Huo umoja wa kitoto ulikuwa raha sana, hapo dereva anasukumwa baadae anashuka mwingine anapanda. Cha ajabu wote wana enjoy( dereva na wasukumaji ).Unamuona dereva na abiria, zany yako ikipitwa utajua kuidai. Hatukua na speech delays social interactions zilikuwa za kumwaga
Unaweza kujificha ukiitiwa chakula ukirudi jioni unakula mbokoHuo umoja wa kitoto ulikuwa raha sana, hapo dereva anasukumwa baadae anashuka mwingine anapanda. Cha ajabu wote wana enjoy( dereva na wasukumaji ).
Hadi mlio wa gari wanauigiza kabisa, ukiwaona lazima uonw wivu na raha wanayoipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbembe kitakuja sasa mtoto aitwe na mzazi akatumwe na aache kucheza, mtoto anamind sana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kujificha ukiitiwa chakula ukirudi jioni unakula mboko
Chanika, Kidereko, Kwa Magome au Madebe?Hiyo picha ya kwanza Imenikumbusha handeni
Ila utoto wa zamani tuliufaidi sana
Hata sijui wapi Mimi nilikua najua nakaa karibu na soko kubwaChanika, Kidereko, Kwa Magome au Madebe?
yaani kinomaa hata kula anasahauHuo umoja wa kitoto ulikuwa raha sana, hapo dereva anasukumwa baadae anashuka mwingine anapanda. Cha ajabu wote wana enjoy( dereva na wasukumaji ).
Hadi mlio wa gari wanauigiza kabisa, ukiwaona lazima uone wivu kwa raha wanayoipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbembe kitakuja sasa mtoto aitwe na mzazi akatumwe na aache kucheza, mtoto anamind sana[emoji23][emoji23]