The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Kwa nini unaamini kuwa mwanga wa jua lazima uwe sawa baina ya maeneo hayo uliyotaja..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kielelezo cha Mtoa mada kinaonesha jua linazunguka kwa kupitia kila bara ajabu katika africa hatujawahi sikia kuna nchi yeyote ambayo usiku unakuwa mrefu zaidi au mchana wenye masaa mengi Kama Nchi za kaskazini mwa ulaya na Arctic kwa ujumla!
 
Sasa kama dunia ni flat, hao wanoendaga kwa ndege nchi kama China au Australia kutoka mfano Airport za Carlifonia au Mexico kupitia pacific ocean utawaambia nn. Na ni karibu zaidi kupitia Pacific kuliko kufly kupitia Europe nk.
Kingine Alaska imeungana na USA kwa upande wa magharibi na Russia kwa upande wa Mashariki, hii wanielezeaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwekee kaka tusome.

Mimi ninayo moja hapa. Siku za nyuma niliwahi kuisoma ila sikuimalizia ila hapa ndio nasogea nayo mdogo mdogo.View attachment 1336337
At last umeanza kuingia unapopatafuta.Tangu mwanzo tu niliposoma post ya huyu reality na images alizoweka nilijuwa struggle yake iko huku😃😃.Sasa msiwe mnazungusha watu kama mabwege.Alitakiwa aandike hivi Dunia Si Duara:"Shuhuda za nadharia ya flat earthers zinavyokubaliana na kitabu kitakatifu cha Quran. Watu wanakuwa wanajua kabisa hii ni topic inayohusisha imani na sayansi.
 
Comprehending for mere mortals is actually a hard thing to be.
At last umeanza kuingia unapopatafuta.Tangu mwanzo tu niliposoma post ya huyu reality na images alizoweka nilijuwa struggle yake iko huku.Sasa msiwe mnazungusha watu kama mabwege.Alitakiwa aandike hivi Dunia Si Duara:"Shuhuda za nadharia ya flat earthers zinavyokubaliana na kitabu kitakatifu cha Quran. Watu wanakuwa wanajua kabisa hii ni topic inayohusisha imani na sayansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Sasa kama dunia ni flat, hao wanoendaga kwa ndege nchi kama China au Australia kutoka mfano Airport za Carlifonia au Mexico kupitia pacific ocean utawaambia nn. Na ni karibu zaidi kupitia Pacific kuliko kufly kupitia Europe nk.
Kingine Alaska imeungana na USA kwa upande wa magharibi na Russia kwa upande wa Mashariki, hii wanielezeaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
tumblr_mht5ui78yk1rnav7ro1_1280.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The earth and other massive bodies in space are round sababu ya gravity, Each atom katika body inavutwa toward a single point ambayo ni center. With presence of gravity kama dunia ingekua sahani, naturally ingecollapse kutengeneza duara.

Kusema dunia ni sahani inamaanisha gravity haipo tena kuna aina nyingine ya force ambayo wamegoma kuielezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
You have my support I stand agaisnt the earth is flat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio duara nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye lengo la kutuongopea nami natamani kujua.. Funguka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
Mkuu wewe msomi kaa pembeni naona bado umo tu mkuu.

Ni busara zaidi kitu hukitaki unakiwacha unawaachia wanaotaka japokuwa una uhuru wa kuchagua,au unatafuta mtu aingie king uanze kumuambia kuwa kuna tuzo unataka kupewa huko ya ugunduzi wako mkuu.

We utulie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay
 
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kiini cha kutuaminisha kuwa dunia ni duara dufu na inazunguka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kiini cha kutuaminisha kuwa dunia ni duara dufu na inazunguka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama gravity hiyo ni imagination concept kuna density if you are less denser you float higher denser you fall

Kuhusu magma mere mortals kama humanbeings ni ngumu sana kuelewa hili swala ila ipo between crust and anticrust beneath earth yani ni HELL

ISSUE sio calculations we kuvuka southpole nakujionea mwenyewe unataka hesabu gani fatilia operation high jump ya 1946



Sent using Jamii Forums mobile app
unaposema HELL una maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wengi humu wanaobeza na kukejeli usomaji wao walipita kwa kukariri. Aliyesoma kwa kuelewa hawezi kubeza hoja unazoleta.

Somo la Chemistry mwalimu alisema water ni colourless. Jamaa mmoja akanyosha mkono akauliza swali akamwambia mwalimu maji yatakuaje ni colourless hali ya kuwa unayaona? Akatoa na mfano akamwambia mwalimu mfano wa gesi ya Oxygen moja ya sifa yake ni colourless, na ni kweli hatuioni. Tunaitambua kwa sifa zake na moja ya sifa yake ina support combustion!

Hata maabara tunaitambua kwa kuweka wooden glowing splint. Hii yote ni kwa sababu Oxygen ni colourless! Hatuioni. Akamwambia mwalimu inakuwaje maji yawe colourless wakati nayaona? Akameambia mwalimu kwake maji si kwamba hayana rangi bali rangi yake haijulikani.

