The World is a flat plane and not a globe

So kama tupo under the dome na juu umesema kuna ukingo wa kioo,Je utavukaje antarctica wakati kuna ukingo wa kioo au uo ukingo upo angani tu?
 
Nisha andika humu mpaka nimechoka waambie hata hiyo glass ni nini maana hawawezi mpaka hao waliowalisha matango ndo wawaambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suppose you flat earth believers are right, then what? It is flat then? Should we start a journey to the edge of the Earth? Mmenikumbusha movie inaitwa litle feet ni cartoon inahusu jamii ya big foot ilidanganywa kuwa hakuna kiumbe anaitwa binadamu na wakatengeneza mfumo na jamii yao ikawaelewa mpaka siku moja alipotokea binadamu kwenye jamii yao........... Pambaneni kueneza ukweli mnaoamini hata kama tunaona ni ujinga, maana kwa akili yangu mm nikiwasoma prove zenu nacheka tu na kuwaona mna akili za yule mdudu nzi. But what if you are right?
 
On a serious note, umeshaweka ushahidi kwamba NASA wanazuia watu ku -fly around the Earth to prove whether it's flat or not? Or you just came up with another conspiracy theory?

PS, usinijibu kwa picha.
Keshajibu huko nyuma hawataki muende arntactica msije mkaifahamu hiyo siri kubwa.
 
Asili ya uzao wako ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee bora ukae kimya kuliko kuweka upumbavu wako hapa uliokaririshwa darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asili ya uzao wako ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama na baba.
Mkuu hizo akili ulizo nazo mm sina. Nafanyia kazi uhalisia si nadharia.
Sina mpango wala sina nyenzo za ugunduzi wa kuishtua dunia hivyo uwezo wangu upo kwenye kulipa kodi watoto warithi dunia iwe flat au mvirimgo.
Hapa nafurahia tu kusoma imani yako ilivyo strong kanakwamba unampango wa kutukomboa watz kutoka kwa wanasayansi na NASA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…