Third terminal at Dar es Salaam airport

Third terminal at Dar es Salaam airport

Ramani ya kwanza waliyotoa Wachina ilikuwa ya Ukweli sana sijui walishindwana nini na serikali nasikia nao walikuwa wanataka kuujenga kwa masharti magumu sana Mzururaji akawatolea nje sasa hawa Waholanzi wamekuja na Magodown haya kwenye hii karne ndo shida ya kufanya mambo kwa misaada ingekuwa tunajenga kwa pesa zetu nadhani ile Ramani ya Wachina ingetufaa sana ilikuwa nzuri na ya kisasa ndo shida ya kutembeza mabakuri kila mahali
 
nchi ili isonge mbele lazima tuwe na plan ya miaka 50 kwenda mbele
kujenga uwanja wa kukidhi idadi ya watu Million 6 kwa sasa hautoshi ni kupoteza resource
tujenge uwanja unaoweza kukidhi watu zaidi ya Million 40 hivi.
Hiyo ramani nadiriki kusema haifanani hata na airport ya mkoa kama Rovaniem Finland au Trondheim Norway,
kwa vile ni uwanja wakimataifa nadhani lengo letu tukusanye pia kodi na utunufaishe watanzania
na ikiwezekana iwe ndio gateway ya Africa..
Hiyo ramani ni kimeo,waziri Mwakyembe au magufulu whatever watakuwa wameshasafiri sana sidhani kama kwa ramani hiyo ni uwanja tunaouhitaji kwa sasa,
kwa wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania wataouona wa kisasa lakini kwa kweli ni aibu kujisifia na huu uwanja.

220px-Terminal_A_at_Trondheim_Airport%2C_V%C3%A6rnes.jpg

250px-Vaernes_terminal.jpg
Trondheim Airport
 
Mkuu unadhani Magufuli ama Mwakyembe wanao uelewa na ustaarabu wa kufanya kinyume na hiyo ramani?! Njoo Tz uone vibarabara wanavyo jenga mijini na highways finyu.
 
Umefika wakati Tanzania kujenga uwanja mpya na kisasa nje ya jiji la Dsm. Napendekeza ujengwe Bagamoyo ama Kibaha. Huu wa uswahilini ubakie kwa matumizi ya domestic flights!
 
Hii picha ya lini? Uwanja wa Jomi kenyata huwezi linganisha na wetu na uko bize mara 20 ya huu wa Bongo.
Jaribu kuwa na akili ya kupenda chako siyo kila kitu unakimbilia kuhusudu cha wageni na jirani zetu huo ni usaliti kwa taifa lako.
 
What happened to Machinga Complex?

it is the same run and rush hours of our government in creating loopholes to swindle the our national coffers
 
nchi ili isonge mbele lazima tuwe na plan ya miaka 50 kwenda mbele
kujenga uwanja wa kukidhi idadi ya watu Million 6 kwa sasa hautoshi ni kupoteza resource
tujenge uwanja unaoweza kukidhi watu zaidi ya Million 40 hivi.
Hiyo ramani nadiriki kusema haifanani hata na airport ya mkoa kama Rovaniem Finland au Trondheim Norway,
kwa vile ni uwanja wakimataifa nadhani lengo letu tukusanye pia kodi na utunufaishe watanzania
na ikiwezekana iwe ndio gateway ya Africa..
Hiyo ramani ni kimeo,waziri Mwakyembe au magufulu whatever watakuwa wameshasafiri sana sidhani kama kwa ramani hiyo ni uwanja tunaouhitaji kwa sasa,
kwa wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania wataouona wa kisasa lakini kwa kweli ni aibu kujisifia na huu uwanja.

220px-Terminal_A_at_Trondheim_Airport%2C_V%C3%A6rnes.jpg

250px-Vaernes_terminal.jpg
Trondheim Airport
Mkuu kwa mtazamo wako wa ukweli ni upi huwezi kujenga uwanja kama wa marekani wakati nchi yako haina uwezo wa kifedha wa namna hiyo mfano ni kwenye ujenzi wa nyumba huwezi kujenga nyumba kama ya liyumba wakati kipato na uwezo hakiruhusu lazima tujenge miundo mbinu yetu kwa pesa zetu.
 
Mkuu apa mbeya nane pembeni mwa njia yanaajenga stend kubwa ambayo mwakani tu itabomolewa kupisha upanuzi wa barabara hii migamba sijui inafikiriaje
30 year ni mingi sana, usishangae 2016 wanaanza tena kubomoa kwa ajili ya kupanua, hii nchi wana plan za mwaka tu, Huwa najiuliza ilikuwaje Wakajenga Stend ya Mabasi Ubungo and then leo hii wanaibomo sijui kuipeleka wapi. na huko zinako pelekwa baada ya miaka mitano utasikia zinahamishwa tena
 
Ukiwa shabiki wa CCM ni majanga....akili yoote huhamia ma>kali0ni.

Hivi hako karamani kanakofanana na shopping mall ndio uwe na hadhi ya kuitwa international airport. Any way, neno international lina maana pana. Hata zikitua ndege kutoka somalia na DRC, hadhi ya uwanja itakuwa ni international.
 
Mkuu ndege zenyewe za ku keep viwanja bise ziko wapi? Nchi nyingi Duniani huwa viwanja vyao vya ndege hupambwa na mashirika yao ya ndege, Tanzania ni tofauti KIA ni mpaka jioni ndo utaona ndege za maana muda mwingine ni hakuna kitu wafanyakazi huishia kusoma Magazeti na kujadili ligi ya Uingereza.
Hakiyanani wabongo mnafahamu kuongea. Hilarious!
 
Mimi sijui wakubwa wa nchi hii mipango yao wanaiiga kutoka taifa gani dhaifu. Huwezi kuwa na uwanja wa kuhudumia watu milioni sita wakati kasi ya uwekezaji inatisha. Miaka miwili baadaye watabomoa! Kuna mahali tumemkosea Mungu.

Ndugu embu tupige hesabu ndogo tu.
Watu 6Mil kwa Mwaka ni sawa na watu 15,500 kwa Siku Je ni kweli tunaweza Kufikisha Idadi hiyo ya ABIRIA kwa siku ndani ya hata kipindi cha Miaka 10 ijayo?
 
Kuliko kuangalia midizaini ya viwanja mbali mbali duniani ingekuwa vizuri kwanza mkajenga hoja kuhusu project fund katika mradi huo. Pesa inatoka wapi na inapatikana vipi.

Kama ni pesa ya kukopa basi mngeangalia na kudadavua kama ni value for money kuweka investment ambayo itakuja kuwa utilised in 50 years to come wakati kwa muda wa miaka 50 mtakuwa mnalipa deni kwa pesa ambayo itaanza kuleta faida baada ya miaka 50. is it worth it?

Kama ni pesa kutoka hazina basi hii inakuwa haina maswali mengi kwa sababu hakuna interest ni kama kuwekeza kwa Tanzania ya kesho.
Chasha ametoa dokezo kuhusu KIA na isije ikawa kama Dar-Es-Salaam Airport ambapo hata madhari yake inakuwa kama ni magofu kutokana na kutokuwa na pilika pilika kutokana na ukubwa wa uwanja.

Mnaofahamu naomba mtueleze hii pesa ya ujenzi inatoka wapi?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom