Thing's we do for love

, ila ulienjoy bana, kwa wakati huo hata maumivu ya nauli hayapo, unawaza ukamwone baby tu Kigomaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nawaza sana mapenzi yale ya udogoni utamu wake umekwenda wapi!!niliwahi kwenda kwa mguu kama 20 hivi kwa miguu kwa miguu kisa tu kumuona bby wangu,halafu tulikuwa hatujawahi sex hata siku moja na hatukufanya hivyo hadi form four likizo pale!!daah nimebaki na mtoto wake ni zawadi tamu sana!!ila now days labda saivi kwa sababu na No A angalau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimsindikiza kutoka njombe to Ir, . Kilikua kipindi cha mtihani wa utamilifu (mock) sasa wakat narejea kutoka iringa to njombe gari si lilizingua aisee! N shule haikua pale njombe mjini nafika shule wenzangu wanakaribia kumaliza pepa daah! Nilikua boya mnoo mchuchu mwenyewe tulitemana lo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom