The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Ndio zipo wengine wanatumia misolar mikubwa atleast mchana wareflect mwanga kwao we google places with full darkness and lights in the world
Kwa jinsi inavyoonekana kwenye hiyo pic yako ya animation tusingepata usiku na mchana siyo kwa jinsi tunavyopata sasa hv. Kuna sehemu zingekuwa daima ni mchana hakuna giza na sehemu nyingine zingekuwa daima ni giza hamna mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaouliza Sunrise na Sunset ni kuwa Sun linatembea from East to West (Points hizi mlizokaa na kuamua ziwe hivyo).

Hivyo Jua Uanza safari kutoka Mashariki na Kufika Magharibi, Kisha jua la Magharibi huanza safari na Kufika Mashariki.

Mwezi ni mfano wa Rubber Bracelet (Culture/Bangili za Mpira) ambazo wakati wakiza utoa uan'gavu na wakati wa mwanga hufifia.

Upepo ni hutokea from Outer Space (Ulimwengu) na sisi hupata hisia.

Mvua hutokana na evaporation inayoathiliwa na maji na joto. Mfano; Uwapo jikoni umefunika Pressure Cooker, Rice Cooker au Sufuria pressure ya chini usugua juu na kuleta mvuke ambao urudi chini.

Je Iweje nchi za kaskazini na kusini (Hio Uliyopangwa) hupata Snow, Winter, Fog etc?. Ni Uwepo wa nchi hizo katika kingo za dunia ambayo ni made of Ice.

Uwepo wa vumbi ni kutokana na ardhi ya juu ya dunia kutifuliwa au kusongwa na upepo.

Round/Spherical Earthers mbona mnashindwa kutoa ithibati ya ramani zenu?! Ramani ya Spherical na Round Earthers inaonyesha Middle East ni Northern Central ya Dunia na uwepo wa Strait of Hormuz, Persian Gulf na Gulf of Oman, huku mkiskia United States Navy Ships zinaenda katika location hiyo kwa 7 Days from Florida Keys (Tampa au Miami Base).

Ukaribu wa SA (Afrika Kusini) na UK (Uingereza) ni prove dunia siyo Kiazi, Kichwa, Mviringo, Tufe, Chungwa wala Yai!

Ukaribu wa Oceania na Chile, Peru na Argentina huku ukubwa wa so called Pacific Ocean unazidi kujipinga.

Oke! Nile inatwa maji kutoka Lake Victoria (South) na Kupeleka Mediterranean Sea (North) 😮

The World is Flat pure Flat Bense!
 
Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu
Au kwa nini nikielekea mbele y Alaska natokea Russia ( kama ni kweli why)

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nani anatumia solar? Nani kayaweka hayo masolar makubwa? Yapo sehemu gani?
Since last week, however, Eyde's statue has gazed out upon a sight that even the eminent engineer might have found startling. High on the mountain opposite, 450 metres above the town, three large, solar-powered, computer-controlled mirrors steadily track the movement of the sun across the sky, reflecting its rays down on to the square and bathing it in bright sunlight. Rjukan – or at least, a small but vital part of Rjukan – is no longer stuck where the sun don't shine.
"It's the sun!" grins Ingrid Sparbo, disbelievingly, lifting her face to the light and closing her eyes against the glare. A retired secretary, Sparbo has lived all her life in Rjukan and says people "do sort of get used to the shade. You end up not thinking about it, really. But this ... This is so warming. Not just physically, but mentally. It's mentally warming."
IMG_20200126_171714_911.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.

Nilishawahi kuwauliza humu wajinga fulani kwamba, kuna jafribio gani la Kisayansi liliwahi kufanywa likathibitisha ya kuwa Dunia inazunguka ? Auwatuthibitshie tu ya kuwa Dunia inazunguka, majibu yao ni vituko.

Sayansi ya maumbile na hasa ya anga niliachaga kuamini, pale niliposikia habari za mtu kwenda mwezini.
Mkuu, huwa nafurahi sana pale napoona WANASAYANSI WA JF wakitokwa mishipa ya shingo kutetea hoja ambazo walioziandika wanaziita THEORY. Tunaposoma elimu ya anga mambo mengi ni theory lakini wala ugali wengi hudhani yamethibitishwa.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kwani hao wazungu wananufaika nini kwa kuficha umbo halisi la dunia? Na je watu kujua kutakuwa na athari gani kwao? Unless mtoa mada utuambie kuwa unafurahisha tu genge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hao wazungu wananufaika nini kwa kuficha umbo halisi la dunia? Na je watu kujua kutakuwa na athari gani kwao? Unless mtoa mada utuambie kuwa unafurahisha tu genge

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaficha uhalisia wako,uhuru wako,uwezo wa kufikiri,wanakufanya uwe mtumwa,wanakuthibitishia maisha hayana maana kwamba kuna kula kuishi kufanya kazi na kufa,wanapoteza mwelekeo wako,wanakufanya uwe tegemezi kwenye mfumo,nguvu ya utawala,tamaa na ulimbikazaji wa mali,wao wamekaa wanakuchezesha kama mdoli na mimi sio MDOLI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia documentaries nyingi kuanzia za national geographic, NASA na wanaspace tofauti kuna evidence nyingi na za kuelezeka kisayansi zilizonishawishi kwamba dunia ni duara. Zile za kujaribu kukinzana kiuhakika nyingi hazishawishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ni duara ambalo ni tambarare ila sio mpira unaozunguka jua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umenichanganya au sijui kiswahili?
Ngoja niendelee kufatilia maana hii mada ni ngumu kidogo kwa maamuma kama mimi na wasomi nao wanapigana vikumbo.

Nafatilia...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Picha nyingi kutoka space... Umbali tu wa Japani to USA unaweza kukuambia dunia siyo flat.. Kupatwa kwa jua na hata mwezi, usiku na mchana, Majira ya mwaka, kupotea kwa jahazi baada ya umbali fulani.. Kutokugongana kwa miali ya mwanga katika pole, yaani kuna mengi sana ambayo kuna una waza kwa ufasaha utashawishika. Ingawaje hata mm kuna machache ni puzzle kwangu hasa kasi ya mzunguko wa Dunia kiasi hatuwezi kuufeel hapa bado ni utata..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafeel vipi wakati dunia haizunguki
Picha nyingi kutoka space... Umbali tu wa Japani to USA unaweza kukuambia dunia siyo flat.. Kupatwa kwa jua na hata mwezi, usiku na mchana, Majira ya mwaka, kupotea kwa jahazi baada ya umbali fulani.. Kutokugongana kwa miali ya mwanga katika pole, yaani kuna mengi sana ambayo kuna una waza kwa ufasaha utashawishika. Ingawaje hata mm kuna machache ni puzzle kwangu hasa kasi ya mzunguko wa Dunia kiasi hatuwezi kuufeel hapa bado ni utata..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!!

Mkuu kuna evedince yoyote??hapa ndo unawaongelea aliens

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliens wapo sehemu nyingi sana binafsi ndege zao nimeziona zikikatiza,siku hiyo nilikuwa dar nafunga dish zilipita 3 zikitoa mwanga mkali,halafu tafiti zinasema pale ni kwamba ni time travelling either wanaenda miaka ya mbele au nyuma,watu wengi washatoa ushahidi ila website ya youtube huzifuta na kupoteza ushahidi huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom