The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mkuu mimi pia nimevutiwa na uzi huu, hivyo nikaamua kufanya uchunguzi wangu binafsi. Nilichoambulia mpaka sasa ni sababu mbili:

1. NASA program na space program nyinginezo duniani zinatumia mabilioni ya dola kila mwaka kufanya tafiti za anga za juu, hivyo ni njia nzuri na ya uhakika kuchota pesa za walipa kodi kwa amani kabisa. Bila hivyo ni ngumu kupata mafungu haya kwani watu hatakubali.

2. Kuwatoa watu kwenye kuamini kwamba Mungu yupo. Kumbuka tangu awali dunia iliaminika kuwa ni tambarare ambayo ni kama sinia. Kwamba bara la antarctica limezunguka ncha upande wote wa chini wa dunia. Sasa kusema kuwa dunia ni duara kunaondoa credibility ya Mwenyezi Mungu na hivyo kufanya vitabu vya dini kuwa ni hadithi za kutunga tu.

Bado naendelea kutafiti zaidi, lakini kama utafanya utafiti kwa kuwa na mtazamo huru, nakuhakikishia mada hii ni nzuri mno. Weka spoon feeding pembeni, shughulisha ubongo wako ije na mtazamo wako mwenyewe ulinganishe na scientific facts.

Naendelea....

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Dunia iwe duara au box huwez mfanya mwanadamu asiamini kuhusu MUNGU, science haimaini kuhusu MUNGU ili kuwepo ugunduzi, mfano tuseme wote tumeamini kuna MUNGU, kuna haja gani za kugundua tiba za kansa, si MUNGU yupo, tusali na kutoa kafara. Kuna haja gani ya kufanya tafiti za hali ya hewa ili kujilinda na natural disasters ? si tunasali tu? Hizi ndio sababu za msingi za kutenganisha sayansi na imani ila ukirudi kwa mwanasayansi mmoja mmoja wengi wao wanasali kwa imani zao hata kisiri siri.
 
Hizi hoja ni entry level kwa mtafiti wa flat earth na ni hoja nyepesi zaidi kujibu KWA VITENDO tu. Nenda kando ya bahari, itazame meli mpaka pale inapopotea machoni mwako. Chukua kifaa choochote cha kuweza kusogeza umbali (zoom) mfano kamera yenye nguvu. Tazama tena uelekeo wa meli oale ilipopotea (kuzama kwenye duara) halafu ushangae utakapoiona ikichanja mbuga kama kawaida. Kwa mtindo huu unaweza kuona hata vitu vinavyopaswa kuzama zaidi ya mita mia chini ya bahari lakini vikawa vinaelea mbele yako. Hiyo inaitwa perspective, ni upeo wa macho tu, sio mbonyeo wa dunia.

Gravity ni imaginary, hata wewe huwezi kuielezea. Kuanguka kwa vitu kila viendapo juu ni kutokana na kuwa denser than air. Ndivyo ilivyo kuzama pia. Gravity ni mtazamo wa wanafizikia lakini haina uhalisia

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Perspective???

Unapozungumzia Perspective na kinachotokea kadri meli inapoelekea mbali na kuonekana kama kuzama ni vitu viwili tofauti.

Perpective haikufanyi kukiona kitu kikizama na kupotea machoni hususani hiyo meli bali kitu hupotea machoni kwa mtindo huo kutokana na kufunikwa na kitu kingine.

Kadri kitu kinazidi kuelekea mbali zaidi ya macho ya anayekitazama kitu hiko ndipo kitu husika huonekana kuwa kidogo zaidi kwanza kabla ya kitu husika kushindwa kuonekana vizuri, hiyo ndiyo 'Perspective' lakini kitu kinapoonekana kama kuzama kadri kinaposogea mbali na macho ya anayekitazama ni kitu tofauti kabisa.

