Thing's we do for love

Dooh na mkaachana ,kila rakheri piaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliachana kimzaha sana japo tunawasiliana kidogo.
Tatizo, alitaka tuoane ndani ya miezi 3 baada ya kuwa wapenzi!!!!!!
Na wakati huo hata kazi sikuwa nayo!

Aliumia sana, lakini kwa wakati huo nisingeweza. Na hata kama ningekuwa vizuri niliona ingekuwa haraka sana. Japo kuwa lawama zote anazitupiaga kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliachana kimzaha sana japo tunawasiliana kidogo.
Tatizo, alitaka tuoane ndani ya miezi 3 baada ya kuwa wapenzi!!!!!!
Na wakati huo hata kazi sikuwa nayo!

Aliumia sana, lakini kwa wakati huo nisingeweza. Na hata kama ningekuwa vizuri niliona ingekuwa haraka sana. Japo kuwa lawama zote anazitupiaga kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alikua na haraka sana aisee miezi 3 muoane mmh,kifungo cha maisha kile ukikibugi ndiyo basi tena haina kubip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikaa kwenye mvua masaa matatu namsubiri manzi atoke saloon... ingekuwa sasa hivi ningeenda bar kumsubili.
 
Nisamehe mkuu:
Nahisi kuna jambo haliko sawa kwako.
Unaonekana ni kijana mdogo lakini inaonyesha unapiga pombe sana.
Jaribu kukutana na wataalamu wa saikolojia upate ushauri.
Sio lazima niwe sahihi lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nipo sawa tu mkuu...pombe ni starehe tu mkuu, wala hakuna jambo linalonisumbua,.karibu mkuu hapa napiga mbili tatu
 
Niliweka bond gari ya mshua maskani nikapotelea na manzi Serengeti kula maisha week nikitarajia baada ya week kurudisha hela ya watu nipewe ndinga kabla mzee hajarudi home (alisafiri safari ya mwezi mzima).

Kilichotokea nikuwa nilikimbia home nimekuja kurudi baada ya miaka miwili na wale jamaa wahindi niliowakodishia gari waliishia kulala sero.

Sio mbaya yule manzi alinizalia kidume kimoja.
 
Back
Top Bottom