Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
alipaswa kumueleza mama kabla ya kwenda huko ,kwani alishajua nia ya huyo bazazi
Kama jamaa linaaminika sana, unaeza kuambulia vibao tu ukaonekana ni muongo....
Sijui bwana, sikufikiria kama angenibaka (sikujua kama anakaa mwenyewe) au la panic ilinifanya nisifikirie sana.
Halafu a month au two kabla nilipigwa mkwara hadi kuchekiwa bikira; so sijui labda nilihofu kusema.
Any way l was young, naive and stupid.
pole yote ni mapito ya dunia
Kaunga, Kaunga Kaunga...... !Copy kwa Asprin na wapenda lager wote wenye mabinti.
Come on Kaunga, this must be a fiction, right?Usijali Innocent, just wanted to share my story; unajua watu wengi wanasema 1st love wao penzi haliishi so nikaona niwape uzoefu mwingine wa 1st man wangu.
Pia ni onyo tu kwa wazazi, baba yangu angejua naona angejichukia mpaka basi.
Pole, mabinti wa siku hizi wajanja sio mabozo kama mimi; na who knows maybe ningeweza kukataa (hofu ndio iliyonitanda), huwa narudisha mkanda nyuma na most of the time najilaumu mwenyewe zaidi.Hii story inatisha especially kwa mzazi mwenye kabinti kake!
Hapa mie nahisi kutetemeka....!
Babu DC!
Am shocked! Thats what I can say, at least for now. Ila Kaunga tutake radhi tunaopenda kalaga..... tunaweza kuwa wakatili lakini si kwa kiwango cha huyu bazazi.....It is a true story.