Muonekano huo wa "kuzama" ni kutokana na kitu husika kuelekea kufunikwa na kitu kingine kitu ambacho hufanya kianze kupotea machoni mwa anayekitazama kama nilivyosema hapo awali.

Ni kitu gani huanza kuifunika meli hiyo taratibu kadri inapoelekea mbali zaidi ya macho ya anayekitazama?

Si 'Perspective' bali ni 'Curvature of the Earth'.

Upeo wa macho kutazama vitu haupelekei vitu kuonekana kuzama ama kuonekana upande mmoja na kutoonekana upande mwingine na hapo ndipo wengi wanaoamini dunia ni tambarare wanapochanganya. Upeo wa macho unapoishia, hufanya kitu kutoonekana kabisa na si katika mtindo huo wa kuzama chini juu.

Hivyo basi, kusema kuwa utatumia camera kufanya 'zooming' bado utarudi pale pale tu kwamba kadri utakapoendelea kuitazama meli kwa hicho kifaa chako, muonekano ni ule ule wa kuelekea kuzama ama kufunikwa.
 
Dunia iwe duara au box huwez mfanya mwanadamu asiamini kuhusu MUNGU, science haimaini kuhusu MUNGU ili kuwepo ugunduzi, mfano tuseme wote tumeamini kuna MUNGU, kuna haja gani za kugundua tiba za kansa, si MUNGU yupo, tusali na kutoa kafara. Kuna haja gani ya kufanya tafiti za hali ya hewa ili kujilinda na natural disasters ? si tunasali tu? Hizi ndio sababu za msingi za kutenganisha sayansi na imani ila ukirudi kwa mwanasayansi mmoja mmoja wengi wao wanasali kwa imani zao hata kisiri siri.
Tatizo ni Moja (Dini) mmejimilikisha Mungu kama vile ni wenu. Na hapa ndio ninayoyaona unaeleza kwa codes sijui "Imani Zao"

Mungu yupo na wanasayansi na watafiti tunaoamini Mungu tupo... Tukienda mbali watu ambao hatukariri, tunapinga nyie watu Dini kujimilikisha Mungu kwamba anafanya kazi kupitia Dini Tu.... Haiwezekani

Take a note wengi tunamuomba Mungu pasipo kuwa na ushirika na Dini. Imefikia hatua pia watu wa Dini mmeanza abudu dini, hicho kinakera for sure.
 
.
flat-earth-memes-32-17.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuitawala dunia tumia ishara na alama sio maneno na vitabu-hitler

Scriptures na hoja kwa hitler ni hapana ila nembo kila kona na ishara kama alama za vidole and so ni ndio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni Moja (Dini) mmejimilikisha Mungu kama vile ni wenu. Na hapa ndio ninayoyaona unaeleza kwa codes sijui "Imani Zao"

Mungu yupo na wanasayansi na watafiti tunaoamini Mungu tupo... Tukienda mbali watu ambao hatukariri, tunapinga nyie watu Dini kujimilikisha Mungu kwamba anafanya kazi kupitia Dini Tu.... Haiwezekani

Take a note wengi tunamuomba Mungu pasipo kuwa na ushirika na Dini. Imefikia hatua pia watu wa Dini mmeanza abudu dini, hicho kinakera for sure.
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana, nawapongeza hamna hasira kabisa mnajibu hoja kwa hoja. kuna watu wanasema mnajadili vitu vya kijinga ili hali hata hao wazungu pia wanaoamini dunia ni flat wapo vilevile. ila mzungu akihoji hawashangai, mtanzania akihoji anaonekana waajabu eti,,,endeleeni kutufumbua macho, hoja zenu zina mashiko kuliko wale wanaosema dunia ni tufe
Ukishafumbuka macho unafanyaje? Kuna swali nimeuliza kwanini unatuaminisha dunia ni flat? Ili Tuwaprove NASA wrong? Then?

Binafsi sina prove kuwa dunia ni duara, sina prove pia kuwa ni flat, ila wanaokuambia ni duara wameenda mbali mpaka kufikia kufanya uchunguzi sayari nyingine, wanajaribu kuangalia huenda kuna maisha nje ya sayari yetu n. K n. K

lets say ni waongo, ila utlist prove wanazotoa kuthibitisha uongo wao ni ginuine, ukiingia youtube kuna programme za live from space unaona na wanasababu za kufanya yote haya,

sasa mnaotaka kutuaminisha kuwa dunia ni flat na kuna glass juu tukishaamini hilo ni nn kinafuata?

Mm nshamwambia mtu hapa dunia inawezekana ni flat kaniuliza sawa, tufanyaje? Mm namwangalia tu.
 
Tatizo ni Moja (Dini) mmejimilikisha Mungu kama vile ni wenu. Na hapa ndio ninayoyaona unaeleza kwa codes sijui "Imani Zao"

Mungu yupo na wanasayansi na watafiti tunaoamini Mungu tupo... Tukienda mbali watu ambao hatukariri, tunapinga nyie watu Dini kujimilikisha Mungu kwamba anafanya kazi kupitia Dini Tu.... Haiwezekani

Take a note wengi tunamuomba Mungu pasipo kuwa na ushirika na Dini. Imefikia hatua pia watu wa Dini mmeanza abudu dini, hicho kinakera for sure.
Kuwa mpole. dini ni imani hata wewe kuamini Mungu kwa namna yako ni imani yako. Tunajimilikishaje MUNGU ilihali na wewe una namna yako ya kuamini uwepo wake na hujanyimwa kuamini?
 
Ukishafumbuka macho unafanyaje? Kuna swali nimeuliza tunagundua dunia ni flat ili nini? Tuwaprove NASA wrong? Then?

Binafsi sina prove kuwa dunia ni duara, sina prove pia kuwa ni flat, ila wanaokuambia ni duara wameenda mbali mpaka kufikia kufanya uchunguzi sayari nyingine, wanajaribu kuangalia huenda kuna maisha nje ya sayari yetu n. K n. K

lets say ni waongo, ila utlist prove wanazotoa kuthibitisha uongo wao ni ginuine, ukiingia youtube kuna programme za live from space unaona na wanasababu za kufanya yote haya,

sasa mnaotaka kutuaminisha kuwa dunia ni flat na kuna glass juu tukishaamini hilo ni nn kinafuata?

Mm nshamwambia mtu hapa dunia inawezekana ni flat kaniuliza sawa, tufanyaje? Mm namwangalia tu.
YOU KNOW YOUR TRULY EXISTENCE AND ITS TIME TO FOCUS YOUR REAL DESTINY,NA KIFIKRA UNAKUWA HURU NA HUWEZI KUWA MANIPULATED KWA KUWA UNAUJUA UKWELI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe prove kama dunia ni duara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu we unaomba proof, we proof uliyotoa ipo wapi maana naona ulichopost hakina tofauti na hao unaowapinga, unatumia nadharia wenzio angalau wamedanganya kwa picha, sasa wewe maneno tu tena umegoogle, acha upuuzi bwana mdogo huwezi hata kurusha ungo unabishaje satellite hazipigi picha?
NAKUPINGA KWA POINTI ZIFUATAZO.
1. Network towers installation : Unaona kuna minara mingi ya mtandao mmoja kila mahali, umewahi sikia concept ya repeater? kazi ya repeater ni kukuza signal inayotoka mnara mmoja kwenda mwingine, kwa nini repeater? kwa sababu dunia ni duara hivyo data kati minara miwili iliyo umbali flani kuna wakati hukaribia kugusa uso wa dunia hivro repeater inawekwa ili kuzuia hili jambo.
2. Uliposema wanatumia underground cables. hapa najua huna ujuzi umekurupuka tu, zinaitwa fiber optic cables kazi yake ni kusafirisha data katika kasi kubwa sasa, ndio maana unapata vitu kutoka google fasta, hizi unazoziita underground cables ndio huja mpaka ulipo mnara wako wa simu unaouona kwa ajili ya kukupa data ulizoomba.
 
