Thika Town Beats all towns in Tanzania Except Dar.

sijaona residential areas kama ngoingwa, thika golf estate, riverside etc, na pia indurtial area
 
Hivi hawa watu hanawaga cha maana cha kufanya humu? Wanapenda ushindani wa kipumbavu. They act so immatured!
 
Ndio hawa wajinga wanalialia hapa. I have always told them Kenya is not their cup of tea.. .. . Now see Thika is embarrassing them
 
Hey Nyang'au, shule mlienda kusomea ujinga etii!!? Poor you....

Thika nin nyie ngederee, ina idadi ya watu wangapi!!!?
inachangia kiasi gani katika pato la taifa!??
rasilimali zilizopo ni zipi!??
ina ukubwa kiasi gani?

Yaan majengo tuu yanakupa mchecheto mzee hadi ku over rate regions and cities of Tanzania!?

Hebu acha masihara bana na miji ya watu....

TZ ukiondoa Dar; Mwanza, Arusha, Mbeya, Zanzibar, Tanga, Moshi, Dodoma.....
 
Hapo ni dar pekee inachapa Thika

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom