Things we did in our time as kids vs today’s kids

Things we did in our time as kids vs today’s kids

Kweli umenikumbusha mbali... Kuwinda ndege na manati, magari ya mbao na mabox, kombolela, kujipikilisha, kutengeneza baruti, kibabababa na kimamamama, po ndege, kidali, kula mbakishie baba etc. Those were the days
Hiyo ya kula tumbakishie baba, unakusanywa mchanga mwingi halafu juu kinachomekwa kijiti, then mnaanza kuundoa mchanga taratibu tena kwa zamu, xx kijiti kikidondoka upande wako unakula kipigo mpaka ukaguse mti mlioambiana, raha sanaaa
 
Kweli umenikumbusha mbali... Kuwinda ndege na manati, magari ya mbao na mabox, kombolela, kujipikilisha, kutengeneza baruti, kibabababa na kimamamama, po ndege, kidali, kula mbakishie baba etc. Those were the days
Umesahau Ulimbo wa kutegea ndege
 
Huto tu PS tunanikwaza sana.ilibidi nikwapue nikatupia juu ya kabati ili bwana kaka twende sawa.alishaanza dhereu
 
Ule mpira wa socks mvua ikinyesha mnakimbia uwanjani ukinyeshewa na mvua haufai tena
Basi kwenye kombolela,ninezingaa weeee,wamebutua kama mara 5 hivi nikaona huu upuuz sasa.nikafumua upande ule mpira wa manila nikaweka jiwe afu nikageukia upande mwingine...alivyokuja kubutua mtu kesho yake alikua kavaa muhogo (P.O.P)
 
Ukiwinda kwale ukimpiga manati usipomuwahi anajinyonga unakula kibudu
 
gres.jpg


images.jpg


igres.jpg


imgs.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom