na Ujerumani ambako hukutana na maafisa wa shirika hilo la ujasusi la Iran wanaompangia kazi ingawa kituo chake kikubwa ni ujerumani .Mara zote anapoondoka hapa nchini anaaga kwa visingizio tofauti ikiwemo kupelaka mgonjwa.

Hajawahi hata mara moja kwenda Iran na kama amewahi kufanya hivyo ni kwa siri na kupitia nchi nyingine ,hii ina maanisha nini ?anawaghiribu wa Tanzania wasifahamu ujasusi wake na hivyo amefanikiwa kuikwepa idara ya ujasusi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi imejigamba kuwa na uwezo mkubwa wa kazi. Kama sivyo Jasusi huyu amefanikiwa kuinunua Idara hiyo.

Iran inafahamu kwamba kikwete anafahamu ujasusi wa Irani hapa nchini ,lakini anaogopa kuchukua hatua dhidi yao akihofia kuhatarisha maisha yake ,kwani amejipeleka mno kwao hata ameozwa mtoto wa Megheji na mtoto wa Asas ambaye harusi yake ilifanyikia kwenye hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika mkoa wa Iringa, wote hawa ni wa Iran.

Ndiyo maana ubadhilifu wote unaofanywa na Rostam Azizi kikwete anashindwa hata kuukemea sembuse kuchukua hutua za kisheria? Kwa hiyo kitendo cha Jakaya kikwete alipokuwa igumga wakati wa kampeni zake za Urais kumunadi Rostam Azizi kuwa ni mtu safi hazikuwa za kubahatisha na zinatoa picha kuwa bila Rostam Azizi kikwete hawezi kuongoza nchi.
Inaendelea -------------
 
Rostam Azizi,mtu ambaye wakati wa Nyerere asingeingia kwenye siasa za Tanzania amewezaje kufika hapo baada ya kufa Nyerere st1\:*{behavior:url(#ieooui) } Rostam Azizi,mtu ambaye wakati wa Nyerere asingeingia kwenye siasa za Tanzania amewezaje kufika hapo baada ya kufa Nyerere?

Ni baada ya Iran kutimuliwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara ya Lindi –Kibiti ,Rostam Azizi alipofanya jaribio la kwanza kuingia kwenye siasa za Tanzania Nyerere akiwa hai kwa kukodi ndege kwa siri iliyowapeleka Kikwete na Lowassa butiamu nyumbani kwa baba wa taifa mwalimu Juliasi Kambarage Nyerere kujitambulisha kwamba Kikwete anataka kugombea urais mwaka 1995.

Lakini mbele ya Kikwete na Lowassa mwalimu alijifanya hajui chochote kuhusu nani anaye wabeba,ingawa alijua kila kitu kwamba ndani ya mpango mzima wa Lowasa na kikwete kugombea nafasi ya urais kulikuwa na njama zilizosukwa kati ya Lowasa na Rostam Azizi bila kikwete kufahamu wala Lowasa kufahamu maudhui ya njama zilizoandaliwa na shirika la kijasusi la Irani kupitia Rostam Azizi.

Rostam Azizi kwa kuwa alijua kinachoendelea kati yake na shirika lake la kijasusi la Iran kukamilisha malengo yake ya muda mrefu alisoma misimamo na mawazo ya Lowasa na kikwete bila wao kujifahamu kwamba anataka awatumie kuwa kiungo cha kukamilisha malengo yaliyokusudiwa na taifa la Iran.

Kwa bahati Nyerere yote aliyafahamu na kuwaruhusu waendelee na mipango ya kugombea kwani alijua angeitegua mipango hiyo lini na wapi na alifanikiwa kufanya hivyo kwa kumwambia kikwete kwamba bado ni kijana mdogo asubiri na kwamba Lowasa hafai kwa sababu ya maudhui ya Rushwa ,kutokuwa mkweli na mchafu .

Rostam Azizi amefanya jaribio la pili kuingia kwenye siasa za Tanzania baada ya kifo cha Nyerere kwa kuingia kwa nguvu za kifedha kwenye kampeni za Benjamini Mkapa kugombea urais awamu ya pili mwaka 2000 ambapo aligharimia vifaa vya kampeni za uchaguzi kwa ajili ya chama cha mapinduzi CCM bila Mkapa kufahamu Rostam Azizi anajenga urafiki wa karibu naye kwa nia ya kudhoofisha msimamo wake wa kukilinda chama hicho.

