REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #1,481
Unatakiwa kuhoji why?sio duh maana unatakiwa uielewe quantum ni nini,imeanza lini na inakusudia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kuhoji why?sio duh maana unatakiwa uielewe quantum ni nini,imeanza lini na inakusudia nini.
Mkuu nieleweshe hapo kwenye long tower cameras na uniambie hizo tawa zipo wapi maana navyoonaga Google maps inapiga picha kutoka juu na sio oblique.
Hamida kavuruga wengi. noma aisee.
Ndugu,
Kweli mkuu unakurupuka, hizo satellite unazoonesha hapo zinatumika kuendesha drones na UAVs za kivita pia kuna kitu wazungu wanasemaga public domain, maana yake ni kuwa kuna military na public access hizo wanatumia kwa matumizi ya kijeshi mkuu ili kutoingiliana na satellite zinazotumiwa na jamii,KUJIFANYA MJUAJI NI JAMBO HATARI SANA,elimu haina mwisho mimi najifunza bado na still naendelea uwongo pembeni ukweli sambambaView attachment 1340906View attachment 1340907View attachment 1340908View attachment 1340909View attachment 1340910View attachment 1340911View attachment 1340912
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, embu soma taratibu. Hakuna mahali nimesema wanasayansi hawawezi danganya, ila nimetoa angalizo ni kwanini kuwe na siri ambayo hawataki igundulike halafu wakupe nyenzo za kuigundua? Yaani wakupe technology, si wangekunyima tu technology ili msisumbuane? Bila wagunduzi na watafiti hizi information kuwa dunia ni flat ungezipata wapi?Kwa majibu mepesi Nipo sabu tatu wanasayansi hawawezi kudanya,tuanze hapo,halafu twende sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jua ni dogo kuliko dunia.that a very crucial point,,, Kama ni flat jua linge light up Dunia yote at the same time
Tafuta saa likianza kuchomoza weka stop watch halafu subiri mpaka kesho linapoanza kuchomoza pale zima stopwatch sawa mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu unakurupuka, hizo satellite unazoonesha hapo zinatumika kuendesha drones na UAVs za kivita pia kuna kitu wazungu wanasemaga public domain, maana yake ni kuwa kuna military na public access hizo wanatumia kwa matumizi ya kijeshi mkuu ili kutoingiliana na satellite zinazotumiwa na jamii, pia kwa sjinsi zilivyo hapo sidhani kama zinaenda mbali sana na dunia hivyo communication inakuwa stable, hivi unajua simu yako tu kupata location ulipo inatumia satellite 6? kwa kutumia hizi satellite ulizoonesha hapa Jeshi linauwezo wa kutumia satelite 1 pekee kukamilisha kazi flani hivyo inapunguza ulazima wa kutegemea sync ya satellite 6 ndio wapate data, simple na sioni pointi yako hapo.
Kwani yeye alisema watakuwa wapi?Trump alitangaza USA ina mpango wa kuunda jeshi la anga. Wanajeshi watapewa likizo ya wiki 6 kuja duniani kwa likizo ya uzazi
Hivyo vikosi vya wanajeshi wa anga vitakaa eneo lipi ndani ya dunia angani au nje ya dunia?
Sent using Cash Money Wings
Dunia iwe duara au box huwez mfanya mwanadamu asiamini kuhusu MUNGU, science haimaini kuhusu MUNGU ili kuwepo ugunduzi, mfano tuseme wote tumeamini kuna MUNGU, kuna haja gani za kugundua tiba za kansa, si MUNGU yupo, tusali na kutoa kafara. Kuna haja gani ya kufanya tafiti za hali ya hewa ili kujilinda na natural disasters ? si tunasali tu? Hizi ndio sababu za msingi za kutenganisha sayansi na imani ila ukirudi kwa mwanasayansi mmoja mmoja wengi wao wanasali kwa imani zao hata kisiri siri.