Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Hata mimi sioni tatizo lolote katika picha ya THIS DAY...Oh well, ukipenda chongo utaita kengeza...Mbona ya thisday ndio inaonekana vizuri wakati hiyo citizen inaonekana kabisa kama namba imefutwa?
Majira pia wana picha kama ya thisday. Nashindwa kuelewa kwanini
unaona thisday wamepotosha wakati magazeti mawili yametoa picha sawa?
This day wamepotosha picha kumfanya rais aonekane mjinga?
Angalia picha hizi mbili.
Yenye maandishi sawa ni ya CITIZEN na yenye namba zisizoendana na maandishi ni ya THISDAY. Yote ni magazeti ya 9/Oct/2007
hizo ni hundi mbili tofauti kutoka kwa watu wawili tofauti, kama picha zinavyojionyesha.
moja ipo sahihi maneno na nambari zilizoandikwa, na ya meneja wa world bank tz and uganda ndio imekosewa. .....ambayo inazungumziwa hapa
acha kuwapa this day jina baya bure, makosa ni ya wapambe wa jk na yeye mwenyewe kuwa hakuipitia