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio mpira nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nieleweshe hapo kwenye long tower cameras na uniambie hizo tawa zipo wapi maana navyoonaga Google maps inapiga picha kutoka juu na sio oblique.
 
YOU KNOW YOUR TRULY EXISTENCE AND ITS TIME TO FOCUS YOUR REAL DESTINY,NA KIFIKRA UNAKUWA HURU NA HUWEZI KUWA MANIPULATED KWA KUWA UNAUJUA UKWELI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uhuru gani unazungumzia kwenye mambo ya tafiti za kisayansi? Tafiti zinafanywa ili kutatua matatizo ya binadamu si vinginevyo,

wanasayansi wanaangalia uwezekano wa kutoka nje ya dunia ili kutatua tatizo la kuchakaa kwa hii sayari au kukitokea tatizo kuwe na alternative ya maisha,

Sioni kama binadamu unaozungumza nao wanakosa uhuru kwa kuamini dunia ni flat au duara.

Mmasai au mkuria huko kijijini au hata mimi raia wa kawaida nakosa vipi uhuru kwa kutokujali kuhusu umbile la dunia au kuamini ni flat au duara?

Umuhimu wako wewe mtafiti utakuja pale ambapo kukitokea hatari wewe mwanasayansi na mtafiti ukaja na suluhisho.

Raia hata ukimwambia dunia ni chungu au bakuli atakwambia sawa na ataendelea kuwa huru kabisa akifurahia zawadi ya maisha mpaka pale kutakapotokea shida ndipo wataalam, wagunduzi na wanasayansi watafuatwa kwa ajili ya utatuzi

Utlist yule aliyesema NASA hawataki watu waamini biblia juu ya uwepo wa MUNGU, maana atakaporudi kila jicho litamwona so NASA ni mpango wa shetani watu wasiamini.

Utlist huyu anasababu za kwanini asiamini dunia ni duara. Na ukimuuliza what is next labda atakuambia tufanye mahuburi watu wamrudie MUNGU waachane na wanasayansi, but hii itaingizwa kwenye imani si sayansi.

Tukirudi kwenye sayansi sioni sababu ya kwann tuamini kuwa wanasayansi ni waongo, kwanini wanasayansi watumie nguvu kukuza technology ili wakudanganye?

Si wangekunyima tu hiyo technology, Maana hao hao waliotuambia dunia ni duara, ndio hao hao waliogundua mpaka sasa tuna simu n. K.

Kama kuna siri kubwa sana ya kuficha dunia, kwanini akupe nyenzo za wewe kugundua kuwa ni waongo?

Mwisho swali la msingi linabaki pale pale, tukishaamini dunia ni flat nn kinafuata?

Tutegemee nini kutoka kwako ww mtafiti unayesema dunia ni flat?

Hata kama mategemeo ni ya chini kabisa tuambie, Maana kwa wanasayansi wanaosema ni duara, tunategemea mengi sana katika tafiti zao ikiwepo uwezekano wa miaka ya mbele kufanya utalii kwenye anga za juu au uwezekano wa kuendeleza maisha nje ya dunia itakapokuwa kwenye hatari ya kutoweka.

Kama ni waongo dunia itawahukumu tu maana wameshatupa na technology za kutunza kumbukumbu yaani internet.
 
Kama unataka tujadili IT fungua kule tech nije sio wote wanaknowlegde ya computer science hapa maana computer naona kama unanipima imani na hunifamu ,na nilivyosema duara nilimaanisha spherical structure,haina haja ya kuspecify aina ya cables sio mahali pake nilichomaanisha nikuwapa watu mwanga juu ya mfumo unavyoendelea au kufanya kazi,issue za repeater ni within context ya signal transmission baina ya tower na surface receiver kuhusiana na weak transmission na hapa sio mahali pake. Syston,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom