This is Africa: Hata wanyama walevi

This is Africa: Hata wanyama walevi

Tembo pale nyanganyanga hata kusimama kwishnei lakini matunda bado anayo anayavuta tu ha ha ha... vitumbiri navyo vyapindukapinduka tu full sarakasi.....
Cc farkhina
 
Last edited by a moderator:
Inachekesha sana.

Ndio waache uroho sasa.

Nyani/Tumbili sijui ndio Ngedere kaamka nazo
 
Back
Top Bottom