Naweka kumbukumbu sawa Yanga hii aikwenda uturuki wala Misri, ilikuwa paleee Avic Town!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
609
1,563
Ni vizuri pia kuweka kumbukumbu sawa kwa kutunza risiti, ni kwamba mabingwa wa kihistoria Yanga awakwenda kuweka kambi uturuki wala Misri bali waliweka kambi yao pale Avic town kigamboni Dar es salaam!

Nimeamua kusema maana imenibidi nitoe ufafanuzi baada ya kuulizwa na jirani yangu kwamba hii timu imeiva ilipotoka uturuki na sio wale wanaovaa jezi nyekundu wanaocheza kama vile waliweka kambi kibaigwa.

Nimecheka sana nikamwambia hao wanaocheza kama vile walikuwa kibaigwa ndio waliweka kambi uturuki na hawa wa leo waliweka kambi Avic town hapa hapa Tanzania akapigwa na mshangao!

Sasa basi tunawekana sawa wasiojua wajue
 
Ila Gsm, anawabania yanga, yanga wanafanya vizuri Ila hanawapunja hata mishahara, kambi za ndani tu, angewapa favour sio mbaya, kazi nzuri Ila anawafanyia hovyo, sio Kama wale wenzetu wanaenjoy kwa kweli
 
Sawa
 
IMG_0462.jpg

Ni kweli ndyo maana akapta ngao ya jamii Viva Avic
 
Ila Gsm, anawabania yanga, yanga wanafanya vizuri Ila hanawapunja hata mishahara, kambi za ndani tu, angewapa favour sio mbaya, kazi nzuri Ila anawafanyia hovyo, sio Kama wale wenzetu wanaenjoy kwa kweli
Yanga atupigi picha na hela, tunazitumia kimya kimya
 
Kambi ya Yanga pale Avic ina vifaa vya kisasa kabisa vya mazoezi na walimu wa kisasa kabisa wa physio tofauti na hotel za uko Uturuki vijijini ambapo kuna timu iliweka kambi.
Kwahyo unaamini kambi yenu ina vifaa bora kuliko azam,mamelodi,man u???skia braza klabu huenda pre season nje ya nchi hasa huko kaskazin ili kutafta hali ya hewa tofauti(baridi)ili kuupa mwili recovery na kuwaweka sawa kisaikolojia sio kila siku kigamboni weeeh mpka watu wananuka samaki...mamelodi wameenda zao australia,azam wameenda tunisia,singida wameenda arusha,man u waliwahi kwenda zao US,nyie hamna hela za kwenda huko.
 
Ila Gsm, anawabania yanga, yanga wanafanya vizuri Ila hanawapunja hata mishahara, kambi za ndani tu, angewapa favour sio mbaya, kazi nzuri Ila anawafanyia hovyo, sio Kama wale wenzetu wanaenjoy kwa kweli
98% ya michezo yote ambayo Yanga wanategemea matokeo mazuri, basi ujue michezo hiyo itachezwa Tz ( Dar es salaam).. Sasa kwanini upeleke timu nje ya nchi? Hiyo pesa ya kambi nje ya nchi ni kheri ukaboresha maslai kwa wachezaji/ kufanya sajili bora kwenye timu etc...
 
Kwahyo unaamini kambi yenu ina vifaa bora kuliko azam,mamelodi,man u???skia braza klabu huenda pre season nje ya nchi hasa huko kaskazin ili kutafta hali ya hewa tofauti(baridi)ili kuupa mwili recovery na kuwaweka sawa kisaikolojia sio kila siku kigamboni weeeh mpka watu wananuka samaki...mamelodi wameenda zao australia,azam wameenda tunisia,singida wameenda arusha,man u waliwahi kwenda zao US,nyie hamna hela za kwenda huko.
Msi ige vitu ambavyo hamvifahamu, klabu karibia zote za ulaya zinakwenda ma elfu ya kilometa kwenye pre seson kwa ajili ya kibiashara. Makocha wengi wa ulaya hawapendi lakini inawalazimu kwenda kwakua klabu ilishaingia mikataba iyo.

Uwezi kuweka ratiba ya pre seson Amerika au Asia wakati ligi inachezwa Europe hali ya hewa ni tofauti, kule wanakwenda kutimiza makubaliano ya mikataba ya kucheza mechi kibiashara zaidi.

Timu nyingi uwa zina anza mazoezi wiki mbili mpaka tatu kwenye nchi zao alafu wanakwenda kwenye pre sison.

wachezaji wengi wana rudi kwenye vilabu vyao kabla ya pre seson wakiwa fit tayari kwa kuanza msimu mpya.
Wachezaji wanakua walisha pewa program ya mazoezi watakayo fanya wakati wa likizo.
 
Sasa basi simba pia anaenda kutafuta new fan base,nyie mnajukikana kimbiji tu,mkitoka sana basi congo,jitangazeni nyie acheni ushamba kila siku mpo kigamboni kama wapemba.
 
Kwahyo unaamini kambi yenu ina vifaa bora kuliko azam,mamelodi,man u???skia braza klabu huenda pre season nje ya nchi hasa huko kaskazin ili kutafta hali ya hewa tofauti(baridi)ili kuupa mwili recovery na kuwaweka sawa kisaikolojia sio kila siku kigamboni weeeh mpka watu wananuka samaki...mamelodi wameenda zao australia,azam wameenda tunisia,singida wameenda arusha,man u waliwahi kwenda zao US,nyie hamna hela za kwenda huko.
Acha uongo. Mamelodi alienda Netherlands sio Australia. Unakujua Australia wewe?? Ni Al Ahly ndio wameenda AUSTRIA sio Australia.
 
Msi ige vitu ambavyo hamvifahamu, klabu karibia zote za ulaya zinakwenda ma elfu ya kilometa kwenye pre seson kwa ajili ya kibiashara. Makocha wengi wa ulaya hawapendi lakini inawalazimu kwenda kwakua klabu ilishaingia mikataba iyo.

Uwezi kuweka ratiba ya pre seson Amerika au Asia wakati ligi inachezwa Europe hali ya hewa ni tofauti, kule wanakwenda kutimiza makubaliano ya mikataba ya kucheza mechi kibiashara zaidi.

Timu nyingi uwa zina anza mazoezi wiki mbili mpaka tatu kwenye nchi zao alafu wanakwenda kwenye pre sison.

wachezaji wengi wana rudi kwenye vilabu vyao kabla ya pre seson wakiwa fit tayari kwa kuanza msimu mpya.
Wachezaji wanakua walisha pewa program ya mazoezi watakayo fanya wakati wa likizo.
Sahihi kabisa, acha wakariri tu
 
Back
Top Bottom