Thing's we do for love

Kitu gani cha ajabu au cha thamani ulishawahi kufanya kwa ajili ya mapenzi?

Mimi nilisafiri kutoka Mbeya Mpaka Kigoma kumfuata manzi bila mtu kujua home wiki nzima sionekani nikadanganya niko kwenye interview Dar njiani buss lilitekwa nilipoteza kila kitu hadi vyeti nikikumbuka najiona fala sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni msukuma?

Unaenda kwa demu na vyeti? Wanaume tunaenda kwa wapenzi wallet ikiwa imeshiba...
 
Mapenzi ndivyo yalivyo,ni sehemu ya maisha na kuweka historia katika safari yako ya mapenzi ukiwa hapa duniani
 
Kitu gani cha ajabu au cha thamani ulishawahi kufanya kwa ajili ya mapenzi?

Mimi nilisafiri kutoka Mbeya Mpaka Kigoma kumfuata manzi bila mtu kujua home wiki nzima sionekani nikadanganya niko kwenye interview Dar njiani buss lilitekwa nilipoteza kila kitu hadi vyeti nikikumbuka najiona fala sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mmeachana vilevile
 
Back
Top Bottom