This is how l lost it.....

I wish "Jamaa" could be me ...

Yuko wapi sasa hivi jamaa? still alive? una habari zake?
 
I wish "Jamaa" could be me ...

Yuko wapi sasa hivi jamaa? still alive? una habari zake?

You are nuts and a half.
Sina habari zake, na sijui yu wapi. The last l heard about him, he was in Dar
 

I think, it has in a way; together with so many things. Sijaona mifano mizuri sana ya ndoa from my mom to ndugu wa karibu (shemeji yangu mmoja naye alimuabuse ndugu yetu aliyechukuliwa na dada from village kwenda kusomea kwake). Ukinichunguza sana (kwa mabandiko mbali mbali unaweza pata picha), ingawa nimejitajidi sana kuiconquer hiyo hali. Anyway, bado nina amini kuna binadamu wa kiume out there; and ninapobahatika kuwa nao, l give my all to them.
 
form 3, mdogo kwa kweli.

Ila naye alipambana harufu ya tumkojo, maana at that age nilikuwa sijui hata kukisafisha vizuri, halafu sikumbuki kuoga asubuhi and that was jioni! LOL
 
Kaunga... Umenigusa mno saana yani,... King'asti story uliyotowa... Imeniuma mno nashukuru umenishtua niione. Thank you dears for sharing. Naamini kabisa... Wengi, hasa wazazi wamejifunza kitu.
 
Duh! ningekuwa mie ningemuambia mama amueleze mme wake, pombe zake zimeniletea madhara....!!!!
ha haaaa, hapo kwenye red umenikumbusha mbali sana rafiki, lol! Kaunga kama haya ni ya kweli basi pole sana...... ila uliwezaje kukaa kimya? yaani bora Evelyn Salt angemwambia mama mimi ningemwambia mwenye pombe yake wakati namkabidhi ili siku nyingine asirudie
 
Last edited by a moderator:
Kaunga, pole na yote yaliyokusibu. Naomba uondoe kwenye akili yako kuwa it's your fault. You gave him the benefit of the doubt. Kati ya nyie wawili yeye ndie alikuwa adult kwahiyo alijua alichokuwa anakifanya. Kama isingkuwa Wewe siku hiyo ingekuwa mtu mwingine. inawezekana alishawahi kubaka au aliendelea kubaka. I have also suffered abuse from a family member . My parents do not know this. Kwa wanaoleta matani hapa kumbukeni aliyebakwa hana alama, kwahiyo angalia yasijeyakakutokea au kumpta ndugu yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…