Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,941
They said;
Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, women, money, etc etc...are a man's worst enemies,
and the man who runs away from his enemies is a COWARD!
Walisema;
Pombe, bia, sigara, wanawake, pesa, n.k, n.k., ...ni adui wakubwa wa Mwanaume.
Na Mwanaume anayekimbia adui zake ni MJINGA!
I say;
I am not running from my enemies.....am simply walking away coz am THE LAST MAN STANDING.
Lakini mimi nasema;
Siwakimbii maadui zangu...ninaondoka taratibu kutoka kwenye uwanja wa vita...kwani mimi ndiyo MWANAUME WA MWISHO NILIYEBAKI NIMESIMAMA!
They said;
If you can't beat them, join them.
Walisema;
Kama huwezi kuwashinda/kuwapiga, jiunge nao.
I say;
After you've conquered them all,
why stick around!??
Lakini mimi nasema;
Baada ya kuwashinda,
kuna haja gani ya kubaki karibu yao!??
(Nimejaribu rough translation, nadhani inaeleweka sasa...)...

CHONDE CHONDE....ULEVI, NOUMER!