Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,802
- 1,606
mithh yuuu. Maria Roza.
Me too darling...
mithh yuuu. Maria Roza.
Hahahaha hukuwa na nia! Ungekaza buti kiduchu tu mambo yangekuwa shega
Asante sana. Ngoja nisake verses za kuja nazo, maana moyo una-vibrate
Hahahahaa kama nakuona upo kwa Shakespeare quotes
Pole kwa majukumu ya kulea Maria Roza.Ulikuwaga malkia kwenye jukwaa fulani hivi (silitaji)na huko nimekumiss sana mammy. Namwonea sana wivu Mr wako!Nipo best ila nimekuwa mama siku hizi so kulea na majukumu ya taifa yamenibana but huwa nachungulia nikipata muda :cool2::A S 11:
Ni kweli, wadau kadhaa tuliowazoea hawaonekani. Naongeza hawa: Rejao, Judgement, Lady doctor. Kwenye list yako, kuna niliowawekea alama 11. Hao wapo na wamejikita kwenye majukwaa maalumu hawarandirandi kama zamani. Crashwise kajichimbia siasani, anaripoti sana chaguzi za CHADEMA. Rutashubanyuma yupo sana kwenye sheria.nikiwa napitia list ya marafiki zangu nimejikuta nawaona hawa watu ambao those days walikuwa JamiiForums addicted members... around 2010-2013..
sitawataja wale ambao bhado nawaona hadi leo hii.. bt kupitia list hii naomba kujuzwa walipo.. au wapo majukwaa ambayo me huwa sifiki? probably jukwaa la siasa na kenya forums.. au ndo washaitupia kulee @jf?
wapo wapi akina
afrodenzi, Bishop Hiluka, Freema Agyeman, Mbu, iTech, 11Crashwise, Gaga, Maria Roza, BelindaJacob, Mama Mdogo, mikatabafeki, Nduka, Rose1980, 11Saint Ivuga, Sugar wa Ukweli, The Priest, Original Pastor, Reserved, Rutashongerwa, Smile, TIMING, 11Rutashubanyuma, Steve Dii, The Finest, WiseLady, Gurta... Lizzy...
wako wapi hawa raia?
kama kuna information za ziada tuarifiane kwa wema tu..
Pole kwa majukumu ya kulea Maria Roza.Ulikuwaga malkia kwenye jukwaa fulani hivi (silitaji)na huko nimekumiss sana mammy. Namwonea sana wivu Mr wako!
Mmmhhh hii kesi hii ngoja nitafute wakili
Wewe ni mganga nini First Born? Nilijaribu kuficha jukwaa kumbe unalimanya sana! Ni kweli hao ulowataja wanamiliki hilo jukwaa lakini ni kwa michango tu sio thread za moto kama zile za Maria Roza.hilo jukwaa kwa sasa linamilikiwa na a.rahabu, Evelyn Salt kwa upande wa wanawake..
Wewe ni mganga nini First Born? Nilijaribu kuficha jukwaa kumbe unalimanya sana! Ni kweli hao ulowataja wanamiliki hilo jukwaa lakini ni kwa michango tu sio thread za moto kama zile za Maria Roza.
nakumbuka kaka.. enzi hizo jukwaa lile akiingia Maria Roza lazima mwili usisimke.
a.rahabu na Evelyn Salt wanaondoa tu upweke..