watajifanya hawajaonautawafanya waje kulia
Hahaha umeona Hawa jamaa ni Vilaza wa ajabu afu saivi Yamekuwa karibia yote humuNyangau katika ujinga
tupo bize na maisha hukuwatajifanya hawajaona
Kama nyumbuHahaha umeona Hawa jamaa ni Vilaza wa ajabu afu saivi Yamekuwa karibia yote humu
😂😂😂😂😂😂
Mapunguani...Aha haa
Wanashangilia mali ya kina kenyatta na Dalamare.
Hey Nyang'au, shule mlienda kusomea ujinga etii!!? Poor you....
Thika nin nyie ngederee, ina idadi ya watu wangapi!!!?
inachangia kiasi gani katika pato la taifa!??
rasilimali zilizopo ni zipi!??
ina ukubwa kiasi gani?
Yaan majengo tuu yanakupa mchecheto mzee hadi ku over rate regions and cities of Tanzania!?
Hebu acha masihara bana na miji ya watu....
TZ ukiondoa Dar; Mwanza, Arusha, Mbeya, Zanzibar, Tanga, Moshi, Dodoma.....