Huu ulikuwa mwanzo wa Rushwa kuingia katika chaguzi ndani ya chama cha mapinduzi CCM ambapo tofauti na enzi ya mwalimu Nyerere, mgombea aliweza kupata nafasi ya uongozi bila kutoa rushwa

Vifaa hivyo vya kampeni vikiwemo kofia ,fulana na mabango ya namna mbali mbali vilivyogharimu mabilioni ya fedha havikuhitajika kwa sababu watanzania walikuwa tayari kumchagua tena Mkapa bila kufanya kampeni kwa kumwenzi baba wa taifa .

Lakini taifa la Iran kupitia jasusi wao Rostam Azizi liliendelea kumwingilia Mkapa na kumweza kwa sababu alikuwa hana kinga kama iliyokuwa inatolewa na mwalimu Nyerere na bahati mbaya zaidi mfumo wa utawala haukutoa nafasi kwa Rais mstaafu Ali Hassani Mwinyi pamoja na kuwa na nguvu ya kisiasa kuliko Mkapa wakati huo ya kumlinda

Mwaka 2000 Mkapa alikubali ushawishi wa jasusi wa Iran hapa nchini Rostam Aziz kutumia vifaa vya kampeni alivyotoa jasusi huyo kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huo kwa mgombea wa urais wa chama cha mapinduzi CCM Kitendo ambacho kwanza:-

Ilikuwa ni matayarisho ya Rostam Aziz kukinunua chama cha mapinduzi ambacho aliamini kuwa chama hicho kina nguvu ya kuendelea kutoa viongozi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na pili kuhakikisha viongozi wa chama hicho ngazi zote wanashika madaraka kwa njia ya rushwa ili iwe rahisi kwa jasusi Rostam Aziz kwa kutumia uwezo wake wa kifedha anaofadhiliwa na Iran kuamua nani awe kiongozi wa chama cha mapinduzi na serikali ili kuirahisishia Iran kutimiza malengo yake .

Rostam Azizi alianzisha rushwa itumike kwenye chaguzi zilizohusu wagombea wa chama hicho ilikutoa nafasi kwa wa Iran ambao wanauwezo mkubwa kifedha kuingia kwenye mfumo wa utawala wa serikali ya Tanzania kutimiza malengo yao ya muda mrefu ya kuanzisha himaya yenye mlengo wa Ki –Irani katika jamhuri ya Tanzania kwa kuweka viongozi wanaochaguliwa na shirika la ujasusi la Iran bila watanzania kujua.

Makusudio mengine ya mpango wa Iran ni kuwakwamisha watanzania waadilifu wenye nia thabiti ya uzalendo wa taifa hili washindwe kugombea nafasi mbali mbali za uongozi nchini .

Katika kutimiza mpango huo Rostam Aziz amefanikiwa kuwapenyeza wa Iran waTano kwenye halmashauri kuu ya Taifa (NEC) ya chama cha mapinduzi CCM ambapo wa nne kati yao wameingia kwenye NEC kwa wadhifa wao wakuwa wenyeviti wa CCM mkoa wa Mbeya Nuwabu Mulla, na mikoa ya Kigoma ,Shinyanga na Tabora huku Rostam Aziz mwenyewe Mu-Iran wa tano kwenye chombo hicho na mjumbe wa kamati kuu ya NEC chombo ambacho ni kiungo muhimu katika maamuzi ya nani awe kiongozi ngazi gani, nani aenguliwe .Kumbuka yaliyomkuta aliyekuwa spika katika bunge la tisa Samweli Sitta

Kikosi hiki cha wa Iran hawa watano kinapewa maelekezo ya jinsi ya kufanya mambo yanayohitajika na kufadhiliwa kwa kila kitu na serikali ya Iran.

Kwahiyo haishangazi makabila ya wanyakyusa ,wandali ,wamalila ,wasafwa ,wanyamwanga wa mkoa wa mbeya ambayo ni miongoni mwa jamii za kwanza Tanzania kupata elimu ya kutosha kuona mkoa wao unataaliwa na mwi Iran kupitia chama cha mapinduzi.

Iran inakazi nzito kwa Tanzania kwani mwenyekiti wa ccm wa Tabora aliyekuwapo kabla ya aliyepo sasa aliondolewa madarakani na jasusi Rostam Aziz ambapo vyanzo huru vinataja kuwa aliyeko madarakani sasa amepenyezwa kwa nguvu za Rostam Aziz kuwa miongoni mwa vibaraka wa Iran.

Mpango huo unaoendeshwa na Rostam Aziz wa kuendelea kusimika Wa – Iran kuwa wenyeviti wa CCM wa mikoa umegonga mwamba katika mkoa wa Iringa baada ya wenyeji wa mkoa huo mwaka 2007 kugundua njama hizo na wakaamua wamchague Deo Sanga bila kujali viwango vyake vya elimu ili kuondokana na utumwa wa Wa-Iran.

Mbali na Jakaya Kikwete wengine waliokaribu na Rostam Aziz ni Andrew Chenge ambaye anatajwa kama mwanafamilia ingawa haibanishi uhusioano wakifamilia na Edward Lowassa ambaye ni daraja muhimu kati ya jasusi Rostam na serikali ya jamhuri ya muungano Tanzania .

Iran inataka kuifanya jamhuri ya Tanzania kuwa Taifa liongozwe kiimla ,kiislamu na nchi hiyo ipate nafasi ya kuvuna madini ya Tanzania inayotaka kadri itakavyo. Bahati njema watanzania ni watu wenye hulka isiyozingatia tofauti za kidini.

Katika jitihada zao za kutimiza malengo hayo shirika la kijasusi la Iran baada ya kumdhibiti mkapa liliwavuruga maafisa usalama wa Taifa wa Tanzania waadilifu kuhakisha hawamtahadharishi Mkapa kuhusu nyendo za shirika hilo hapa nchini na hivyo kutoa nafasi kwa Rostam Azizi akiwa wakala wa Shirika hilo la kijasusi aendelee kujiingiza zaidi ndani ya chama cha mapinduzi .

Vyanzo vya uhakika vimesisitiza kuwa Mkapa wakati wa utawala wake ndiye aliyedanganywa kwa kiwango kikubwa mno kwa uongo ambao ulianza kumwezesha Jasusi Rostam anze kuhesabu mafanikio aliyotaka lasivyo rais wa Tanzania baada ya Mkapa angekuwa John Samweli Malecela.

Jasusi Rostam Aziz aliandaa kwa umakini mkubwa mpango wa kumwondoa John Samwel Malecela kwenye arodha ya wagombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM 2005.

Jasusi huyu alikutana na Kingunge Ngombare Mwiru , Mzee Rashidi Mfaume Kawawa wakati wa uhai wake na Mkapa kwa nyakati tofauti, vyanzo vinataarifu kuwa yaliyojadiliwa hayakujulikana lakini matokeo yake ni haya:-

Malecela ambaye alikuwa wa kwanza kurudisha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake agombee urais,hakujadiliwa kwenye kikao cha kuwajadili wanachama wa ccm waliomba wateuliwe kugombea nafasi hiyo lakini alipoingia kwenye ukumbi husika alikuta kiti cha makamu mwenyekiti wa ccm kiko wazi nakutakiwa akae ili asaidiane na mwenyikiti wa CCM Benjamin Mkapa kuwajadili wagombea wengine waliomba nafasi hiyo. . Hata hivyo haikuwa rahisi kwa kingunge Ngombale Mwiru kupinga mtego huo kwani Jakaya kikwete ni mtoto wa mdogo wa mama yake kingunge Ngombare mwiru.

Jasusi Rostam Aziz amefanya hayo akijua kuwa kama Malecela angepitia taratibu zote za kuchuja wagombea angeshinda na angegombea urais na lazima ageshinda urais na kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Inaendelea wana jf
 
Hivi wewe, hujui History ya watu wa Iran katika bara hili na zaidi hapa kwetu ambapo kwa sasa tunapaita Tanzania?

Hata Nyerere uliyemtja anafaham sana hilo na ndio maana akaivunja Tanu na kuanzisha CCM, chama ambacho ni matunda ya Tanu na Afro Shirazi Party. Jee unajuwa Shirazi ni nini?

Kama hujui, rudi kwenye wajuzi wakujuze.

Wacha kubandika post za upuuzi na zinazo farakanisha badili ya kuunganisha.

Mungi Ibariki Afrika Mungu Ibariki Tanzania
 
Wakati wa Nyerere wewe ulikuwepo?

Wakati wa Nyerere kaRostam Aziz kalikwepi na kalikuwa katoto kadogo kaskuli! Sasa ulitaka kafanye nini?
 
Back
Top Bottom