The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mtu anakataa mpaka uwepo wa gravity, wakati watu wametumia ujuzi mkubwa sana mpaka kufikia conclusion na ikawa tested,mpaka leo unapanda vyombo kama ndege n.k unaita illusion😃😃. Unakubali kuwa walifanya high jump,wakarusha rockets mpaka wakakuta dome kama kiooo,na unakataa sattelite haiwezi kukaa juu 😃.
 
5
Kwa hii statement yako inaonekana una umri ila ubongo mdogo,sasa unaniuliza mimi ramani si unayo,compass si unayo,tafuta meli katafute ushahidi,ninyi ndo mnaambiwa msiingie hilo ghorafa la worldtrade centre siku moja kabla halafu kesho yake eti ni uzushi ,unajua kilichowakuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi siwezi kuwa offended na kebehi zako mkuu, wewe ndio unaetujuza hizi habari, ndio uendelee kufafanua,ubongo wangu mdogo unanitosha kabisa kuelewa ukweli na ulongo, sasa wewe fanya tu watu tujue ukweli nitaelewa tu.
Kiliwakuta nini?Na kwanini hivyo viumbe haviji huku?
 
Mtu anakataa mpaka uwepo wa gravity, wakati watu wametumia ujuzi mkubwa sana mpaka kufikia conclusion na ikawa tested,mpaka leo unapanda vyombo kama ndege n.k unaita illusion. Unakubali kuwa walifanya high jump,wakarusha rockets mpaka wakakuta dome kama kiooo,na unakataa sattelite haiwezi kukaa juu .
Hakuna gravity

Walirusha kombora sio rocket katika project dominic.

Satellite ni nadharia na picha na hawana teknologia ya kufanya kifaa namna hio kiele angani

Kama zingekuwepo ni ziko maelfu hakuna hata moja iliwahi kuonekana usiku kwa mchana kwa kutumia telescope yeyote hata hiyo ya roman catholic inayoitwa L.U.C.I.F.E.R

Halafu uzao wa nyani huwa ni wabishi sana?maana ni primitive bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu ,watu wamekuwa watumwa,mimi nilisoma science mpaka chuo ila namshukuru Mungu ufahamu wangu ulipenda sana kuhoji because am SKEPTICAL ikanifungua mengi sana sasa hivi sina hata wasiwasi kama nilivyokuwa kwenye ulimwengu wa dunia inayozunguka jua zaidi ya speed ya mwanga.kumbe ni michezo ya nasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii issue ilishawahi kuletwa hapa na mtu mmoja sikumbuki jina vizuri ila ilikuwa more interesting ilizidi kuniongezea uelewa zaidi katika sayansi(nimesoma pcb na chuo nika deviate napiga maswala ya engineering so science ni kama pumzi kwangu). na ilinifungua mno ufahamu wangu,so hii ni mara ya pili naiona lakini cha kushangaza watu bado wanaendelea kukaza vichwa.
Plato mpaka alifikia hatua ya kutoa kitabu cha "Allegory of the cave" ili tu kuwafungua watu ufahamu still bado watu hawataki kuelewa big up mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu nikuulize, katika hii imani yako ya flat earth, inajumuisha pia uwepo wa sayari nyingine? Kama ndio zipo katika mfumo upi? Kwa ulichokieleza ni kwamba huamini katika solar system, na mfumo wa sayari kuzunguka jua. Je unaamini katika uwepo wa sayari nyingine specifically jupiter ambayo kutokana na ukubwa wake na nguvu ya uvutano majabali makubwa huvutwa na kuelekezwa upande wake badala ya kuja kwenye sayari ndogo kama dunia?
 
Ok samahani if ni offence
1.kilichowakuta watu wote ni mauti
2.sijasema wanakuja na sijui kama watakuja ila viumbe vipo na kitabu kipo kwenye uzi ,ila admiral byrd hiyo ipo wazi anasema alikutana na nguva northpole,giants with blue eyes na allien civilization .
3.kuna ramani ya zamani sana inayosema northpole paliitwa EDEN.
Mi siwezi kuwa offended na kebehi zako mkuu, wewe ndio unaetujuza hizi habari, ndio uendelee kufafanua,ubongo wangu mdogo unanitosha kabisa kuelewa ukweli na ulongo, sasa wewe fanya tu watu tujue ukweli nitaelewa tu.
Kiliwakuta nini?Na kwanini hivyo viumbe haviji huku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to spherical earth which doesnt exist

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Mdau ameuliza swali kuhusu muonekano wa Meli inapokuwa inakuja bandarini haujamjibu! Mimi pia natokea eneo ambalo linapakana na ziwa. Ninakubaliana na swali alilouliza, Kimsingi bahari na Maziwa maji yake yametulia! Swali linakuja hivi.... Kama Dunia ni flat,Ukungu na vumbi vinatuzuia kuona mbali zaidi Ni kwanini unapo kuwa unangoja Meli kwa mbali ikiwa inakuja utaona kwanza bendera inaibukia kisha tena ghorofa ya juu,ghorofa zingine nazo zitafuatia kuonekana,baadae Meli nzima itaonekana! kwanini Meli isioneka nzima nzima tokea mbali kama Dunia ni flat?!
 
Dunia ni centre of universe ambaye in Nyota mbili jua na mwezi na wewe unaziona kila siku haina haja ya rockets kwasababu upo duniani

Mars and venus navyo ni jua na mwezi kwa dunia inayofata baada yetu ukivuka circumference ya southpole

Jupiter and saturn/mercury and uranus
Kitu kama hicho likewise

Ndo maana kuna ramani ina circumference tatu za extension

Thats why ziki meet in straight path of sight kutoka duniani tunaziona nazo ni ndogo hivyo hivyo ni akili tu.
Halafu nikuulize, katika hii imani yako ya flat earth, inajumuisha pia uwepo wa sayari nyingine? Kama ndio zipo katika mfumo upi? Kwa ulichokieleza ni kwamba huamini katika solar system, na mfumo wa sayari kuzunguka jua. Je unaamini katika uwepo wa sayari nyingine specifically jupiter ambayo kutokana na ukubwa wake na nguvu ya uvutano majabali makubwa huvutwa na kuelekezwa upande wake badala ya kuja kwenye sayari ndogo kama dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Kuna Mdau ameuliza swali kuhusu muonekano wa Meli inapokuwa inakuja bandarini haujamjibu! Mimi pia natokea eneo ambalo linapakana na ziwa. Ninakubaliana na swali alilouliza, Kimsingi bahari na Maziwa maji yake yametulia! Swali linakuja hivi.... Kama Dunia ni flat,Ukungu na vumbi vinatuzuia kuona mbali zaidi Ni kwanini unapo kuwa unangoja Meli kwa mbali ikiwa inakuja utaona kwanza bendera inaibukia kisha tena ghorofa ya juu,ghorofa zingine nazo zitafuatia kuonekana,baadae Meli nzima itaonekana! kwanini Meli isioneka nzima nzima tokea mbali kama Dunia ni flat?!
Screenshot_2020-01-27-01-07-50.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo maji yamekuwa curved kwenye duara sio?
Na maji ya mto nile yanapandisha mlima kuelekea mediteranean, ujinga mwingine ni wa wazi kabisa..ndo maana freemason wanasema wajinga hufichwa maarifa.
Na Yesu alisema kwenye Mathayo 7:6 anasema msiwape mbwa kilicho kitakatifu, walamsitupe lulu zenu kwa nguruwe wasije wakazikanyaga na kuwararua.

Hivyo ndivyo walimwengu kupitia mashule walivyolishwa ujinga na kuuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua the lowest na highest point ya African landscape zipo wapi
 
Kuna Mdau ameuliza swali kuhusu muonekano wa Meli inapokuwa inakuja bandarini haujamjibu! Mimi pia natokea eneo ambalo linapakana na ziwa. Ninakubaliana na swali alilouliza, Kimsingi bahari na Maziwa maji yake yametulia! Swali linakuja hivi.... Kama Dunia ni flat,Ukungu na vumbi vinatuzuia kuona mbali zaidi Ni kwanini unapo kuwa unangoja Meli kwa mbali ikiwa inakuja utaona kwanza bendera inaibukia kisha tena ghorofa ya juu,ghorofa zingine nazo zitafuatia kuonekana,baadae Meli nzima itaonekana! kwanini Meli isioneka nzima nzima tokea mbali kama Dunia ni flat?!
Ameshasema hata kitu kinachoitwa gravity hakuna.

mwanzoni niliona ana akili na nikawa interested kupata kitu kipya maana Anataka kuamini tofauti badala ya kuamini anachoambiwa na wanasayansi na videos na machapisho, that is good maana inawezekana kuna mambo kweli yanafichwa, ila prove anazotoa nazo ni za kuambiwa na za kusoma vitabuni na machapisho, hapo ndo nikawaza hizi ni akili za nzi kutaka kutengeneza asali kwa kutumia kinyesi.

In short tuishi ishi tu kama tulivyozoea maana hata tukiamini kuwa dunia ni flat tutabadili nn? Mleta mada unapigania watu wajue dunia ni flat ili wabadili nn? Imani na mtazamo tu? Au kuna manufaa ya kuamini dunia ni flat?

Hapa tu tunaamini ni duara hakuna tunachofanya kunufaika na uduara wake. Wazungu ndo wanapambana na sa hizi wanatengeneza kifaa kitakachoweza kudhibiti jabali endapo litakosea mwelekeo na kuhatarisha dunia.

kuna watu wanaamini JUA ni Mungu na usiku analala maana kachoka na dunia ni kama chupa ndo maana tunaona jicho moja tu la Mungu sababu anatuchunguliaga
 
Aliens wapo sehemu nyingi sana binafsi ndege zao nimeziona zikikatiza,siku hiyo nilikuwa dar nafunga dish zilipita 3 zikitoa mwanga mkali,halafu tafiti zinasema pale ni kwamba ni time travelling either wanaenda miaka ya mbele au nyuma,watu wengi washatoa ushahidi ila website ya youtube huzifuta na kupoteza ushahidi huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
ulishawahi kuona kimondo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom