This is Rostam I know... The Story Behind the Man

The problem ya wabongo ni ku-treat things like a bit walking the plank! Hatujaona anayejitokeza wazi wazi na kusema Dowans ni ya X or Y! We have inherent unaccountability! Ndiyo maana utaambiwa back your allegations with names, facts, and figures.
 
Mna ushahidi wowote katika haya mnayomzulia RA? Au mna chuki binafsi kwa RA? Ni kwa ajili ya Rangi yake? Au Dini yake?
Ndg yngu kweli ni mtz wewe?ata uzalendo kdg?du!ata mtt alozaliwa leo ukimtajia RA ataanza kulia!
 
Wadau hii mimi inaniumiza kichwa sana,
Jaji Werema amesema kuwa "...lakini Jaji huyo alisema kwa mujibu wa rekodi, Dowans ilisajiliwa Costa Rica na kwamba inaonesha kuwa Rostama Aziz (Mbunge wa Igunga) alipewa nguvu ya kisheria tu...",

Na tukikumbuka EPA jamaa huyu ndie kuna MAKAMPUNI yeye ndie MWAKILISHI wao na ndiye alikuwa anakwenda kuchukua hizo hela Benki CRDB.

Je ni kwanini kilasiku huyuhuyu!!!
Kwanini lakini?
 
For your information, hizo kampuni zote ni za system (uwt) na RA ni mfanyakazi wa system (uwt) kitengo cha biashara, na hizo fedha zote ndio zinaiwezesha (uwt) kuwa na fedha za matanuzi zaidi ya bajeti ya wizara yeyote ile. Jee, ulishawahi kuiona bajeti ya uwt ikipitishwa bungeni?

Vijana mna nini? mnachokonowa mpaka mjuwe siri za nchi?
 
DSM umerudi kutoka Kandahar ..... umemaliza kozi yako ya Martyrdom .... Al Zawahiri hajambo? suicide wapi na lini au mwaka mpaya?..... west bank hauendi tena au.... wewe wapenda udaku
 
Wadau hii mimi inaniumiza kichwa sana,
Jaji Werema amesema kuwa "...lakini Jaji huyo alisema kwa mujibu wa rekodi, Dowans ilisajiliwa Costa Rica na kwamba inaonesha kuwa Rostama Aziz (Mbunge wa Igunga) alipewa nguvu ya kisheria tu...",

Na tukikumbuka EPA jamaa huyu ndie kuna MAKAMPUNI yeye ndie MWAKILISHI wao na ndiye alikuwa anakwenda kuchukua hizo hela Benki CRDB.

Je ni kwanini kilasiku huyuhuyu!!!
Kwanini lakini?

Huyu jamaa ni sleeper agent wa nchi fulani.Katika u-sleeper mtu anajifunza mbinu nyingi za kishenzi.Sitakwenda into details,lakini itoshe kusema jamaa ana jitahidi kuzitumia kufanikisha mambo yake.
 
He who joyfully marches to music in rank and file like RA has already earned my contempt. He has been given a large brain by mistake, since for him the spinal cord would suffice.
 
IBARA YA 13(6)(c) ni marufuku kwa mtu kuadhibiwa kwa sababu ya kitendo chohote ambacho alipokitenda hakikuwa ni
kosa chini ya sheria, na pia kwamba ni marufuku kwa adhabu kutolewa ambayo ni kubwa kuliko adhabu
iliyokuwapo wakati kosa linalohusika lilipotendwa;
(d) kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika shughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya jinai na katika shughuli nyinginezo ....

WAACHENI KINA RA, EL WAWE HURU MAANA LABDA WAKATI WANAANDIKISHA KAMPUNI HEWA HALIKUWA KOSA WKT ULE
 
Maana imefika sasa hata jumjua mwenye dowans ili alipwe inakuwa shida wkt kuna vyombo strong vya upelelezi na ujasusi lkn vinashindwa kutuambia nani ni mmiliki au aliyeiandikisha dowans ila kwenye malipo yanasisitizwa hata na mwanasheria mkuu kwamba lazima walipwe. Jamaniiiii katibaaaaaaa mpya ni tiba.
 
Mbona mmewaacha CUF peke yao bac ktk hilo la katiba!
 
Maana imefika sasa hata jumjua mwenye dowans ili alipwe inakuwa shida wkt kuna vyombo strong vya upelelezi na ujasusi lkn vinashindwa kutuambia nani ni mmiliki au aliyeiandikisha dowans ila kwenye malipo yanasisitizwa hata na mwanasheria mkuu kwamba lazima walipwe. Jamaniiiii katibaaaaaaa mpya ni tiba.

Mmiliki wa Dowans anajulikana, vinginevyo serikali ilikuwa na kesi na nani? na itamlipa nani.
Hivi mkataba ulikuwa wa Richmond na serikali, mbona Richomduli haizungumzwi tena.
Hivi kuongeza bili ya umeme kwanini isiwe ni sehemu ya malipo haya ya kikundi cha watu wawili au watatu.
Hivi Wajapan wanapojenga vyoo vya shule kwa sh milioni 10, Halafu tunalipa watu watatu bilioni 180, hapa umasikini ni rasilimali au akili?
Inasikitisha sana, yaani watu 3 wanayumbisha nchi nzima, inasikitisha sana.
Kinachosikitisha zaidi ni pale unapokutana na Watanzania,ukiwauliza mambo? wanajibu Poa! mtoto anakalia mawe shuleni, mzazi anazlia sakafuni, mgonjwa analala mzungu wa nne! kodi yake inalipa IPTL, Dowans ! watu wasiozidi 4, lakini ukiuliza unajibiwa, mambo poa!
Inasikitisha sana Watanzania, sijui kama tunajua hii nchi ni yetu au tunahisi ni wakimbizi nchini mwetu.
 
kitendo cha serikali ya CCM kuji-associate kwa namna yoyote na huyu Rostam kinaonyesha ni jinsi gani chama hicho hakiwajali watanzania na siku moja historia itawahukumu. Ningefurahi kama mtanzania atajitokeza kuweka historia ya huyu jamaa(Rostam) na namna alivyotafuna raslimali za nchi hii chronologically na pia watanzania wazalendo waliojihusisha naye katika kufanikisha hayo yote ili hata kizazi cha nne historia iendelee kuwasuta!
 
Sio kwamba CCM inaji-associate na Rostam kwa kupenda...NO...ni kwamba Rostam is a Mafian type of a guy kajua udhaifu wa viongozi ndani ya CCM na mahitaji yao so now Rostam is a master and the ruler of CCM na viongozi kama Kikwete,makamba,kingunge and the like ni instruments katika shighuri zake...umenielewa?
 
Wadau hii mimi inaniumiza kichwa sana,
Jaji Werema amesema kuwa "...lakini Jaji huyo alisema kwa mujibu wa rekodi, Dowans ilisajiliwa Costa Rica na kwamba inaonesha kuwa Rostama Aziz (Mbunge wa Igunga) alipewa nguvu ya kisheria tu...",

Na tukikumbuka EPA jamaa huyu ndie kuna MAKAMPUNI yeye ndie MWAKILISHI wao na ndiye alikuwa anakwenda kuchukua hizo hela Benki CRDB.

Je ni kwanini kilasiku huyuhuyu!!!
Kwanini lakini?

Ndio mu-aminifu wengine wakipewa wanatoweka nazo hatoi mgao wa Chama na Vigogo! unasemaje hapo inafaa kuwa jibu any way labda tuna-muonea sana Mzee Mkapa alisema tuache wivu wa kijinga; kunaubaya gani yeye kufungua kampuni nyingi na Je si kuwa yeye ndio nateua vyeo vingi hapa TZ labda ata Werema kamteua yeye, Nilikutana na Muarabu mmoja Abu-dhabi alidiri kuniambia kuwa Rostam ni rais wetu na ndiye anateongoza hii nchi nishangaa sana
 
For your information, hizo kampuni zote ni za system (uwt) na RA ni mfanyakazi wa system (uwt) kitengo cha biashara, na hizo fedha zote ndio zinaiwezesha (uwt) kuwa na fedha za matanuzi zaidi ya bajeti ya wizara yeyote ile. Jee, ulishawahi kuiona bajeti ya uwt ikipitishwa bungeni?

Vijana mna nini? mnachokonowa mpaka mjuwe siri za nchi?

Mh! Leo Mdarisalama umenena kitu adhimu kabisa-congratulates
 
RA ni lulu ndani ya CCM. Ndiye master plan wa mbinu zote za kupata pesa kwaajili ya kuendesha shughuli za CCM lakini naye hafanyi hivyo kwa kuinufaisha CCM bali kwaajili ya manufaa yake na kundi lake. CCM wanachokipata ni kidogo sana ukilinganisha na kile anachopata RA kupitita katika biashara zake lakini kwa vile CCM hawana namna ya kupata hata hicho kidogo bila ya RA, wakati wote inabidi wampigie magoti.

Kwa kupitia kampuni yake ya uchimbaji wa madini ya Caspian, amekuwa akijikusanyia mamilioni ya dola kutoka kwenye contracts za migodi yote ya dhahabu ambako upatikanaji wa tender zake umekuwa na msukumo wa serikali. Katika madudu yote ya kampuni hewa/tata, kampuni ya Caspian hutumika kama host company.

RA ni mtu mwenye nguvu ndani ya CCM kuliko yeyote.
 
Wana jf wote tuisusie kwanza kutumia vodacom yake kama kweli tunania ya kumkomesha huyu mtu!kuna caspian,shivacom,seacom,ticts,alphatel,ultimate security,kagoda,richmond,dowans etc!
 
Back
Top Bottom