Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuu. Endelea kupambana utuelimishe mpaka tuelewe. Kuwa kama yule kuku aliyeanza kampeni ya kuhakikisha kuwa anawapa elimu kuku wenzake juu ya nia ya binadamu. Good luckDunia ni centre of universe ambaye in Nyota mbili jua na mwezi na wewe unaziona kila siku haina haja ya rockets kwasababu upo duniani
Mars and venus navyo ni jua na mwezi kwa dunia inayofata baada yetu ukivuka circumference ya southpole
Jupiter and saturn/mercury and uranus
Kitu kama hicho likewise
Ndo maana kuna ramani ina circumference tatu za extension
Thats why ziki meet in straight path of sight kutoka duniani tunaziona nazo ni ndogo hivyo hivyo ni akili tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hili hapaBaba Swalehe tuambie hapa!
Theory ya rotation of the earth speed yake ni uniform na inachukua saa 24 kukamilisha mzunguko ambao unazalish usiku na mchana. Kama mwendokasi wa Dunia ni Uniform katika mzunguko wake wa saa 24 usiku na mchana unapatikana tafsiri yake ni kwamba saa zake inabidi ziwe pacha. Mchana utachukua saa 12 na usiku saa 12.
Equinox mnasema when the sun crosses the equator! Usiku na mchana unakuwa the same length. Tafsiri yake ni kwamba masaa ya usiku na mchana yanatofautiana kwenye Dunia hii hii ambayo speed yake ni Uniform ambao kila siku unachukua saa 24 kukamilisha mzunguko wake ambao tunapata usiku na mchana.
Ajabu ni kwamba the sun linakuwa overhead at the equator twice per year! Inatokea mwezi March na mwezi September. Hii hali inakuwaje?wakati earth rotates at a uniform speed in 24 hrs siku zote? Kwa nini equinox isiwe daily?
Tupatie majibu msomi.
Wewe na hao wafiti Wenzako uongo wenu umebuma na mwisho wa siku mtapuuzwa! tuliowahi kuishi maeneo ya Ziwani tulikuwa tunaona wakati mwingine maji ya ziwa yametulia kama ya kwenye dimbwi. sio Kila siku kuna upepo na mawimbi Ziwani mpaka Mtu ushindwe kuona kinachokuja!
Huyu Jamaa ni tatizo sana! Sijajua kama Dunia itakuwa ni flat. Wanasayansi wana tuficha kutuambia ili wapate maslahi gani! Alipaswa kutuelewesha tujue sababu!Ameshasema hata kitu kinachoitwa gravity hakuna.
mwanzoni niliona ana akili na nikawa interested kupata kitu kipya maana Anataka kuamini tofauti badala ya kuamini anachoambiwa na wanasayansi na videos na machapisho, that is good maana inawezekana kuna mambo kweli yanafichwa, ila prove anazotoa nazo ni za kuambiwa na za kusoma vitabuni na machapisho, hapo ndo nijawaza hizi ni akili za nzi kutaka kutengeneza asali kwa kutumia kinyesi.
In short tuishi ishi tu kama tulivyozoea maana hata tukiamini kuwa dunia ni flat tutabadili nn? Mleta mada unapigania watu wajue dunia ni flat ili wabadili nn? Imani na mtazamo tu? Au kuna manufaa ya kuamini dunia ni flat?
Hapa tu tunaamini ni duara hakuna tunachofanya kunufaika na uduara wake. Wazungu ndo wanapambana na sa hizi wanatengeneza kifaa kitakachoweza kudhibiti jabali endapo litakosea mwelekeo na kuhatarisha dunia.
kuna watu wanaamini JUA ni Mungu na usiku analala maana kachoka na dunia ni kama chupa ndo maana tunaona jicho moja tu la Mungu sababu anatuchunguliaga?
mimi nijuavyo, uchina ipo jiran na marekani upande wa magharibi (wa us) na england ipo jirani na marekani upande wa mashariki (wa us)........Flights za Sydney to California zipo na za kupitia ulaya to New York zipo pia.
Qantas and United Airlines fly direct from Sydney only in 13 hours and 35 minutes, traveller.com.au says
Anasema hawataki twende Antarctica.Huyu Jamaa ni tatizo sana! Sijajua kama Dunia itakuwa ni flat. Wanasayansi wana tuficha kutuambia ili wapate maslahi gani! Alipaswa kutuelewesha tujue sababu!
Huyu Jamaa ni tatizo sana! Sijajua kama Dunia itakuwa ni flat. Wanasayansi wana tuficha kutuambia ili wapate maslahi gani! Alipaswa kutuelewesha tujue sababu!
huoni sifa za hizo UFO ulizoziona zinashabihiana na kimondo pindi kinapoingia katika anga la dunia
Point ndogo tuh ambayo hutakiw kuumiza kichwa ni hii. ..dunia ni duara ndio maana ukianza safari point a na kunyoosha nayo utarudi hapo hapo point a .Kingine kama dunia ni flat bhc kusingekua na tofaut kati usiku na mchana means kama Tz ni mchana bhc na China inge kua mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu kuna hoja pia kwa vifaa vinaona meli ambzo ziko kilomita nyingi sana baharini kuonesha kuwa kama ingekuwa duara basi isingeonekana.Kuna Mdau ameuliza swali kuhusu muonekano wa Meli inapokuwa inakuja bandarini haujamjibu! Mimi pia natokea eneo ambalo linapakana na ziwa. Ninakubaliana na swali alilouliza, Kimsingi bahari na Maziwa maji yake yametulia! Swali linakuja hivi.... Kama Dunia ni flat,Ukungu na vumbi vinatuzuia kuona mbali zaidi Ni kwanini unapo kuwa unangoja Meli kwa mbali ikiwa inakuja utaona kwanza bendera inaibukia kisha tena ghorofa ya juu,ghorofa zingine nazo zitafuatia kuonekana,baadae Meli nzima itaonekana! kwanini Meli isioneka nzima nzima tokea mbali kama Dunia ni flat?!
Pythagorus imesha proove hichi sijui watu hesabu wanaitupa wapi?Nachokueleza ni kuwa huo umbali ambao unaweza ukapata curvature na usione kitu kwa nadharia ya kuwa dunia ni tufe ni kuwa p9 camera inaona umbali zaidi ya hiyo nadharia na vitu unaviona mfano kila mile 1 ina mkunjo wa inch 8 progressively sasa watu washaona picha umbali wa mile 57 na hakuna curvature
Sent using Jamii Forums mobile app
The Antarctic Treaty was signed in Washington on 1 December 1959 by the twelve countries whose scientists had been active in and around Antarctica during the International Geophysical Year (IGY) of 1957-58. It entered into force in 1961 and has since been acceded to by many other nations. The total number of Parties to the Treaty is now 54.Anasema hawataki twende Antarctica.
Bado haujamwelewa jamaa ni kuwa ipo hivi wanasema hao round earthers/globe earthers kuwa dunia inaji curve 8 inches for every one mile means nikiwa na kifaa cha kuvuta hadi mile 10 means naweza kuona mbinuko wa inchi 80 na object yoyote iliyo katika hiyo range either ionekane nusu au robo au isionekane kabisa, hii imekuja kupingwa kwa sababu mbili moja ni pythagorus theorem na pili ni ukiwa na camera zenye nguvu za miaka hii ya sasa.na ndo maana jamaa hapo akakuambia kuwa kwa kutumia p9 camera au any powerful camera na hali ya hewa nzuri watu waliopima waliweza kuona object iliyo hadi mile 27 ,ambayo arccoding to globe earthers tulitakiwa tusiione kwa kuwa mbinuko huwa ni 216 inches .Kaka hili unaweza kulithibitisha au kama una picha tuonyeshe humu.
Kutokuona curvature ndio inaonyesha ya kuwa ukomo wa kifaa ndio umeishia, kwahiyo, hoja ya kuwa dunia ni duara kwa kurejea matokeo ya kifaa hicho bado ina nguvu, sababu nikikuuliza ncha au ukomo wa dunia ni wapi, huwezi kujibu swali hili.
Sijabisha bosi.The Antarctic Treaty was signed in Washington on 1 December 1959 by the twelve countries whose scientists had been active in and around Antarctica during the International Geophysical Year (IGY) of 1957-58. It entered into force in 1961 and has since been acceded to by many other nations. The total number of Parties to the Treaty is now 54.View attachment 1336685View attachment 1336686
Sent using Jamii Forums mobile app
Quantum physics= covers mostly relativistic theories.Hahaha dah
Mungu saidia huyu mjinga
Nmeishiwa hadi nguvu ya kuongea
Quantum physics made phone you are using now you idiot
mimi nijuavyo, uchina ipo jiran na marekani upande wa magharibi (wa us) na england ipo jirani na marekani upande wa mashariki (wa us)........
na najua pia, uchina na england hazipo jirani kabisa, sasa hapa wanaposema ni flat ndio siwaelewi hawa ndugu zangu!
Sent using Jamii Forums mobile app