The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mkuu anzisha group la whatsapp au telegram liite Flat eathers ili tupeane utirio na link za vitabu, video nk kuhusu taarifa hizi muhimu, naomba mi niwe wa kwanza ku ni add humu
Mkuu unataka kitabu ninacho internet wamefuta documents nyingi za flat earth na sasahivi ukituma video kuhusu flat earth unapigwa ban youtube hawataki kabisa watu wajue ukweli wa ulimwengu wao wanawalisha miziki,migames na movies kila siku ndani ya ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huu uzi wako ndani ya JF najua unafanyiwa figisu usiendelee, nukuu hayo maneno
Mkuu unataka kitabu ninacho internet wamefuta documents nyingi za flat earth na sasahivi ukituma video kuhusu flat earth unapigwa ban youtube hawataki kabisa watu wajue ukweli wa ulimwengu wao wanawalisha miziki,migames na movies kila siku ndani ya ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu anzisha group la whatsapp au telegram liite Flat eathers ili tupeane utirio na link za vitabu, video nk kuhusu taarifa hizi muhimu, naomba mi niwe wa kwanza ku ni add humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za uongo daima zinatakiwa ziondolew tu, unless mtuambie kuwa ni fiction, na youtube hawaondoi video kama una rights nazo bwana😃😃😃.Watu wana upload vitu ambavyo sio vyao kama vyao vile lazima wale ban.
 
Hivi umeziona wapi leta ushahidi wowote sio blah blah,nakuambia hakuna satellite utasubiri mpaka 2060
Hili ni wazo cheap sana kusema hakuna sattelite, kasome kwanini facebook hawaku opt kutumia real sattelite bwana.Watu kama nyie mmesababisha watu wengi wakakariri uongo.Yani hauna proof lakini unakataa kitu kwa msuli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwongo ni nini?ungekuwa unajua ni nini usingehangaika unavyoteseka sasa
Habari za uongo daima zinatakiwa ziondolew tu, unless mtuambie kuwa ni fiction, na youtube hawaondoi video kama una rights nazo bwana.Watu wana upload vitu ambavyo sio vyao kama vyao vile lazima wale ban.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaouliza Sunrise na Sunset ni kuwa Sun linatembea from East to West (Points hizi mlizokaa na kuamua ziwe hivyo).

Hivyo Jua Uanza safari kutoka Mashariki na Kufika Magharibi, Kisha jua la Magharibi huanza safari na Kufika Mashariki.

Mwezi ni mfano wa Rubber Bracelet (Culture/Bangili za Mpira) ambazo wakati wakiza utoa uan'gavu na wakati wa mwanga hufifia.

Upepo ni hutokea from Outer Space (Ulimwengu) na sisi hupata hisia.

Mvua hutokana na evaporation inayoathiliwa na maji na joto. Mfano; Uwapo jikoni umefunika Pressure Cooker, Rice Cooker au Sufuria pressure ya chini usugua juu na kuleta mvuke ambao urudi chini.

Je Iweje nchi za kaskazini na kusini (Hio Uliyopangwa) hupata Snow, Winter, Fog etc?. Ni Uwepo wa nchi hizo katika kingo za dunia ambayo ni made of Ice.

Uwepo wa vumbi ni kutokana na ardhi ya juu ya dunia kutifuliwa au kusongwa na upepo.

Round/Spherical Earthers mbona mnashindwa kutoa ithibati ya ramani zenu?! Ramani ya Spherical na Round Earthers inaonyesha Middle East ni Northern Central ya Dunia na uwepo wa Strait of Hormuz, Persian Gulf na Gulf of Oman, huku mkiskia United States Navy Ships zinaenda katika location hiyo kwa 7 Days from Florida Keys (Tampa au Miami Base).

Ukaribu wa SA (Afrika Kusini) na UK (Uingereza) ni prove dunia siyo Kiazi, Kichwa, Mviringo, Tufe, Chungwa wala Yai!

Ukaribu wa Oceania na Chile, Peru na Argentina huku ukubwa wa so called Pacific Ocean unazidi kujipinga.

Oke! Nile inatwa maji kutoka Lake Victoria (South) na Kupeleka Mediterranean Sea (North)

The World is Flat pure Flat Bense!
Nimefurahi kukuona huku. Bado una deni letu mkuu.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Kwa hiyo maji yamekuwa curved kwenye duara sio?
Na maji ya mto nile yanapandisha mlima kuelekea mediteranean, ujinga mwingine ni wa wazi kabisa..ndo maana freemason wanasema wajinga hufichwa maarifa.
Na Yesu alisema kwenye Mathayo 7:6 anasema msiwape mbwa kilicho kitakatifu, walamsitupe lulu zenu kwa nguruwe wasije wakazikanyaga na kuwararua.

Hivyo ndivyo walimwengu kupitia mashule walivyolishwa ujinga na kuuamini.
Dunia ni duara, ila kulingana ukubwa wake na upeo wa macho yetu tuaona ni tambarare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
Screenshot_2020-01-26-13-47-08.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini MWEZI MCHANGA UNAKUWA NA UMBO LA NUSU DUARA LILILOBONYEA KATIKATI

KUPATWA kwa JUA na MWEZI kunatokeaji ikiwa dunua Ni Flat?

ARUSHA KWETU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom