Heathrow ya Chunya?
Go Tanzania Go,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Love you Tanzania.Kitu kama Heathrow Airport
nchi ili isonge mbele lazima tuwe na plan ya miaka 50 kwenda mbele
kujenga uwanja wa kukidhi idadi ya watu Million 6 kwa sasa hautoshi ni kupoteza resource
tujenge uwanja unaoweza kukidhi watu zaidi ya Million 40 hivi.
Hiyo ramani nadiriki kusema haifanani hata na airport ya mkoa kama Rovaniem Finland au Trondheim Norway,
kwa vile ni uwanja wakimataifa nadhani lengo letu tukusanye pia kodi na utunufaishe watanzania
na ikiwezekana iwe ndio gateway ya Africa..
Hiyo ramani ni kimeo,waziri Mwakyembe au magufulu whatever watakuwa wameshasafiri sana sidhani kama kwa ramani hiyo ni uwanja tunaouhitaji kwa sasa,
kwa wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania wataouona wa kisasa lakini kwa kweli ni aibu kujisifia na huu uwanja.
Trondheim Airport
Jaribu kuwa na akili ya kupenda chako siyo kila kitu unakimbilia kuhusudu cha wageni na jirani zetu huo ni usaliti kwa taifa lako.Hii picha ya lini? Uwanja wa Jomi kenyata huwezi linganisha na wetu na uko bize mara 20 ya huu wa Bongo.
Kama hii unaita ya kitoto, ya kikubwa ipoje? Au baba yako aliwahi kupanda ndege wewe
Mkuu kwa mtazamo wako wa ukweli ni upi huwezi kujenga uwanja kama wa marekani wakati nchi yako haina uwezo wa kifedha wa namna hiyo mfano ni kwenye ujenzi wa nyumba huwezi kujenga nyumba kama ya liyumba wakati kipato na uwezo hakiruhusu lazima tujenge miundo mbinu yetu kwa pesa zetu.nchi ili isonge mbele lazima tuwe na plan ya miaka 50 kwenda mbele
kujenga uwanja wa kukidhi idadi ya watu Million 6 kwa sasa hautoshi ni kupoteza resource
tujenge uwanja unaoweza kukidhi watu zaidi ya Million 40 hivi.
Hiyo ramani nadiriki kusema haifanani hata na airport ya mkoa kama Rovaniem Finland au Trondheim Norway,
kwa vile ni uwanja wakimataifa nadhani lengo letu tukusanye pia kodi na utunufaishe watanzania
na ikiwezekana iwe ndio gateway ya Africa..
Hiyo ramani ni kimeo,waziri Mwakyembe au magufulu whatever watakuwa wameshasafiri sana sidhani kama kwa ramani hiyo ni uwanja tunaouhitaji kwa sasa,
kwa wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania wataouona wa kisasa lakini kwa kweli ni aibu kujisifia na huu uwanja.
Trondheim Airport
30 year ni mingi sana, usishangae 2016 wanaanza tena kubomoa kwa ajili ya kupanua, hii nchi wana plan za mwaka tu, Huwa najiuliza ilikuwaje Wakajenga Stend ya Mabasi Ubungo and then leo hii wanaibomo sijui kuipeleka wapi. na huko zinako pelekwa baada ya miaka mitano utasikia zinahamishwa tena
Maendeleo kwanza mandamano baadaye twenzetu tanzania kazi inaendelea.
Hakiyanani wabongo mnafahamu kuongea. Hilarious!Mkuu ndege zenyewe za ku keep viwanja bise ziko wapi? Nchi nyingi Duniani huwa viwanja vyao vya ndege hupambwa na mashirika yao ya ndege, Tanzania ni tofauti KIA ni mpaka jioni ndo utaona ndege za maana muda mwingine ni hakuna kitu wafanyakazi huishia kusoma Magazeti na kujadili ligi ya Uingereza.
Mimi sijui wakubwa wa nchi hii mipango yao wanaiiga kutoka taifa gani dhaifu. Huwezi kuwa na uwanja wa kuhudumia watu milioni sita wakati kasi ya uwekezaji inatisha. Miaka miwili baadaye watabomoa! Kuna mahali tumemkosea Mungu.
Kwani simiyu imeanza lini yani mwaka mmoja mkoa kuanza na uwanja upatikane akili yako manyago mkuu.kwenu kuna uwanja?
Nyumbani kwetu au mkoani kwetu hueleweki.kwenu kuna uwanja?
Ni kasi ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM from 1.2 mil to 6 mil.
Big Results NOW...
Haya mapicha nayaona zaidi ya miaka mitanoi sasa hapa JF