There is no such thing as an EX.....!!!!

Kujiendekeza tu, unachange simu number ili iweje? Afu wabongo kwa unafiki duh, sasa si mrudiane kbs
hahah sio unafki kaka, sasa mtu amekuomba namba yako mbele ya mpenzi wake na amekutambulisha kama rafiki wazamani do you think its logical kukataa mbele ya huyo jamaa? dont u think jmaa anaweza kusmell something fishy? n by the way kuwa ma EX si vita au ugomvi, mbona kuna watu wameachana ila ni marafiki wazuri tu tena wanapiga story fresh?
 

Juzi nikiwa na rfk angu Ben akiongozana na gf wake nikashangaa kuona dem anamwambia jamaa
"Would you mind if I taste african banana from ya frend Jerry?"

Strait n clear, make sure jamaa yake anajua comm yenu acha kucomm na mpenz wa mwwnzako
 
Juzi nikiwa na rfk angu Ben akiongozana na gf wake nikashangaa kuona dem anamwambia jamaa
"Would you mind if I taste african banana from ya frend Jerry?"

Strait n clear, make sure jamaa yake anajua comm yenu acha kucomm na mpenz wa mwwnzako
duuuh, wanzungu noma!
 

okay then why speaking abt others while u by urself cant do such a thing......
 
okay then why speaking abt others while u by urself cant do such a thing......
because these things are non-fictional, they are there. it might not be me or u, but someone else. Thats how things are mkuu!
 
Ex wako akipita hapa sijui kama ataendelea na msimamo wa kukugea tundi...
 

You are absolutely right !!!
Hilo nime lizibitisha mimi mwenyewe. Hata uje kusikia kaolewa na jamaa mwingine huko.....kamwe hawezi kukusahau na probability za wewe kuendelea kula mzigo yule mwanamke akiwa still kwenye ndoa yake ni kubwa mno. Ila kwa mtu kama mimi mwenye heshima zangu kamwe siwez tembea na mke wa mtu hata kama ni yeye analazimisha game cz i know how painful it feels to be betrayed by someone u truly love.
 
Visima vyw kale, havifukiwi mjomba...... Hayo mambo hutokea mara nyingi kwa watu ambao au hawakuacha ila walipotezana tu...mfano mtu alihama akahamia mbali na mawasiliano yakapote, hao wakikutana ni rahisi kukumbushiana, pia wale ambao waliachana kiroho safi na wakakubaliana kuachana bila ugomvi...hawa nao ni rahisi kukumbushiana, au mwanamke ulikuwa naye then huko alikoenda kakutana na tiba chini ya kiwango kuliko ile uliyokuwa unampa wewe hapo kukiwa na uwezekeno wa kukutana atatamani kukumbushia.....kama mwanamke umemfanyia wema wakati mliachana basi hujisuta na hutamani kulipa huo wema kwa kutoa nywila yake..... Ila kama waliachana kw ugomvi mkubwa huwa inakuwa ni mara chache kukumbshiana
 

Umenena vyema sana mkuu, well said. Couldn't agree more!
 

Mkuu umeelezea kinaga ubaga sana, its absolutely true. Sema tu niko kwenye opera mini ningekugongea bonge la like!
 
Haya maisha kila mtu anaishi anavyojua yeye...mwingine kupasha kiporo ni kawaida na mwingine si jambo la kawaida....akiachana na mtu anaachazana nae mazima....kwahiyo hii kitu inategemea mtu na mtu...
 
Ex-girlfriend au boyfriend ni Expired so vilivyoexpire si vyema kukumbushia
 

Duuuuuu.. Kazi ipo aiseeee..
 
Haya maisha kila mtu anaishi anavyojua yeye...mwingine kupasha kiporo ni kawaida na mwingine si jambo la kawaida....akiachana na mtu anaachazana nae mazima....kwahiyo hii kitu inategemea mtu na mtu...

Ila inategemea mliachananaje ndio Ishu hapa..
 
mie ex ni ex........if I move forward I move forward completely......

No turning back eti tukumbushiane,,,tunakumbushiana vinini hasa...........

Tukumbushiane vijinini? Hata angekuja akahamia chumba cha pili kutoka kwangu, huyu wa sasa ndiyo mwenye mzigo na huyo aliye naye ndiyo muuza bucha wake. Yananihusu nini kuja wekeana sumu bure kwenye maji ya kunywa.
Kama ni nini mkatae uliye naye mrudiane na wao watoke pamoja tuone yupi ni ex wa ex. Ujinga tuu na kutokutosheka. Kumbuka; Mwosha huoshwa.
 
Hahahahahaha

KWA HIYO IMECHANGIWA NA KUMKUNA SANA?KWANINI ALIKUACHA?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…