Kama wanakana na hili kuwa Thisday na Majira wamepotosha, CITIZEN wako sahihi basi waTZ tumekwisha. Jambo lipo wazi, CITIZEN inaonekana kabisa wame edit ile picha kuifanya ile 2 iendane na maneno. why hawa watu wanapenda kukataa hata vitu vilivyowazi. Huyu Mwandishi wa CITIZEN anaonekana ni Corrupt na yupo kwa masilahi ya wanasiasa. Habari ipeleke kama ilivyo.
Nasisitiza Thisday and Majira were correct, au mnataka the citizen tuache kuziamini habari zenu hali itakayopelekea tusinunue magazeti yenu yote. acheni kuendekeza njaa na kujipendekeza mnatunyima haki zetu kupata matukio kama yalivyo huku tukilipa hela zetu kununua magazeti yenu. ACHENI UPOTOSHAJI WA HABARI
Naomba rasmi kuelezea KINACHOFANYIKA. Check ni ya bank moja, lakini watoaji wakiwa wapo zaidi ya mmoja, BANGO (dummy cheque) inawekwa MOJA.
Wa kwanza anaandikiwa anakabidhi, kisha inafutwa na kuandikwa kwa ajili ya wa pili, hivyo hivyo mpaka wa MWISHO.
Kilichotokea ni kuwa baada ya Mufuruki kukabidhi, aliyeandika hakubadili MANENO. Alibadili TARAKIMU tu!!
Ndivyo ilivyofanyika, na ni picha mbili tofauti.
JF tuwe tunafikiria POSITIVELY
..makosa yamefanyika? ndio!
..makosa kama haya yako mengi,katika kila shughuli,hata zile za ku-sign mikataba!
..sasa,hii iko wazi kuwa ni makosa madogo...lakini kukuza suala hili kisiasa haisaidii!
..honeymoon is over ppl,let's move on!
DaR si LAMU,
Hapo kinachotakiwa ni ku review situation nzima na kupata sababu kwanini hilo kosa lilitokea. Baada ya hapo basi wanachukua hatua ili kosa kama hilo lisitokee tena siku za mbeleni.
Lakini kwa TZ hii issue wataifukia bila kufanya uchunguzi wa kina, matokeo yake makosa kama au karibu na hayo yatafanyika siku na sehemu nyingine.
Huwa sisi hatujifunzi kwa makosa yetu na ndio maana makosa yale yale tunarudia mwaka hadi mwaka.
Naomba rasmi kuelezea KINACHOFANYIKA. Check ni ya bank moja, lakini watoaji wakiwa wapo zaidi ya mmoja, BANGO (dummy cheque) inawekwa MOJA.
Wa kwanza anaandikiwa anakabidhi, kisha inafutwa na kuandikwa kwa ajili ya wa pili, hivyo hivyo mpaka wa MWISHO.
Kilichotokea ni kuwa baada ya Mufuruki kukabidhi, aliyeandika hakubadili MANENO. Alibadili TARAKIMU tu!!
Ndivyo ilivyofanyika, na ni picha mbili tofauti.
JF tuwe tunafikiria POSITIVELY
Asante FD.
Hii explanation yako iko very clear!
Lets move on!
Admin nafikiri hii tunaweza kuiita ACCEPTABLE answer na naomba thread ifungwe.
Asante kwa kila aliyejaribu kuelezea.
Jamani picha ya THISDAY na CITIZEN ni tofauti moja inaoyensha Rais akipokea hundi toka kwa Mr. Ali Mufuruki (Yeye ni mweusi) na ndo maandishi na namba vinaendana. Lakini hiyo nyingine inaoyesha Rais akipokea hundi toka kwa Mkurugenzi wa Benki ya Duania kwa nchi za Tanzania na Uganda (yeye ni mzungu). Kwa hiyo hakuna haja ya kulinganisha hizi picha kwani ni za watu 2 wawili tofauti jamani.
FD,
Ndio maana nakupenda sana, wewe kweli MTAZAMA PANDE ZOTE ZA SHILINGInatamani ningekuwa na dada yangu walahi ningeomba umuoe lau kwa siku chache!
Tufunge Thread, zimekuwa nyingi mno wakati ujumbe huo huo!
Hata mimi sioni tatizo lolote katika picha ya THIS DAY...Oh well, ukipenda chongo utaita kengeza...