Mimi nadhani theory yao ina udini ndani yake kuwa dunia ni round yaani spherical.
Sababu ni hii:
Kuna kitabu kinaitwa bible au mjumuisho wa vitabu vya kidini ambavyo watu wa zamani waliokuwa illuminated au inspired na muumbaji wa binadamu a.k.a Mungu.
Kitabu hiki kimeelezea mengi kuhusu binadamu, uumbaji na miisho yetu.
Then kuna story kutoka humo kwenye bible kuhusu shetani a.k.a Lucifer au ibilisi.
Then Kuna story kuhusu suluhisho la dhambi au uovu wa binadamu na hatima yake, hayo yote yamedadavuliwa kwenye hicho kitabu bible.
Zipo jitihada za kukipinga kweli zilizomo kwenye kitabu hicho, ambacho kuna wakati katila historia kilitafutwa ili kiangamizwe kabisa ikashindikana.
Kwenye bible imeandikwa, kuwa wakati wa mwisho wakati Yesu anakuja, kila jicho litamuona, hili ni tumaini kwa wanadamu wote, kwa nadharia hiyo ya kila jicho litamuona, haiwezekani kwa spherical earth, bali kwa flat earth.
Kwenye bible, kitabu cha Daniel, Nebukadneza aliota ndoto kuwa Kuna mti mkubwa sana umeota ambao unaonekana kutoka kila kona ya dunia, kwa spherical earth haiwezekani mti kuonekana dunia nzima, bali kwa flat earth.
Hivyo basi biblia yote inaamini katika flat earth.
Hivyo basi elimu hii ya kuwa dunia ni sphere ni kupandikiza kwenye mind za watu mtazamo tofauti wa biblia, na ndo maana watu leo hii wanaambiwa na waliambiwa huko mashuleni binadamu alikuwa nyani, huko huko shule wanasema binadamu alichipuka ( evolution) na hakuumbwa na pia ulimwengu haukuumbwa bali uliibuka tu, kanisa katoliki a.k.a Vatican ndo ilianzisha ule mradi wa CERN yaani electron collider ili waweze kupata theory ya uparikanaji wa ulimwengu, hao hao VATICAN ndo wanamiliki telescope kubwa lanisa duniani tena inaitwa Lucifer jina la shetani mwenyewe.
Kwa kufupisha, elimu hii ya Unajimu ni ya Lucifer ikisaidiwa na NASA ya USA. Na lengo lake ku divert mind za watu toka kwa Muumbaji kupeleka kwake yeye aliye kinyume na Muumbaji.
Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu
Sent using
Jamii Forums mobile app