Wenzio walirusha picha iliyopigwa na kifaa maalum kinachosafiri kupiga picha anga za mbali, kiligeuka kikapiga picha ya nyumbani duniani ndo kikaendelea na safari. Ww upo unaita watu majuha sababu ya kuamini scientific prove?
Mi siwezi kuwa offended na kebehi zako mkuu, wewe ndio unaetujuza hizi habari, ndio uendelee kufafanua,ubongo wangu mdogo unanitosha kabisa kuelewa ukweli na ulongo, sasa wewe fanya tu watu tujue ukweli nitaelewa tu.5
Kwa hii statement yako inaonekana una umri ila ubongo mdogo,sasa unaniuliza mimi ramani si unayo,compass si unayo,tafuta meli katafute ushahidi,ninyi ndo mnaambiwa msiingie hilo ghorafa la worldtrade centre siku moja kabla halafu kesho yake eti ni uzushi ,unajua kilichowakuta?
Sent using Jamii Forums mobile app
Deep space out of our solar system. Kifaa kiliitwa voyager kitu kama hicho. Google
Hakuna gravityMtu anakataa mpaka uwepo wa gravity, wakati watu wametumia ujuzi mkubwa sana mpaka kufikia conclusion na ikawa tested,mpaka leo unapanda vyombo kama ndege n.k unaita illusion[emoji2][emoji2]. Unakubali kuwa walifanya high jump,wakarusha rockets mpaka wakakuta dome kama kiooo,na unakataa sattelite haiwezi kukaa juu [emoji2].
Mkuu hii issue ilishawahi kuletwa hapa na mtu mmoja sikumbuki jina vizuri ila ilikuwa more interesting ilizidi kuniongezea uelewa zaidi katika sayansi(nimesoma pcb na chuo nika deviate napiga maswala ya engineering so science ni kama pumzi kwangu). na ilinifungua mno ufahamu wangu,so hii ni mara ya pili naiona lakini cha kushangaza watu bado wanaendelea kukaza vichwa.Asante mkuu ,watu wamekuwa watumwa,mimi nilisoma science mpaka chuo ila namshukuru Mungu ufahamu wangu ulipenda sana kuhoji because am SKEPTICAL ikanifungua mengi sana sasa hivi sina hata wasiwasi kama nilivyokuwa kwenye ulimwengu wa dunia inayozunguka jua zaidi ya speed ya mwanga.kumbe ni michezo ya nasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...mnajua mechanism za planet formation??
Sifa za planets mnzijua?
Ukijua basics kidogo to za astrophysics utaona kuwa flat earthers haina tofauti na wale wanaoamini kuna dunia chini ya bahari atlanters
Mi siwezi kuwa offended na kebehi zako mkuu, wewe ndio unaetujuza hizi habari, ndio uendelee kufafanua,ubongo wangu mdogo unanitosha kabisa kuelewa ukweli na ulongo, sasa wewe fanya tu watu tujue ukweli nitaelewa tu.
Kiliwakuta nini?Na kwanini hivyo viumbe haviji huku?
Sio bahari ya atlanters, sema kati ya bahari ya pacific au Atlantic wapo watu wanaamini chini yake kuna nchi inaitwa Atlantis.....hao watu sasa wanaoamini ivo ndo nawaita atlanters
Kuna Mdau ameuliza swali kuhusu muonekano wa Meli inapokuwa inakuja bandarini haujamjibu! Mimi pia natokea eneo ambalo linapakana na ziwa. Ninakubaliana na swali alilouliza, Kimsingi bahari na Maziwa maji yake yametulia! Swali linakuja hivi.... Kama Dunia ni flat,Ukungu na vumbi vinatuzuia kuona mbali zaidi Ni kwanini unapo kuwa unangoja Meli kwa mbali ikiwa inakuja utaona kwanza bendera inaibukia kisha tena ghorofa ya juu,ghorofa zingine nazo zitafuatia kuonekana,baadae Meli nzima itaonekana! kwanini Meli isioneka nzima nzima tokea mbali kama Dunia ni flat?!
Halafu nikuulize, katika hii imani yako ya flat earth, inajumuisha pia uwepo wa sayari nyingine? Kama ndio zipo katika mfumo upi? Kwa ulichokieleza ni kwamba huamini katika solar system, na mfumo wa sayari kuzunguka jua. Je unaamini katika uwepo wa sayari nyingine specifically jupiter ambayo kutokana na ukubwa wake na nguvu ya uvutano majabali makubwa huvutwa na kuelekezwa upande wake badala ya kuja kwenye sayari ndogo kama dunia?
Kuna Mdau ameuliza swali kuhusu muonekano wa Meli inapokuwa inakuja bandarini haujamjibu! Mimi pia natokea eneo ambalo linapakana na ziwa. Ninakubaliana na swali alilouliza, Kimsingi bahari na Maziwa maji yake yametulia! Swali linakuja hivi.... Kama Dunia ni flat,Ukungu na vumbi vinatuzuia kuona mbali zaidi Ni kwanini unapo kuwa unangoja Meli kwa mbali ikiwa inakuja utaona kwanza bendera inaibukia kisha tena ghorofa ya juu,ghorofa zingine nazo zitafuatia kuonekana,baadae Meli nzima itaonekana! kwanini Meli isioneka nzima nzima tokea mbali kama Dunia ni flat?!
Deep space out of our solar system. Kifaa kiliitwa voyager kitu kama hicho. Google
unajua the lowest na highest point ya African landscape zipo wapiKwa hiyo maji yamekuwa curved kwenye duara sio?
Na maji ya mto nile yanapandisha mlima kuelekea mediteranean, ujinga mwingine ni wa wazi kabisa..ndo maana freemason wanasema wajinga hufichwa maarifa.
Na Yesu alisema kwenye Mathayo 7:6 anasema msiwape mbwa kilicho kitakatifu, walamsitupe lulu zenu kwa nguruwe wasije wakazikanyaga na kuwararua.
Hivyo ndivyo walimwengu kupitia mashule walivyolishwa ujinga na kuuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na hao wafiti Wenzako uongo wenu umebuma na mwisho wa siku mtapuuzwa! tuliowahi kuishi maeneo ya Ziwani tulikuwa tunaona wakati mwingine maji ya ziwa yametulia kama ya kwenye dimbwi. sio Kila siku kuna upepo na mawimbi Ziwani mpaka Mtu ushindwe kuona kinachokuja!
Ameshasema hata kitu kinachoitwa gravity hakuna.Kuna Mdau ameuliza swali kuhusu muonekano wa Meli inapokuwa inakuja bandarini haujamjibu! Mimi pia natokea eneo ambalo linapakana na ziwa. Ninakubaliana na swali alilouliza, Kimsingi bahari na Maziwa maji yake yametulia! Swali linakuja hivi.... Kama Dunia ni flat,Ukungu na vumbi vinatuzuia kuona mbali zaidi Ni kwanini unapo kuwa unangoja Meli kwa mbali ikiwa inakuja utaona kwanza bendera inaibukia kisha tena ghorofa ya juu,ghorofa zingine nazo zitafuatia kuonekana,baadae Meli nzima itaonekana! kwanini Meli isioneka nzima nzima tokea mbali kama Dunia ni flat?!
ulishawahi kuona kimondoAliens wapo sehemu nyingi sana binafsi ndege zao nimeziona zikikatiza,siku hiyo nilikuwa dar nafunga dish zilipita 3 zikitoa mwanga mkali,halafu tafiti zinasema pale ni kwamba ni time travelling either wanaenda miaka ya mbele au nyuma,watu wengi washatoa ushahidi ila website ya youtube huzifuta na kupoteza ushahidi huo.
Sent using Jamii Forums mobile app