Third terminal at Dar es Salaam airport

Third terminal at Dar es Salaam airport

Mwita Maranya.

Haujaona airport ndiyo maana unapenda kuitaja Jomo Kenyatta, haiwezi hata kuwemo kwenye airport kumi bora afrika, toa mfano
OR Tambo, Cape Town, Cairo.

Hawa wakenya ndio angalau tunakaribiana nao, sasa ukitaka kyjilinganisha na wasauzi au wamisri ambao Wako dunia nyingine utakuwa unacheza ndombolo msibani.

Hawa wakenya ni majirani zetu na uchumi wao hauko juy sana kwahiyo tungeweza kujifunza kwao kama tuko serious! Lakini kwakuwa tumechagua fani ya Sanaa basi ngoja tuendelee na haya maigizo.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wote,napenda kuwaambai kwamba miradi yote mikubwa unayoisikia hapa nchini siyo endelevu na ina malengo fulani kwa watu fulani. Na pia hao wanaoipitisha ni watu waliopitwa na wakati maana watu hao hao ndio kila siku wanapishana kwenye viwanja vya ndege vilivyokwenda shule halafu wanaidhinisha kujenga hayo magodown kama ya mlimani city. Hiyo ni laana kwa kizazi kinachofikia mwisho wake 2015. Nchi inatakiwa U turn 2015 kuondokana na laana hii
 
Usemacho ni kweli mkuu. Eneo la pale ni finyu sana nafikiri serikali na mamlaka husika, zifanye mchakatato wa kujenga kiwanja kikubwa chenye eneo kubwa zaidi ya hilo. Hivyo vya Arusha na JK International Airport navyo pia viboleshwe ili viweze kutoa huduma bora na za kisasa zaidi.

Mkuu ni kweli tusiige kunya kwa tembo. Mimi nadhani wataalamu wameangalia na ukubwa wa eneo lililopo ndo maana wamekubaliana na design hii ya uwanja . Viwanja vya wenzetu wao wamejenga kwenye maeneo makubwa kiasi kwamba hata wakitaka kufanya upanuzi haiwawii shida. Tatizo la Jnia ni ufinyu wa eneo. Laity kama serikali ingezuia maeneo ya kitunda,jet lumo n.k toka miaka ile ya nyuma watu waijenge makazi, nadhani upanuzi ungekuwa mkubwa sana kwa kuwa wangekuwa na eneo la kutosha la kujenga uwanja km wa London
 
Kama hii unaita ya kitoto, ya kikubwa ipoje? Au baba yako aliwahi kupanda ndege wewe

Hajawahi panda kwa sababu ndege za kupanda zenyewe ziko wapi? CCM si imeua Air Tanzani? Sasa apende ndege ipi,mi mwenyewe sijawahi panda kwa sababu ndege nilizo takiwa kupanda zisha kufa.
 
Usemacho ni kweli mkuu. Eneo la pale ni finyu sana nafikiri serikali na mamlaka husika, zifanye mchakatato wa kujenga kiwanja kikubwa chenye eneo kubwa zaidi ya hilo. Hivyo vya Arusha na JK International Airport navyo pia viboleshwe ili viweze kutoa huduma bora na za kisasa zaidi.

Mkuu ndege zenyewe za ku keep viwanja bise ziko wapi? Nchi nyingi Duniani huwa viwanja vyao vya ndege hupambwa na mashirika yao ya ndege, Tanzania ni tofauti KIA ni mpaka jioni ndo utaona ndege za maana muda mwingine ni hakuna kitu wafanyakazi huishia kusoma Magazeti na kujadili ligi ya Uingereza.
 
Inasikitisha sana, hii nchi yetu ikikukaa moyoni haswa unaweza kutokwa chozi jinsi mambo yanavyo kwenda

Mkuu ndege zenyewe za ku keep viwanja bise ziko wapi? Nchi nyingi Duniani huwa viwanja vyao vya ndege hupambwa na mashirika yao ya ndege, Tanzania ni tofauti KIA ni mpaka jioni ndo utaona ndege za maana muda mwingine ni hakuna kitu wafanyakazi huishia kusoma Magazeti na kujadili ligo ya Uingereza.
 