Sasa wanaosoma kwa kumeza akili za kuhoji hawana. Badala yake anayehoji wanamuona kituko! Wanamuona hana akili! Wanambeza! Wanachosahau ni kwamba hata hizo notes za walizokariri zimetokea kwa kuhoji, wakajibidisha na utafiti mwisho wa siku mabadiliko ya taaluma yanazaliwa upya na kufanywa mitaala ya elimu.

Na siku zote anayesoma kwa kuelewa uzito wa hoja uliyoileta anaielewa na ana iona fikirishi. Kama huyo Engineer W. Winckler anachokisema ndicho ambacho anachokihoji Engineer brother Zurri
 
Kuna wajinga ni mashabiki wa Sayansi, ndio huwa wanadanganyika na mastory ya Wanasayansi.

Nipe faida kaka.
hata anachoelezea jamaa hapa ni sayansi,....... ila ni sayansi ambayo ameamua kuiamini wakat sayansi nyingine hataki kuiamini...


very simple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishakubali dunia ni mpira ina maanisha umekubali theory ya big bang kuwa vitu vimetoka at random ikiwemo dunia ambayo wao wanaita sayari(planet),ukikubali ni planet basi huna budi kukubali evolution ,kuwa tumeevolve kutoka simple cells mpaka kuwa nyani na kuhamia binadamu mpaka hapo ushamwacha MUNGU kilometre zote na ushaamini hakuna uwepo wake kwahiyo tafsiri ni kuwa upo kwasababu ulitokea kwa bila sababu just random,kwahiyo huwezi kujua asili yako na hatima yako ,sasa utafanyaje ushapotea ,utabidi utafute msaada kumbuka hapo dini haiwezi kuhusika maana ushakataa dunia haijaumbwa ila imetokea kwa mlipuko usiojulikana chanzo,itabidi umsikilize sasa yule anayejiita mwenye maarifa akusaidie kwa kutumia kigezo kinacho itwa sayansi,akupe teknologia ya kuishi,akupunguze mawazo kwa vilevi,akuburudishe kwa mziki,movie na anasa,akuchangamshe kwa michezo,akupe elimu yake,uitumikie umfanyie kazi zake mpaka kifo halafu ukifa ,uko wewe kama wewe maana ushakosea toka mwanzo.JESUITS ni watawala wa dunia ndio wanamkono wa haya yote kuna project fishbowl na dominic zilifanywa kupiga makombora kwenda juu kuangalia ukomo wa anga wakafanikiwa kugundua dome au kioo cha juu cha dunia ,wakafanya project high jump kule antarctic wakagundua kumbe dunia inaendelea nje ya kuta za barafu ,wakasema sawa wakakutana mataifa makubwa wakasign mkataba unaoitwa Antarctica treaty kuwa hakuna shughuli zote au makazi yanatakiwa yawepo southpole wakafanikiwa,kilichofata baada ya kugundua juu hapapitiki yani dome,wakajua hawataweza watawala walimwengu maana watafata imani zao na kuwa karibu na MUNGU WAO,kwakuwa ni mkono wa ibilisi na mkuu wa dunia wakabadilisha ramani kutoka duara tambarare kuwa mpira ama tufe halikadhalika na umbo la dunia,je umbo watabadilishaje na haiwezekani ikawa ni rahisi ni mahesabu na ushawishi,mnamo 1958 wakazindua NASA chombo cha anga kwasababu juu hapapitiki,ili dunia iwe mpira lazima watu waende juu na kupiga picha kuthibitisha umma kuwa ni mpira kazi ikaanza ila inafanyika ardhini sio angani,ukisoma vitabu vya imani dunia nzima vinasema aliumba dunia akaitenganisha na mbingu na ndani yake kuwa na jua na mwezi pamoja nyota sio nje ni ndani ,kwahiyo ndani ya dome kuna jua na mwezi na nyota na nje kuna mbingu yani celestial levels hata kwa macho si unajionea tu,sasa kuhusu hizi sayari zingine nazo ni jua na mwezi kwa dunia zingine mbele ya antarctica.

Anyway wakatafuta wanasayansi kama kina somebody cornepicus waliocheza mchezo wa rotation na revolution ,huku wakiwa na hofu kuwa sasa mbona dunia haitafeel hizi effect,wakaongezwa wengine and so .....ni project ndefu sana kwahiyo ili kudhibitisha uwezo wa NASA wakaanzisha project ya mwezini ambayo nayo game imechezwa ardhni,kuna kitabu cha moon landing hoax kinaelezea vizuri,kwahiyo wakafanikiwa kumanipulate ulimwengu kwa asilimia kubwa kwakuwa hawana uthibitisho na wao ni taasisi ya sayansi ya anga,hata ukisema wakupe records hawana,documents za utafiti wa chochote watakuambia classified au confidential ,kwakuwa sasa dunia imekubali vyote hivi imekuwa ni jela ya watumwa na ni mengi yanakuja na MWISHO WAKE NI MBAYA SANA.
Hapo kwenye lengo la kutuongopea nami natamani kujua.. Funguka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom