The World is a flat plane and not a globe

Halafu bado unaiamini Sayansi ya anga. Hawana misimamo watu hao sababu msingi wa elimu yao ni dhana na majaribio, ona leo kama hiyo tasrifa ni ya kweli, ona wamekuja na na habari za kuwa Dunia ina umbo la box, baada ya miaka fulani watakuja kusema umbo la dunia ni kama la nyoka.
Hiyo ni kwa sababu y'all continue to deny all evidence. Na huku kwenda kufanya utafiti wenu ni really expensive hamna huo uwezo mnaishia kusema NASA NASA.
 
So where is the end point of this planet earth?mtoa mada take your time download google earth ufurahie dunia yako which is not a floating flat surface object

Sent using Jamii Forums mobile app
.
IMG_20200127_164059_594.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Expensive kwani dunia ni ya nani ,huku ndo kuwa na akili za kitumwa,expensive according to who?
Hiyo ni kwa sababu y'all continue to deny all evidence. Na huku kwenda kufanya utafiti wenu ni really expensive hamna huo uwezo mnaishia kusema NASA NASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHORT AND CLEAR
Mimi nadhani theory yao ina udini ndani yake kuwa dunia ni round yaani spherical.
Sababu ni hii:
Kuna kitabu kinaitwa bible au mjumuisho wa vitabu vya kidini ambavyo watu wa zamani waliokuwa illuminated au inspired na muumbaji wa binadamu a.k.a Mungu.
Kitabu hiki kimeelezea mengi kuhusu binadamu, uumbaji na miisho yetu.

Then kuna story kutoka humo kwenye bible kuhusu shetani a.k.a Lucifer au ibilisi.

Then Kuna story kuhusu suluhisho la dhambi au uovu wa binadamu na hatima yake, hayo yote yamedadavuliwa kwenye hicho kitabu bible.
Zipo jitihada za kukipinga kweli zilizomo kwenye kitabu hicho, ambacho kuna wakati katila historia kilitafutwa ili kiangamizwe kabisa ikashindikana.

Kwenye bible imeandikwa, kuwa wakati wa mwisho wakati Yesu anakuja, kila jicho litamuona, hili ni tumaini kwa wanadamu wote, kwa nadharia hiyo ya kila jicho litamuona, haiwezekani kwa spherical earth, bali kwa flat earth.

Kwenye bible, kitabu cha Daniel, Nebukadneza aliota ndoto kuwa Kuna mti mkubwa sana umeota ambao unaonekana kutoka kila kona ya dunia, kwa spherical earth haiwezekani mti kuonekana dunia nzima, bali kwa flat earth.

Hivyo basi biblia yote inaamini katika flat earth.
Hivyo basi elimu hii ya kuwa dunia ni sphere ni kupandikiza kwenye mind za watu mtazamo tofauti wa biblia, na ndo maana watu leo hii wanaambiwa na waliambiwa huko mashuleni binadamu alikuwa nyani, huko huko shule wanasema binadamu alichipuka ( evolution) na hakuumbwa na pia ulimwengu haukuumbwa bali uliibuka tu, kanisa katoliki a.k.a Vatican ndo ilianzisha ule mradi wa CERN yaani electron collider ili waweze kupata theory ya uparikanaji wa ulimwengu, hao hao VATICAN ndo wanamiliki telescope kubwa lanisa duniani tena inaitwa Lucifer jina la shetani mwenyewe.

Kwa kufupisha, elimu hii ya Unajimu ni ya Lucifer ikisaidiwa na NASA ya USA. Na lengo lake ku divert mind za watu toka kwa Muumbaji kupeleka kwake yeye aliye kinyume na Muumbaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200127_164040_044.JPG
flat-earth-memes-74-5.jpeg
IMG_20200127_125800_411.JPG

Patamu hapa, naomba kukuuliza kabla sijaendelea, wewe unaamini lipi?
 
I wish dunia ingeruhusu FREE THINKERS. Hakuna kitu cha hovyo maishani kama kujivunia knowledge ya kukariri.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hapa ndo naamini watu wanavyosema yule ni proffesor uchwara,kumbe ndo haya sasa.kushinda na mavitabu ya nadharia halafu kusumbua watu na upuuzi.

Halafu wanadhani sisi hatajasoma science machuo,kumbe tulikuwa nao darasa moja ila kujikomboa kifikra ni jambo lingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Expensive kwani dunia ni ya nani ,huku ndo kuwa na akili za kitumwa,expensive according to who?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpole, Dunia ni yetu sote_ sasa NASA wanawazuiaje kwenda? Huu ushahidi haujautoa bado.

Do you have the resources to conduct your own circumnavigation?. If yes, why doesn't someone just fly around the world and record it?. Ni ghali mtatumia gharama na mtaishia kugundua ni 'tufe' kilichobaki ni kueneza conspiracy theories.
 
Ni mara mangapi kesi za flatearth zimetupiliwa mbali,kwanini ramani za flat earth zifichwe ,kwanini internet data kuhusu flat earth zinaanza kupotea kwenye database,kwanini watu wanalalamika youtube wanazifuta video,kwanini NASA hawatoi report public kwenye mtandao watu wafanye research kwani public wana interest ya kuwa astronauts si wanapewa hizo evidence waprove ,kwanini video za mwezini hawana,kwanini wazifute?kwanini ukiwauliza maswali wanasema classified au confidential ,kwanini waanze kwenda mwezini kwenye 60s,baada ya NASA,Baada ya operation high jump,huku wakijua mwezi is just a glowing circle and sometimes transparent, unjua ni lini dunia Imeanza kuwa mpira,na ni nani alifanya iwe ..

Internet imejaa picha za cgi ,photoshopped ,edited videos,hoax moon landings ,na streaming live ya space wakati wanajirecord ndani ya base yao ,
It's entirely possible that I'm being an absolute Idiot but would you mind showing me the exactly evidence Mr?. Au nani alijaribu kwenda akakutana na kikwazo cha NASA?
addtext_com_mtyxndq5ndi3mze.jpeg
fe-vacuum-space.jpeg
fhfhf.jpeg
flat-earth-memes-23-10.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mara mangapi kesi za flatearth zimetupiliwa mbali,kwanini ramani za flat earth zifichwe ,kwanini internet data kuhusu flat earth zinaanza kupotea kwenye database,kwanini watu wanalalamika youtube wanazifuta video,kwanini NASA hawatoi report public kwenye mtandao watu wafanye research kwani public wana interest ya kuwa astronauts si wanapewa hizo evidence waprove ,kwanini video za mwezini hawana,kwanini wazifute?kwanini ukiwauliza maswali wanasema classified au confidential ,kwanini waanze kwenda mwezini kwenye 60s,baada ya NASA,Baada ya operation high jump,huku wakijua mwezi is just a glowing circle and sometimes transparent, unjua ni lini dunia Imeanza kuwa mpira,na ni nani alifanya iwe ..

Internet imejaa picha za cgi ,photoshopped ,edited videos,hoax moon landings ,na streaming live ya space wakati wanajirecord ndani ya base yao ,View attachment 1337411View attachment 1337412View attachment 1337413View attachment 1337414

Sent using Jamii Forums mobile app
Watch "Flat Earth vs. Round Earth | Explorer" on YouTube

hatari yoyote ila hatari itakuwepo endapo watu watawashawishi wanasiasa kuacha kurely on science na kukimbilia believes, imagine politicians stops funding science sababu wapiga kura hawaamiini tafiti zao. Kuna mdau keshaunganisha hili suala na dini na ana pointi za msingi
 
Sawa
Kuwa mpole, Dunia ni yetu sote_ sasa NASA wanawazuiaje kwenda? Huu ushahidi haujautoa bado.

Do you have the resources to conduct your own circumnavigation?. If yes, why doesn't someone just fly around the world and record it?. Ni ghali mtatumia gharama na mtaishia kugundua ni 'tufe' kilichobaki ni kueneza conspiracy theories.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha uzushi. Hii ni sehemu ya vipengele vya mkataba unaousema;

1. Antarctica shall be used for peaceful purposes only. There shall be prohibited, inter alia, any measures of a military nature, such as the establishment of military bases and fortifications, the carrying out of military maneuvers, as well as the testing of any type of weapons.

2. The present treaty shall not prevent the use of military personnel or equipment for scientific research or for any other peaceful purposes.
 
Watch "Flat Earth vs. Round Earth | Explorer" on YouTube

Sababu kaitoa mmoja wa wanasayansi amesema hakuna hatari yoyote ila hatari itakuwepo endapo watu watawashawishi wanasiasa kuacha kurely on science na kukimbilia believes, imagine politicians stops funding science sababu wapiga kura hawaamiini tafiti zao.
Nilishaona mkuu kuna ambazo watu walienda mpaka northpole zimefutwa hiyo ya mwaka juzi sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom