The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Search aviation routes in nations
Sasa wakitakua wametua wapi abiria woootee ndani ya ndege wasijuile... ivi are you really serious??? Ujue kabisa flight path kutoka dar kwenda zanzibar ni hiii alafu mkatue kigoma huko kurefuel watu wasiquestion?? Na bado useme ni hoax hakuna flight inayotoka dar kwenda zanziba???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dunia haizunguki tunapata wapi tofauti za masaa?
Na sehemu nyingine unakuta ni asubuhi pengine usiku?. Ni nini kinasababisha?
Tofauti ya masaa na kupatikana kwa usiku na mchana, ni kutokana na kuzunguka kwa jua au kutembea kwa jua katika hivituo vyake.

Kitu kitakuwaje katika mwendo na usihisi mwendo kwa kuangalia nje ya kitu hicho ? Hiyo speed kali kwayo usihisi chochote waliipima vipi ? Hata kwa vitu vikubwa tusione harakati zozote ?

Jibu rahisi kinachosababisha ni jua kuwa katika mwendo wake.
 
Thats a spell error and you know it rudi kwenye point

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui hata tofauti ya "a spelling error" na "a spell error".

Na umekataa kusahihisha ulipooneshwa umekosea.

You are not only an illiterate ignoramus.

You are an imbecile ignoble too.

Wewe si mjinga wa kawaida tu. Bali wewe ni mjinga mbishi.

Hata unapooneshwa ujinga wako, unakataa kujisahihisha.

Ningeweza kukuelimisha kama ungekuwa mjinga tu.

Lakini mjinga mbishi ni shughuli nyingine tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Flat earthers ni skeptical watu wanaohoji na sio kuburzwa tu au kuletewa kitu off the table na kukubali bila kuhoji,kuhoji ni kushirikisha ubongo na kuona kuwa kuna kitu hakipo sawa .

Ukiangalia angani kila siku unaliona jua linatokea sehemu moja na kuelekea sehemu nyingine na kesho yake ni mchezo ule ule na unaliona kwa macho ni dogo na lipo sawa na mwezi kiumbo japo jua limezidi kidogo.huo mzunguko ndo unatengeneza usiku na mchana pia na seasons tofauti.

Kama unataka documents ujisomehe sawa ntakupa ili uelewe kwa undani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja haya maeleze ni mengi.
Kwa kifupi unamaanisha jua ndio linatembea na sio dunia inazunguka?
 
Flights za Sydney to California zipo na za kupitia ulaya to New York zipo pia.
Qantas and United Airlines fly direct from Sydney only in 13 hours and 35 minutes, traveller.com.au says
 
A line is an infinitely large circle. A flat surface is the limit of sphere as radius tends to infinity - ukubwa wa radius ya dunia ndio inapelekea flat earthers kuhisi dunia umbo la chapati.Its just an illusion. Ukweli pale pale dunia mviringo wa chungwa.
Simple mind with big ideas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nilijua antarctica ni ncha ya kusini ya dunia na arctic ni ncha ya kaskazini ya dunia,sasa ziweje mzingo wa dunia tena!
Usiwe na haraka kujibu mkuu REALITY ,unaweza kutuvuna wafuasi wa flat earth ukituelewesha vizuri.
Antarctica ni southpole na Arctic ni north pole kwenye flat earth northpole ipo center covered with ice na within kuna bara ndani yake na alifika mtu anaitwa admiral ila barafu inayozunguka kingo yote ya dunia ni Antarctica .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja haya maeleze ni mengi.
Kwa kifupi unamaanisha jua ndio linatembea na sio dunia inazunguka?

Haswaa Kimara,mambo haya hata kwa macho tunaona kila siku, ila kwa kujifaragua Wanasayansi wanatuletea mbwembwe na maneno mengi.
 
Mjinga ni yule ambaye anashindwa kudecipher meaning kwasababu anaweza kuanganisha dots ila anajitoa ufahamu kwa kutumia grammar
Hujui hata tofauti ya "a spelling error" na "a spell error".

Na umekataa kusahohisha ulipooneshwa umekosea.

You are not only an illiterate ignoramus.

You are an imbecile ignoble too.

Wewe si mjinga wa kawaida tu. Bali wewe ni mjinga mbishi.

Hata unapooneshwa ujinga wako, unakataa kujisahihisha.

Ningeweza kukuelimisha kama ungekuwa mjinga tu.

Lakini mjinga mbishi ni shughuli nyingine tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom