if it is a story then you are really creative. If it is real then we should say very sorry!Sijui bwana, sikufikiria kama angenibaka (sikujua kama anakaa mwenyewe) au la panic ilinifanya nisifikirie sana.
Halafu a month au two kabla nilipigwa mkwara hadi kuchekiwa bikira; so sijui labda nilihofu kusema.
Any way l was young, naive and stupid.
Duh! ningekuwa mie ningemuambia mama amueleze mme wake, pombe zake zimeniletea madhara....!!!!
Sijui bwana, sikufikiria kama angenibaka (sikujua kama anakaa mwenyewe) au la panic ilinifanya nisifikirie sana.
Halafu a month au two kabla nilipigwa mkwara hadi kuchekiwa bikira; so sijui labda nilihofu kusema.
Any way l was young, naive and stupid.
Hahaha, honestly that day sikusikia utamu wowote zaidi ya maumivu.
Shit do happen babu! Watoto wengi wanakuwa abused na family and close friends. Watu wanaoaminiwa kama guardians. Ndo maana habari ya kutania mwanangu ati sijui mchumba staki kuisikia! Ntanyofoa mtu korodani! No gifts, no utani! Una zawadi unanipa mie mamake. Na nikimkuta na penseli kapewa na uncle, wallah patachimbika!
Mimi ningekuwa wewe ningekubali kubaki na upumbavu wangu badala ya kumjibu. Watu wengine sijui wakoje?
Swali la kizushi: Kwanini umeamua kushea na sisi hii makitu hivi leo tena siku nlokula sakramenti nikimuombea Matesha wngu apate nafuu haraka?
Asante kwa kushare story yako, mie kaka yangu alinisemea kwa mdingi juu ya kaboyfriend kangu ambapo nilikaruhusu kunihug tu ndio ikapelekewa kupigwa na kucheckiwa bikira kabla ya tukio hilo.
Usijali Innocent, just wanted to share my story; unajua watu wengi wanasema 1st love wao penzi haliishi so nikaona niwape uzoefu mwingine wa 1st man wangu.
Pia ni onyo tu kwa wazazi, baba yangu angejua naona angejichukia mpaka basi.
Hawa wazee walevi usiwaamini sana. Ukute alishamuuzia bikra yako mlevi mwenzie wakiwa bar wanakunywa. Akaona ahakikishe kwamba kuwa ipo kabla hajachukua hela, ndio maana akakucheki kama kama dado unayo.Sijui bwana, sikufikiria kama angenibaka (sikujua kama anakaa mwenyewe) au la panic ilinifanya nisifikirie sana.
Halafu a month au two kabla nilipigwa mkwara hadi kuchekiwa bikira; so sijui labda nilihofu kusema.
Any way l was young, naive and stupid.
Ewaaaaaaaaaaa.... lakini mchawi mwenyewe asiwe bazazi Superman. Mtu analoga hata kikombe akinyweacho chai? Khaaa!
I Hate him/her just like the same way I hate fhe faken bazazi aliyemnaniliyu Kaunga! Hivi watu wazima tukoje siku hizi? Waeza mwita bintiyo umkague bikra? How? Utatumia nini? No no no no..... Kaunga, I also hate aliyekukagua bikra asee.... Yes I mean it! Fak him/her!!!!!!!!!!!Nani ali kucheki bikira? Baba? Mama?
Whoever it was,ni udhalilishaji.....
Thanks Kaunga....... Thanks!!Niliisikia sauti ya Roho Mtakatifu ikiniambia kuwa niishee hii story kwani itaokoa wengi, now that you have told me umemwombea Matesha ndio naamini ni Roho huyo huyo kaniongoza nikumention wewe of all people.
Your prayers have been answered, says prophet Kaunga.