Usemacho ni kweli mkuu. Eneo la pale ni finyu sana nafikiri serikali na mamlaka husika, zifanye mchakatato wa kujenga kiwanja kikubwa chenye eneo kubwa zaidi ya hilo. Hivyo vya Arusha na JK International Airport navyo pia viboleshwe ili viweze kutoa huduma bora na za kisasa zaidi.

Hiyo si sababu ya msingi na kama ndio utetezi wenu basi ni utetezi hafifu sana.
Kuna watu walihamishwa kutoka Kipawa na Kigilagila kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JN inter. Airport. Lakini pia Kuna watu wanatakiwa kuhamishwa kutoka maeneo ya Kipunguni na Kitunda ili kupisha upanuzi wa uwanja, sasa kwanini serikali haiwalipi wanaotakiwa kupisha upanuzi wa uwanja ili kuruhusu ujenzi mkubwa na wa Mara moja badala ya kufanya hivi vimiradi vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji? Ni suala la kuwa serious tu na Ku prioritize..
 
Mkuu Ritz wewe umewahi kutua Heathrow Airport terminal Four, sasa hawa wa Holanzi na ma Brit kwa nini awadesign TERMINAL ya kufa mtu i.e inayo kwenda na wakati? Walao ifikie nusu ya ya terminal four - 'am afriad kutamka kwamba design hii inaonekana ya kawaida kabisa inashindwa hata Airport ya Luton Midland, binafsi nashauri Serikali ibane wazungu hawa wasije wakatuzuga hapa, washinikizwe ili wa re-design TERMINAL hiyo upya ili iendane na hadhi ya ya jiji letu linalo kua exponentially. Mkuu Ritz au jamaa hawa wametupa ruzuku nini, ndio wanataka kubania fedha zao na kutupatia jengo nyoronyoro, ukiangalia nyuma ya jengo linaonekana kama Gowdown la kuhifadhia ngano ya Bakheresa hii wapi na wapi mkuu. Kazi ya ku-design na kujenga wawape WACHINA hao ndio wanao kwenda na wakati, Waingereza na Waholanzi hawabadiriki ndio maana utakuta miji yao imejaa majengo ya design ya miaka ya 1700s, hata pale London jengo linalo vutia ni British Telcom Tower, hawa jamaa hawabadiriki! Hivi terminal hiyo inaweza ku-handle Airbus 380s kweli?
Mkuu Bukyanagandi.

Ni kweli unachosema lakini hata hiyo Heathrow, ilianza na third terminal mwaka 2008 wakaongeza Terminal 5, hata London ukituwa unaona kama Gowdown kwa juu hebu angalia hapa chini uwanja wa Heathrow.

Ritz na Wengine, nafikiri hili swala jamaa yangu hapa kwenye Video analielezea. Kwa watakaotaka kujua zaidi, endeleeni.

Video: Tanzania and China's tourism partnership - CNBC Africa
Hiyo si sababu ya msingi na kama ndio utetezi wenu basi ni utetezi hafifu sana.
Kuna watu walihamishwa kutoka Kipawa na Kigilagila kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JN inter. Airport. Lakini pia Kuna watu wanatakiwa kuhamishwa kutoka maeneo ya Kipunguni na Kitunda ili kupisha upanuzi wa uwanja, sasa kwanini serikali haiwalipi wanaotakiwa kupisha upanuzi wa uwanja ili kuruhusu ujenzi mkubwa na wa Mara moja badala ya kufanya hivi vimiradi vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji? Ni suala la kuwa serious tu na Ku prioritize..
 
Last edited by a moderator:
Kwa namna hiyo ya upanuzi hatutopata kiwanja cha kisasa na kikubwa kama vya wenzetu SA, ebu niambie viwanja vikubwa unavyo vijua hapa Duniani kama vilijengwa kwa utaratibu ambao sie tunafanya kukifanya JKIA kiwe kama hivyo? Mipango mingi na utekelezaji ni sifuri mkuu...
Cha msingi ni serikali kutafuta eneo tofauti na ilo na kujenga kiwanja kikubwa zaidi na sio kwa huu mtindo wa kuhamisha hamisha watu. JK internationa Airport na KIA navyo waviboreshe ili viweze kutoa huduma bora zaidi..

Hiyo si sababu ya msingi na kama ndio utetezi wenu basi ni utetezi hafifu sana.
Kuna watu walihamishwa kutoka Kipawa na Kigilagila kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JN inter. Airport. Lakini pia Kuna watu wanatakiwa kuhamishwa kutoka maeneo ya Kipunguni na Kitunda ili kupisha upanuzi wa uwanja, sasa kwanini serikali haiwalipi wanaotakiwa kupisha upanuzi wa uwanja ili kuruhusu ujenzi mkubwa na wa Mara moja badala ya kufanya hivi vimiradi vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji? Ni suala la kuwa serious tu na Ku prioritize..
 
Hawa wakenya ndio angalau tunakaribiana nao, sasa ukitaka kyjilinganisha na wasauzi au wamisri ambao Wako dunia nyingine utakuwa unacheza ndombolo msibani.

Hawa wakenya ni majirani zetu na uchumi wao hauko juy sana kwahiyo tungeweza kujifunza kwao kama tuko serious! Lakini kwakuwa tumechagua fani ya Sanaa basi ngoja tuendelee na haya maigizo.
Huu uwanja wa Jomo Kenyatta ndiyo wakuutolea mifano wakati mweingine tuwe makini wanaukumbi hebu angalieni huu uwanja hapa chini amabao Mwita Maranya anautolea mifano kila kikicha.

Last edited by a moderator:
Usemacho ni kweli mkuu. Eneo la pale ni finyu sana nafikiri serikali na mamlaka husika, zifanye mchakatato wa kujenga kiwanja kikubwa chenye eneo kubwa zaidi ya hilo. Hivyo vya Arusha na JK International Airport navyo pia viboleshwe ili viweze kutoa huduma bora na za kisasa zaidi.

Swadakta mkuu, Hebu tazama pale KIA. Wana eneo kubwa sana na wakitaka kufanya upanuzi, aaaaah kumsukuma mlevi kwenye utelezi. Ila nimesikia kuwa ramani ya Jnia ya sasa haikuwa hivi ila ulikuwa ni uwanja mkubwa sana lkn ndo hivyo Hali ya uchumi kipindi kile baada ya vita ya kagera, ililazimu ku squeeze ili uendane na bajeti iliyokuwapo. Otherwise kusingekuwa na ulazima wa kuongeza hii terminal ya sasa km ile ramani orijino ingejengwa.
 
Huu uwanja wa Jomo Kenyatta ndiyo wakuutolea mifano wakati mweingine tuwe makini wanaukumbi hebu angalieni huu uwanja hapa chini amabao Mwita Maranya anautolea mifano kila kikicha.

Hii picha ya lini? Uwanja wa Jomi kenyata huwezi linganisha na wetu na uko bize mara 20 ya huu wa Bongo.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo si sababu ya msingi na kama ndio utetezi wenu basi ni utetezi hafifu sana.
Kuna watu walihamishwa kutoka Kipawa na Kigilagila kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JN inter. Airport. Lakini pia Kuna watu wanatakiwa kuhamishwa kutoka maeneo ya Kipunguni na Kitunda ili kupisha upanuzi wa uwanja, sasa kwanini serikali haiwalipi wanaotakiwa kupisha upanuzi wa uwanja ili kuruhusu ujenzi mkubwa na wa Mara moja badala ya kufanya hivi vimiradi vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji? Ni suala la kuwa serious tu na Ku prioritize..
Hawa na uhakika wameishalipwa halafu halafu wewe unadhani uwanja ni sehemu zinapotua ndege tu kuna Future expansion, kuna Access, kuna Other facilites, Hotel, yote haya yanaitaji maeneo ya wazi ili yajengwe.
 
Hii picha ya lini? Uwanja wa Jomi kenyata huwezi linganisha na wetu na uko bize mara 20 ya huu wa Bongo.
Wapi mimi nimelinganisha kabla ya kujibu jaribu kwanza kunisoma.
 
Maendeleo kwanza mandamano baadaye twenzetu tanzania kazi inaendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom